wastaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. O

    JamiiForums Tanzania Majaji wastaafu wataka mahakama ichunguze vifo tata Polisi, Gerezani

    Wakati matukio ya watuhumiwa kufia mikononi mwa polisi, gerezani yakiibua sintofahamu, Chama cha Majaji Wastaafu (Tarja), kimependekeza kurudishwa kwa utaratibu wa mahakama kuwa ndio chombo kitakachochunguza vifo vyote vyenye utata. Chama hicho kimesema huko nyuma mtu akifariki gerezani, kituo...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania CCM yatoa onyo kali kwa viongozi wastaafu

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimewaonya vikali Viongozi wa Chama hicho Waliostaafu na kumaliza muda wao wa uongozi na ambaohawakubahatika kupata nafasi katika uchaguzi uliofanyika 2022 ndani ya chama hicho kuacha mara moja tabia ya kuvuruga chama. Viongozi hao wameonywa kuacha mara moja...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Nafarijika kuona wazee wakitumika kushauri. Liundwe Baraza Kuu la Ushauri likiusisha Marais wastaafu

    Nafarijika sana kuona wazee wakitumika kushauri masuala mbalimbali kwa sababu: i) Wazee wanatoa maamuzi yaliyotulia ii) Wazee hawakurupuki kwa sababu wanaongozwa na hekima iii) Wazee wana uzoefu wa kutosha hivyo wanatumia uzoefu wao kutoa ushauri bora. iv) Wazee hawana cha kupoteza kwamba...
  4. reymage

    JamiiForums Tanzania PSPF acheni majibu ya ovyo kwa wazee wetu wastaafu

    Naandika mmekerekwa haswaa, serikali kupitia mfuko wa pension kwa watumishi wa umma mwezi February hawajawalipa mishahara wazee wetu kwa madai wanafanya uhakiki, sidhani km ni sahihi kutowapa haki Yao wengine wanategemea pension kujikimu mnawatesa mnoooo. Mbaya zaidi wakija hapo mnawajibu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania MAPENDEKEZO: Katiba Mpya iruhusu Marais Wastaafu kugombea wakitakiwa na wananchi

    Ni pendekezo tu lakini kuna hoja jadilifi ndani yake. Katiba ya sasa inasema, "Rais ataongoza Kwa miaka mitano tu (5). Lakini kama chama chake kitaamua kumpendekeza Kwa mara ya pili basi ataongoza kwa vipindi viwili yaani miaka 10" na huu ndio imekuwa "utamaduni wa CCM". Hata hivyo, kama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ondoa hiki kikokotoo kinawaumiza wastaafu

    Mheshimiwa Rais. Nakuandikia waraka maalum juu ya hali ya mfanyakazi, hususan anayestaafu. Nataka nikueleze kuwa, hiki kikotowo ulichokiweka hakina masilahi kwa mfanyakazi anayestaafu. Kiufupi ni dhuluma ya wazi. Hali ya maisha imekuwa ngumu, gharama za maisha zinazidi kupanda. Kiufupi , hii...
  7. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sisi wastaafu tunalia na kikokotoo kipya!! Tukumbuke kwenye hoja zako 2023 ndo hii imefika

  8. S

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: Enyi wastaafu kaeni mbali kabisa na ‘motivation speaker’, mtanikumbuka

    Usifanye biashara kwa hela ya kustaafu kama hujawahi fanya biashara, ili usipate magonjwa ya moyo, pressure, kupooza nk. Ni mara kumi upambane na wapangaji akishindwa lipa utasamehe ataingia mwingine, utaishi. Mzee wangu tangu astaafu ana miaka 27 kwa afya tele, shida tu pressure ya macho...
  9. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania 2025 nitachukua fomu kupitia CCM na nitampinga huyo mnaetaka asipingwe

    Kwanini nguvu kubwa inatumika kutulazimisha tuvunje kanuni na katiba Kwa kututisha? awamu ya tano inamalizika 2025 ndipo tuanze awamu ya SITA. Kanuni za kawaida za chama ni kuchukua fomu ama kutangaza nia, watu washindanishwe apatikane alie bora. Kwa Nini Jakaya na Makamba wanataka tule...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wanaccm tusikubali kuburuzwa na wazee wastaafu. Muda wao umekwisha, vijana tusimamie tunachokiamini

    Inashangaza sana kuona Hawa wazee ambao walikuwa wameshika nafasi za juu za uongozi wakamaliza vipindi vyao bila kuacha legacy yoyote wanatutisha na kutukemea. Dunia inabadilika hivyo nasi inabidi tubadilike. Na ili tubadilike lazima mtazamo, mtindo na mfumo wa uongozi uende tofauti na...
  11. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Taasisi ip inayotoa mikopo kwa wastaafu

