watakiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Maafisa Biashara Nchini watakiwa kuonesha matokeo chanya

    Ujumbe huo umetolewa alisemwa na Mkuu wa Wilaya ya Rorya Mkoani Mara, Juma Chikoka wakati akimwakilisha Mkuu wa Mkoa wa Mara kwenye ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu ya Maafisa Biashara kutoka mikoa 10. Maafisa walioshiriki katika mafunzo hayo ni kutoka mikoa ya Kagera, Geita, Mwanza, Shinyanga...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Juma Usonge awataka wazazi kushirikiana na Walimu kuwahimiza wanafunzi kusoma kwa Bidii

    Mbunge wa Jimbo la Chaani Mhe. Juma Usonge amesema hayo alipokuwa akizungumza na wanakijiji kwenye kikao cha kuratibu shughuli ya kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa Skuli ya Sekondari ya Pwani Mchangani kwenye ukumbi wa Skuli ya Sekondari Pwani Mchangani iliyopo Wiliya ya Kaskazin A Unguja...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wananchi Wanaozunguka Uwanja wa Ndege wa KIA Watakiwa kuwa na Subira ya Malipo ya Maeneo yao

    WANANCHI WANAOZUNGUKA UWANJA WA NDEGE WA KIA WATAKIWA KUWA NA SUBIRA YA MALIPO YAO Serikali imewataka wananchi wanaozunguka uwanja wa ndege wa KIA kuwa na subra wakati wanasubiri malipo ya fidia ya maeneo yao kwani tayari imeshafanya tathmini na uthamini kwasasa wapo katika hatua za mwisho za...
  4. Stephano Mgendanyi

    Waajiri watakiwa kuwa na Ubinadamu kwa Wazazi Wanaojifungua Watoto Njiti

    Waajiri watakiwa kuongozwa na ubinadamu wa Mamlaka waliyopewa kwa kuwaongezea likizo Wazazi wa watoto Njiti ili kuepuka athari zinazoweza kujitokeza kwa mtoto ikiwemo kifo kwa kukosa uangalizi wa karibu wa mama yake. Wito huo umetolewa na Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya...
  5. G-Mdadisi

    Wanawake wenye nia ya kugombea Uchaguzi mkuu 2025 watakiwa kujifunza kwa waliowatangulia

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha ushiriki wa wanawake katika vyombo vya maamuzi unaongezeka, wanawake wenye ndoto za kugombea uongozi wameshauriwa kuanza kujifunza kutoka kwa wanawake wanasiasa waliowatangulia ili kuongeza ujasiri na uthubutu wa kukabiliana na vikwazo kuelekea uchaguzi mkuu wa 2025...
  6. Stephano Mgendanyi

    Makandarasi Watakiwa Kuzingatia Taaluma

    MAKANDARASI WATAKIWA KUZINGATIA TAALUMA Makandarasi wa ndani wametakiwa kutumia wataalam wenye sifa katika kutekeleza shughuli zao, ili kuifanya miradi inayotekelezwa kuwa na viwango na kudumu kwa muda mrefu kulingana na vigezo vilivyowekwa kwenye mikataba...
  7. Roving Journalist

    Mbeya: Madereva watakiwa kubadilika ili kuepuka ajali za barabarani

    Mkuu wa Wilaya ya Mbeya, Beno Malisa, Aprili 20, 2023 amewataka madereva wa vyombo vya moto kubadilika kufuatana na hali ya kijiografia yam ilima, miteremko pamoja na hali ya hewa ya Mkoa wa Mbeya yenye mvua na ukungu kwa kuhakikisha wanafuata na kuzingatia sheria na alama za usalama barabarani...
  8. Zingzingzing

    Songea: Wanafunzi waliopatiwa dawa za meno za msaada watakiwa kurudisha mara moja

    Baada ya wadau wasiofahamika bado kuwa ni kutoka taasisi ipi kugawa dawa za meno na miswaki kwa shule za.msingi Songea. Leo imetoka taarifa kwa walimu wakuu kuwataka kuwaambia wanafunz hao warudishe vitu hivyo mara moja. Bado haijajulikana zaidi kwann hili limekua hivi hadi sasa.
  9. JanguKamaJangu

    Marekani: Polisi watakiwa kujiandaa kwa mikusanyiko ya wafuasi wa Trump

    Polisi wa New York (NYPD) wametakiwa kuwa tayari kwa lolote linaloweza kutokea kutokana na taarifa za Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump kushtakiwa. Kwa siku kadhaa zilizopita kumekuwa na taarifa za wafuasi wa Trump kuingia mtaani kupinga mashtaka atakayofunguliwa. Trump amefunguliwa...
  10. G-Mdadisi

    Wenye ndoto za kugombea nafasi za uongozi 2025 watakiwa kuzijua kwanza changamoto za wananchi wao

