wasukuma

The Sukuma are a Bantu ethnic group from the southeastern African Great Lakes region. They are the largest ethnic group in Tanzania, with an estimated 10 million members or 16 percent of the country's total population. Sukuma means "north" and refers to "people of the north." The Sukuma refer to themselves as Basukuma (plural) and Nsukuma (singular). They speak Sukuma, which belongs to the Bantu branch of the Niger-Congo family.

View More On Wikipedia.org
  1. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ikiwezekana kwepa kuwalenga Wasukuma moja kwa moja kwenye hotuba zako

    Ni leo tena. Mheshimiwa Rais amewatupia lawama Wasukuma kwa kuharibu vyanzo vya maji katika maeneo mbalimbali hapa nchini kwa sababu ya ufugaji wao wa ng'ombe wengi. Nia yangu bayana kwenye andiko langu ni kumshauri Rais ikiwezekana ajizuie kuwataja moja kwa moja Wasukuma kwenye hadhira kwa...
  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania Upole wa Wasukuma unawaponza

    Hakuna asiyejua kwamba Wasukuma ndio wengi hapa nchini. Na kwa Hari ilivyo unaweza sema wako kila kona ya nchi. Wasukuma hawajawahi kubishana mambo ya ukabila hadharani wao ni nduhu tabu (yaani hakuna shida). Hizi ***** ***** dhidi yao ipo siku zitaamsha hisia za ndani na wataanza kushirikiana...
Back
Top Bottom