wataalam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Uchumi (Foreign Exchange Rates) nitashukuru nikipata Elimu yenu kubwa ya Kina juu ya hili Swali langu Kwenu

    Ni kwanini ukitaka kutuma Pesa (kwa kuibadilisha moja kwa moja katika Mitandao ya Simu) mida ya Mchana kwenda Alasiri Exchange Rate inakuwa ni nzuri sana tofauti na nyakati za Asubuhi au Jioni au Usiku? Kuna Siri gani hasa nyakati za Mchana na Alasiri Kiuchumi? Asanteni.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Nissan Fuga licha ya muonekano wake mzuri lakini ni gari adimu sana mitaani... Shida ni nini wataalamu?

    Kichwa cha habari chajitosheleza... 1. Bei sio kali sana 2. Muonekano ni luxury sana 3. Space ndani ya kutosha Ila wamiliki ni wachache sana shida ni nini?
  3. JamiiForums Tanzania Nyumba ya Kisasa ya Contemporary: Mvuto wa Decor bora, tatizo ni Gharama!

    PROJECT COMPLETED KAMA UNAHITAJI KUJENGEWA/DESIGN CALL US +255624004640
  4. JamiiForums Tanzania Wataalam Aviation...hii ni nini?

    Pale ndege inapoanza kupaa hukimbia na kupiga kelele. Ikianza kupaa kuna hatua inafika kunatokea hali ya ukimya na wakati huo huo inakuwa kama vile inakosa nguvu na kuanza kushuka chini kidogo. Hapo ndipo itageukia kushoto ama kulia....then ndipo unasikia machine zinanguruma nguvu kuongezeka...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Walimu wa English Language na Literature wenye GPA ya 3.8 fanyeni Masters za Linguistics/Literature Kuna uhaba.

    Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani. Ushauri wangu soma vyuo hivi: 1.MA in Linguistics SAUT Mwanza (Evening/Weekend mode)- Ukiwa lake zone. Ada M 5,56660 Total...
  6. JamiiForums Tanzania Mpaka sasa wataalam tisa wa nyuklia Iran wameuawa, watamaliwa wote

    Ni hatia kwa kobaz yeyote kubobea kwenye utaalam wa nyuklia, utawindwa popote, sijui Pakistan waliachiwa aje, uzuri India wanawapumulia huko, japo siku Pakistan watajifanya kuonyesha chuki kwa Israel, na wao watafuatwa huko huko... Israel anawamaliza wataalam wa nyuklia Iran, ukiwa kobaz jikite...
  7. JamiiForums Tanzania Nafasi za ajira kwa Wataalam wa Afya katika Eli Hospital Arusha

  8. JamiiForums Tanzania Eti Wataalam hii Project ya Chaumma itafanikwa au itafail?

    GT Wale wataalamu wa siasa chafu na propaganda hii project ya Chaumma itatoboa kweli? Binafsi nimeona imefail kabla hata ya utekelezaji wake kuanza. Huenda mi siyo mtaalamu sana wajuzi mtuambie.
  9. O

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kilimo naomba kujua madhara ya dawa ya kuua magugu shambani

    Habari zenu wa kulima wenzangu nnashamba langu lina magugu mengi sana na uchumi haujakaa vizuri nnataka ninunue tu dawa ya kuua magugu nipulizie hila sijawahi kutumia naomba kujua km kuna madhara yoyote kwenye mimea iliyopandwa
  10. JamiiForums Tanzania Wataalam wa kutengeneza Local Cage za Kuku wa mayai

    Wakuu kwemaa..Poleni na Majukum. Natafita mtaalam ama mshauri wa kunisaidia hii Changamoto yangu. Ninashida na Cage ya local sio zile za kuagizia toka china. Nina fuga Kuku wa Mayai Wapatao 1000
  11. JamiiForums Tanzania WATAALAM WA UCHUMI NAOMBA KUJUA HAYA MAMBO YAMEKAAJE.

    Happy Easter Wana Jf, Twende kwenye mada! Kila nchi Ina Hela yake na bila shaka Kuna sehem ambapo hizo Hela wanaziprint then serikali inaziingiza katika mzunguko. MASWALI Hivi kwann licha ya serikali au nchi fulan kuprint Hela zake yenyew haiwezi kuchukua zile Hela direct zilipo printiwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Wataalam wa Ujenzi: Kwa nini Masink ya kunawia baada ya kutumia Choo yasiwe ndani ya Choo?

    Nimefikiria hii, mtu anamaliza kutumia choo alafu anatoka kuja kunawa nje ya choo, hii inaweza kusababisha kusafirisha uchafu na vimelea vya magonjwa kutoka chooni, mfano wakati wa kufungua mlango wa choo n.k Kwa nini masink yasiwekwe ndani, mtu anapomaliza kujisaidia ananawa ndani kabla ya...
  13. JamiiForums Tanzania TANESCO: Kuna tatizo katika mfumo wa kununua Umeme, Wataalam wanaendelea kurekebisha

    Muda mfupi baada ya Mdau wa JamiiForums.com kulalamika kuwa kuna changamoto ya umeme kupitia andiko lake ~ Kwa zaidi ya 10 hrs sasa tangu jana mitandao na benki zote zinagoma ku-access malipo ya LUKU, hii shida ni kwangu tu? Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetoa ufafanuzi na kukiri kweli...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Je, tunao wataalam (Pharmacists) wa kutengeneza dawa hapa nchini Tanzania ?

    Sekta ya afya ni moja ya eneo nyeti linalogharimu pesa nyingi za serikali inaponunua madawa toka nchi za nje kwa pesa za kigeni. Wakati huo huo,. serikali inasomesha maelfu ya wafamasia ngazi za stashada (diploma) shahada (degree) masters mpaka PHD. Najiuliza tu, ya kwamba katika maelfu ya...
  15. JamiiForums Tanzania Kipanya: Wataalam wa Decryption tusomeeni ujumbe

  16. R

    JamiiForums Tanzania wataalam wa kushusha mizigo, ni wapi nitaipata muvi ya Lucky Seven quality nzuri

    Jumapili ya leo nataka niangalie hii muvi pamoja na watoto nimeshindwa kuipata, nakuja kwenu wataalam wa kuyajua machimbo ya links na torrents nawaomba mnisaidie
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wataalam naomba mnasadie na kwa namna gani naweza kupata verification notification to my android. Nimeshindwa kabisa kulog in kwa accout zangu zote

  18. JamiiForums Tanzania Wataalam, Msaada Tafadhali

    Wakuu, naomba Msaada wa namna ya ku unlock hii pocket router ya Alcatel pichani Nikiweka line tofauti na voda inaandika hivi👇🏽👇🏽
  19. JamiiForums Tanzania Kwa wataalam wa hesabu na sayansi tupeni ufafanuzi wa jambo hili

  20. JamiiForums Tanzania Serikali yaendelea kutoa mafunzo kwa Walimu wa Sayansi na Hisabati, kupunguza uhaba wa Wataalam

    Mratibu wa Mafunzo Kituo cha Shule ya Sekondari Bagamoyo, Winchslaus Balige akizungumza katika mafunzo hayo. SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, imechukua hatua madhubuti kukabiliana na uhaba wa wataalamu wa sayansi nchini kwa kuanzisha mafunzo endelevu kwa walimu wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…