    ZANZIBAR KATIKA kuhakikisha lengo la ushiriki sawa wa wanawake kwenye nafasi za uongozi linafikiwa, wanawake wenye nia ya kugombea na kushika nafasi hizo wametakiwa kutumia muda wao kukaa karibu na jamii zao ili kubaini changamoto zinazowakabili wananchi na kusaidia kuzitaftia ufumbuzi badala...
  11. Maguguma

    Kijiji cha Manzeye Wilayani Mbinga hakina umeme, baadhi ya maeneo watakiwa kununua haki zao

    Kijiji cha Manzeye kilichopo Kata ya Wukiro Wilaya ya Mbinga, mkoani Ruvuma kipo kwenye orodha ya vijiji vilivyokosa umeme mkoani Ruvuma. Kijiji hicho ambacho kinapakana na kata ya Litembo hadi sasa wananchi wake hawajui ni lini watapata umeme huo ingawa baadhi ya maeneo wasimamizi wa...
  12. Four-Star General

    Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  13. Stephano Mgendanyi

    Mary Masanja: Watanzania wawaenzi mashujaa wa Vita ya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni

    MHE. MARY MASANJA - WATANZANIA WATAKIWA KUENZI MASHUJAA WA VITA VYA MAJIMAJI KWA KUHIFADHI MILA NA TAMADUNI Watanzania wametakiwa kuendelea kuwaenzi Mashujaa wa Vita vya Majimaji kwa kuhifadhi mila na tamaduni zao kwa kufanya kazi kwa bidii, kulinda rasilimali za Taifa, kupambana na kuzuia...
  14. beth

    Wafanyakazi wa European Commission watakiwa kuondoa TikTok kwenye simu zao

    Watendaji wa Kamisheni ya Umoja wa Ulaya (EC) wametakiwa kuondoa TikTok katika Vifaa vyao kufikia Machi 15, 2023 Mtandao huo Maarufu umehojiwa mara kadhaa kuhusu Usalama wake kutokana na madai unavuna Taarifa Binafsi za Wateja na kuzitoa kwa Serikali ya China Nini maoni yako kuhusu hatua hii...
  15. Bujibuji Simba Nyamaume

    Mitume na manabii wanaouza maji na mafuta watakiwa kujisajili rasmi kama watoa huduma rasmi wa sekta za maji na mafuta

    Mitume na manabii wanaitoa huduma za maombezi kwa kutumia mafuta na maji wametakiwa kujisajili kwenye mamlaka rasmi zinazosimamia huduma hizo. wale wanaouza maji wametakiwa kujisajili kwenue mamlaka ya maji na wanaouza mafuta wametakiwa kujisajili Food and Drugs Authority.
  16. BARD AI

    Wagonjwa watakiwa kufua mashuka ya hospitali

    Ukosefu wa maji katika Kijiji cha Chihangu kilichopo Wilaya ya Newala, Mkoa wa Mtwara umesababisha wagonjwa wanaotibiwa katika Kituo cha Afya Chihangu kutakiwa kufua nguo za hospitali kabla ya kuruhusiwa. Mkazi wa Kijiji cha Kihangu B, Musa Kajana amesema wagonjwa wanapomaliza kupata matibabu...
  17. Dr Msaka Habari

    Kusini mwa Tanzania watakiwa wawekezaji

    Waziri wa Mali Asili na Utalii Balozi Dkt.Pindi Chana amesema kwa sasa sekta ya utalii ni soko kubwa la kuzalisha ajira na kuongeza pato la taifa hivyo jitihada mbalimbali zinaendelea kufanyika kuboresha Sekta hiyo. Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Jijini Dar es Salaam katika mkutano wa...
  18. Webabu

    Waukraine watakiwa wachaji simu zao mapema wakati Berluscon amlaumu Zelensky

    Shirika la umeme la Ukraine ,Ukrenergo limewataka wateja wake wawe wakichaji simu zao mapema na tochi kwani hali ya upatikanaji wa umeme imezidi kuwa mbaya huku hofu ya kushambuliwa zaidi kwa vinu vya umeme kutoka majeshi ya Urusi ikiongezeka. Katika nasaha zake katika kipindi hiki cha baridi...
  19. J

    Watumishi wa Umma watakiwa kujilinda na Uhalifu wa Mtandao

    Na Mwandishi Wetu, WHMTH, Arusha. Watumishi wa umma na binafsi wametakiwa kuwa makini na chochote wanachofanya mtandaoni ili kujilinda na changamoto za uhalifu wa mtandao ambapo katika zama hizi za kidijiti taarifa binafsi au za taasisi zimegeuka kuwa malighafi muhimu kwa wahalifu wa mtandao...
  20. BARD AI

    Waathirika wa Ebola watakiwa kuacha Ngono kwa siku 90

    Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti wa Virusi, Prof Pontiano Kaleebu, amesema ingawa Ebola haichukuliwi kama Ugonjwa wa zinaa katika baadhi ya tafiti, Wataalamu wamegundua uwepo wa Virusi hivyo kwenye mbegu za kiume baada ya kupona. Dk Ataro Ayella, mtaalam wa magonjwa ya kliniki, amesema...
Back
Top Bottom