watakiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Mameneja na Waratibu wa Mradi wa TACTIC watakiwa kutumia magari 14 katika kazi iliyokusudiwa

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe amewaelekeza Mameneja na waratibu wa Mradi wa Uendelezaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) kuhakikisha magari 14 aliyoyakabidhi yanakwenda kufanya kazi iliyokusudiwa ya usimamizi wa mradi huo ili wananchi wanufaike na...
  2. Roving Journalist

    Kariakoo: Wafanyabiashara, bodaboda wanaoziba barabara na njia za watembea kwa miguu watakiwa kupisha

    Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wa Kariakoo wanaofanya biashara katika maeneo yasiyo rasmi ya barabara pamoja na kwenye njia za watembea kwa miguu. Hoja hii ilianzia hapa ~ Usalama wa watembea kwa miguu Msimbazi - Kariakoo, Je, Mamlaka...
  3. appoh

    Wanawake watakiwa kujiunga na kundi la tff

    Kuna video inasambaa mtandaon ikimuonesha kamanda wa mkuu wa kike wa tff ikiwataka wanawake kujiunga kwa wingi katika kund hilo ili kupigana kwa kile wanachokidai kulipigania taifa kwa kutumia silaha Nawaza tu kund hili likishirikiana na alshabab au isis tu itakuaje??
  4. Waufukweni

    BASATA: MC na DJ mtakiwa kujisajili na kuwa na kibali hai ifikapo 31 Januari, 2026

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekumbusha kuwa, kwa mujibu wa Kanuni za BASATA za mwaka 2018 na Tozo za mwaka 2025, waongoza sherehe, burudani na matukio (MC) pamoja na Manju Muziki (DJ) wanatakiwa kupata vibali vya BASATA kabla ya kufanya kazi za sanaa. BASATA imeelekeza wahusika wote...
  5. ChekoFagia

    Wauguzi watakiwa kuimarisha mawasiliano na wagonjwa

    Wauguzi wa afya wametakiwa kuimarisha mawasiliano bora na wagonjwa pamoja na kuzingatia miongozo ya kitaaluma badala ya kufanya kazi kwa mazoea, ili kuboresha utoaji wa huduma za afya na kuhakikisha mgonjwa anahudumiwa kama mteja mwenye thamani. Hayo yamebainishwa kupitia mafunzo maalumu ya...
  6. figganigga

    Kenya na Uganda watakiwa kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu. Hongera Azam TV kwa Udhamini

    Wadau wa Mpira wa Afrika Mashariki, wamewataka Kenya na Uganda kwenda Tanzania kujifunza Mpira wa miguu. Wajifinze mbinu za Tanzania wameweza Timu zao zote Nne zikafaulu? Hongera TFF kwa ubora wa Mpira wa Tanzania. Hongera Azam na Ving'amzi vyennu. Azam uwekezaji wao kwenye mpira wa Tanzania...
  7. Ponjoro wa Kinondoni

    GE2025 Shule zote za Serikali Morogoro Mjini zimefungwa muda huu, Walimu na Wanafunzi watakiwa kuhudhuria kampeni za CCM

    Walimu wote wa shule za serikali wametakiwa kufika bila kukosa kwenye kampeni za mgombea wa CCM leo na kila mkuu wa shule ametakiwa kuchukua ripoti ya walimu watakao hudhuria. Aidha wanafunzi wa shule za sekondari wanapaswa kurudi nyumbani kubadili nguo na kwenda kwenye kampeni za CCM. HONGERA...
  8. Stephano Mgendanyi

    Makandarasi Wanawake watakiwa kutekeleza miradi ya barabara kwa ufanisi

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imetoa rai kwa Makampuni 15 ya Makandarasi Wanawake waliopata fursa ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami yenye urefu wa kilometa 20 katika barabara ya Ruanda - Idiwili Mkoani Songwe kuutekeleza mradi huo ipasavyo kwa ubora, uaminifu na muda uliopangwa...
  9. Roving Journalist

    Watakiwa kuwalea Watoto kwa kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt. Seif Shekalaghe, ametoa wito kwa wazazi, walezi na jamii kwa ujumla kuzingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya na malezi ili kuwalea watoto, kwa kuweka mkazo maalum wa lishe bora, malezi yenye upendo na mazingira salama kwa ajili ya ustawi wao...
  10. JanguKamaJangu

    Walimu Nchini watakiwa kuwa Walezi Bora kwa Wanafunzi

    Serikali imewataka walimu wote nchini kuendelea kuwa walezi na kuwasaidia wanafunzi kutojihusisha na tabia zenye kuondoa maadili na utamaduni wa Kitanzania. Wito huo umetolewa na Naibu Katibu Mkuu - Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Daniel Mushi tarehe 20 Juni 2025 katika chuo cha...
  11. M

    Wakulima Maswa watakiwa kulima zao la alizeti kwa ubora

    WAKULIMA wa zao la alizeti wametakiwa kuzingatia viwango vya ubora wa uzalishaji ili kuongeza thamani ya mazao yao na kuvutia masoko ya ndani na nje ya nchi. Afisa kilimo wa wilaya ya Maswa,Masalu Lusana amesema hayo Mei 7,2025 wakati wa mafunzo ya kilimo bora kwa wakulima wa alizeti...
  12. Webabu

    Askari wa Israel waendelea kufa Gaza.Maelfu watakiwa kwenda kupigana, huku wengi wakigoma.Netanyahu avunja safari ya nje.