    Kuna mtu anauliza taasisi ipi inatoa mikopo kwa wastaafu na terms zikoje.
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia aitaka Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kuwalipa wastaafu hata kama waajiri hawajapeleka michango

    Dkt. Tulia Ackson ameihoji Serikali akitaka kujua nani anapaswa kuhakikisha michango ya mafao inayokatwa kwa wafanyakazi inapelekwa katika Mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Pia ameitaka Mifuko kufatilia fedha kwa waajiri kwasababu sio wajibu wa mfanyakazi kujua michango imepelekewa au haijapelekwa...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  14. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Wastaafu wa Dar es Salaam walalamika fedha nyingi zinawachanganya

    Wastaafu zaidi ya 5,000 Mkoani Dar es Salaam wamesema wanapata shida katika uzee wao kwani hawana elimu ya matumizi ya fedha na uwekezaji pindi wanapofikia hatua ya kustaafu na kupewa pesa nyingi ambazo wengi huwa zinachanganya. Hata hivyo katika kikao hicho ambacho Serikali kupitia Benki ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Hivi mabenki yanawachukulia wastaafu mazuzu/wajinga?

    Kila benki inawaita wastaafu wapitishie pensheni zao kwao kwa ahadi ya mikopo ya riba ndogo na mambo kama hayo. Uongo mtupu! Mfano, Azania wanawadanganya watu kwa kushirikiana na PSSSF kuwarubuni kwenda kwao kwa mikopo mizuri ya riba nafuu. Ni uongo, sana sana difference ni ndogo sana, si ya...
  16. Mtemi mpambalioto

    JamiiForums Tanzania Suala la Tozo hamjaweka hata huruma kwa pesa za makanisa, misikiti, ada za watoto wetu, wazee wastaafu na mishahara ya wafanyakazi

    Hali ni mbaya kwa kweli laana inatutembelea kwenye Tozo Hivi kweli Tozo mmeigeuza kama KODI jaman? Hadi akaunti za Shariah mnakata tozo? daah. Nijuavyo mie kwanza ilitakiwa kila mwezi tuambiwe imepatikana kiasi gani hilo limeshapotezewa skuhizi. Pili je hii tozo ni mpaka lini au ndio milele...
  17. May Day

    JamiiForums Tanzania TCRA wekeni utaratibu hawa 'Majambazi wastaafu' wawe wanahojiwa na Watu wenye weledi

    Kama ilivyo kawaida yangu leo nilikuwa nafuatilia moja ya vipindi ninavyopenda kusikiliza kupitia Redio Free Africa...Kipindi kinaitwa "sintosahau". Si mara ya kwanza nimeona kuna mapungufu mahali na sijui kama Mamlaka huwa zinafuatilia, au labda kwao sio tatizo...mara kadhaa nimeshasikia...
  18. K

    JamiiForums Tanzania OMBI: Wastaafu na sisi tunaomba tufikiriwe kwenye tunachopokea

    Leo nimesoma kupitia mtandao wa kijamii kuwa Rais ameongeza mshahara kwa watumishi wote wa umma kwa kuongeza 23% kwa kima cha chini. Ninauliza, Je na sisi Wazee wa pensheni tuko kwenye mfumo huo? Ichukuliwe kuwa maisha yamepanda kwa kila mtu na wengine ile pensheni ya mkupuo...
  19. kakuruvi

    JamiiForums Tanzania Serikali iwakumbuke wastaafu

    Habari Wana JF, Juzi kwenye hotuba ya bajeti ya Serikali iliyosomwa na Waziri wa fedha, Waziri alitamka kufahamu kwamba kufuatia kutokuwepo kwa ajira za moja kwa moja kwa Wahitimu, Wazazi wamekua wakibeba mzigo mkubwa wa familia zao. Kwa kulitambua hili naomba Serikali kuwezesha upatikanaji...
  20. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Mwanaisha Mndeme: TUCTA Inawauza Wafanyakazi, Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu

    TUCTA Inawauza Wafanyakazi: Kikokotoo Kipya cha Mafao Kitawaumiza Wastaafu. Utangulizi: Hivi karibuni, yametokea maamuzi makubwa kuhusu hatima ya wafanyakazi nchini, tangu Mei Mosi, kuanzia ongezeko la kima cha chini cha mshahara, ukomo wa umri wa wategemezi wa Bima ya Taifa ya Afya na...
Back
Top Bottom