    Waziri mkuu wa Israel amevunja ghafla safari yake iliyopangwa kwenda Azerbajan wakati wito wa maelfu ya askari wa akiba umetolewa ili waende kuongeza nguvu kupambana na huko Gaza. Hali hiyo imekuja ikiwa ni zaidi ya miaka miwili ya vita na jeshi la Israel likiwa limefunga mipaka yote ya Gaza na...
  13. Mshana Jr

    Viongozi wa Afrika watakiwa kutoa ushahidi wa pesa za misaada

    "Viongozi wa Afrika wanahitaji kutupatia ushahidi wa kile wamekuwa wakifanya katika zaidi ya dola bilioni 13 wanazopokea kutoka Marekani kila mwaka au warudishe fedha hizo." — Elon Musk "Fedha zinatumika vibaya zaidi unapokuwa unatumia fedha za mtu mwingine kwa watu usiowajua. Utajali kiasi...
  14. Wizara ya Ardhi

    WATENDAJI ARDHI WATAKIWA KUTOCHELEWESHA HUDUMA KWA MAKUSUDI

    Serikali imewataka watendaji wa sekta ya Ardhi nchini kutochelewesha huduma za sekta ya Ardhi kwa makusudi wakati wanapowahudumia wananchi wanaokwenda kupata huduma katika ofisi zao. Hayo yameelezwa Januari 31, 2025 mkoani Iringa na Mkurugenzi wa Upimaji na Ramani wa Wizara ya Ardhi Nyumba na...
  15. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Uyui Watakiwa Kuitumia na Kuitunza Zahanati

    WANANCHI UYUI WATAKIWA KUITUMIA NA KUITUNZA ZAHANATI Na WAF - Uyui, Tabora Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama amewataka wananchi wa kijiji cha Simbodamalu kilichopo katika Halmashauri ya Manispaa ya Uyui Mkoani Tabora kuitumia zahanati ya kijiji hicho kwa kwenda kliniki pindi wakina mama...
  16. Mtoa Taarifa

    Viongozi wa Serikali watakiwa kuwasilisha taarifa za Mali na Madeni kabla ya Desemba 31, 2024

    Kamishna wa Maadili, Jaji (Stahiki) Sivangilwa Mwangesi amewakumbusha na kuwataka viongozi wote wa umma wanaotajwa kwa mujibu wa Sheria ya Maadili ya Viongozi wa Umma, kuwasilisha tamko la rasilimali na madeni yao kabla ya Desemba 31, 2024. Amesema hayo leo katika taarifa yake kwa umma...
  17. Mwanongwa

    REB yatembelea Kijiji cha Keichuru - Kibiti, Wananchi watakiwa kutunza na kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme

    Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA). Wananchi hao wametoa pongezi hizo Disemba 1, 2024 wakati...
  18. Mtoto wa nzi

    LGE2024 Uandikishaji Wapiga Kura Serikali za mitaa: Mtendaji na Mwenyeki watakiwa kuonyesha alipo Mke wa Mtu.

    Imetokea Mara huko ..Baada ya Mume kuona jina la Mke wake katika orodha ya wapiga kura ingali kuwa Mkewe amepotea kijijini hapo zaidi ya miaka mitatu na alitoa taarifa Kwa Serikali ya Kijiji na Mtendaji. Sema kimeumanaaaa. . Pameshaanza kuchangamka mapema hivi ... Asee CCM Sasa wanaiba mpaka...
  19. Roving Journalist

    Wanavyuo waambiwa watoe taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa Kijinsia na unyanyasaji

    Wanafunzi wa Shule za Sekondari, Vyuo vya Kati na Vyuo Vikuu Mkoani Mbeya wamehimizwa kutoa taarifa za viashiria vya vitendo vya ukatili wa kijinsia na unyanyasaji. Akizungumza katika uzinduzi wa kampeni ya "Tuwaambie kabla hawajaharibiwa" iliyofanyika Septemba 25, 2024 katika uwanja wa Ruanda...
  20. GENTAMYCINE

    Kumekucha: Wanawake watakiwa kuacha Kupenda Kutumia 'Vilainishi' wakati wa Tendo la Ndoa bila Maelekezo Maalum ya Madaktari

    Kama ni mtumaji wa mitandao ya kijamii hususan Instagram, utakubaliana na mimi juu ya ongezeko la watu wanaouza vilaini (lubricant) kwa ajili ya kusaidia wanawake wasipate michubuko wakati wa tendo la ndoa. Kila mmoja akiuza bidhaa ya aina yake, njia tofauti zimekuwa zikitumika katika...
Back
Top Bottom