wasiwasi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    Wasiwasi watanda, Tume ya Jaji Chande ikikamilisha ripoti yake

    Wakati muda wa Tume ya Kuchunguza Uvunjifu wa Amani kabla na baada ya Oktoba 29, 2025 ikikaribia mwishoni katika uchunguzi na kutoa ripoti yake, Watanzania wana kiu ya kuona ripiti hiyo itakuja na majibu gani. Tume hiyo iliundwa Novemba 20, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kuwepo kwa...
  2. Waufukweni

    FT: Pamba SC 1-1 Simba SC | NBC Premier League | CCM Kirumba

    Mechi kali ya Ligi jioni ya leo inapigwa Mwanza katika dimba la CCM Kirumba Kikosi cha Simba Sports Club kitawakosa washambuliaji wake wawili dhidi ya Pamba JIJI FC, Baraka Mwangosi na Seleman Mwalimu. Mwangosi aliumia kwenye mechi dhidi ya Singida BS na hajasafiri kwenda Mwanza wakati...
  3. O

    Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  4. Genius Man

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho

    Maandamano yangefanyika kabla ya uchaguzi haramu uchaguzi usingefanyika kabisa na nina wasiwasi hakutakuwa na uchaguzi kabisa kipindi kijacho. Serikali haramu ikifanikiwa kuvuka hapa mpaka uchaguzi ujao kwa jinsi hali ilivyo uchaguzi ujao utakuwa ni vita kubwa kubwa sana haijawai kutokea tangu...
  5. Sifi Leo

    Nina wasiwasi, waliotekwa wapo magerezani ila hawachangamani na WENZAo, Rais Samia amejuaje Gerezani Kuna uonevu?

    Nina wasi wasi waliotekwa wapo magerezani na ndo ao aliowataja Samia Leo yakuwa wapo magerezani kwa uonevu Lakini hivi kweli kelele tulizo dhidi ya waliotekwa RAIS Samia hatuwlewi kweli? Hiki ni kiburi au ni kitu Gani? Mtu km mdude, pole pole,soka n wenzake kweli Samia ameamua kuwapoteza?
  6. nzalendo

    Nina wasiwasi nchi imekuwa paralysed

    Sababu kubwa ni njaa, unafiki, uwongo, chuki, fitna, husuda, ulafi, wizi na zinaa. Hizi ndizo sababu zinazosababisha damu ya Habil kulia ardhini. Mungu yupo.
  7. comrade_kipepe

    Naanza kupata wasiwasi na uwepo wa Mungu

    Mbona kama TAJIRI anaonekana ana nguvu na anaabudiwa kama Mungu? Mbona watumishi wa Mungu wanamuogopa Tajiri kuliko Mungu?? KAMA KWELI MUNGU UPO TAJIRI ASIMALIZE MIEZI 7 Kama Mungu yupo kweli Mbona anaacha TAJIRI anaabudiwa na kuombwa kama Mungu? Kwasasa TAJIRI ana nguvu kuliko Mungu huyu...
  8. Agent-47

    Nina wasiwasi na usalama wa watu waliotekwa kama Polepole

    Kuwaachia wawe huru ni vigumu sana maana wanaogopa watawataja. Na mtu kama Polepole hawezi kaa kimya. So, option inayobaki kwa hawa madhulmati ni kuwamaliza watu wetu na kuwaficha kabisa wapotee moja kwa moja. Tuwaombee sana aisee. Wako hatarini
  9. tonicimmobility

    GE2025 Mwinyi: Wakulima msiwe na wasiwasi wa soko

    Mgombea wa urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema serikali itaendelea kutekeleza mikakati ya kuinua sekta ya kilimo kwa kujenga skimu mpya za umwagiliaji, kuongeza upatikanaji wa zana za kisasa, na kujenga maghala ya kuhifadhia mazao ili kudhibiti...
  10. Sifi Leo

    GE2025 Aise nimejiwa na wasiwasi polisi wetu hawana mafunzo ya kujikinga na adui yaani kajitu kamoja kanapigwa na Askari 20?

    Nimejiwa na wasi wasi sana yawezekana polisi wetu wanalindwa na Magwanda wanayovaa lakini hawana mafunzo ya kutosheleza ya kujikinga na adui Haiwezekani kajitu kamoja kabisa kampige ngumu Moja askari alafu kavamiwe na kundi kubwa la Maaskari walio shikilia malungu seriously ? Yaani Askari...
  11. gcmmedia

    Je, wanachofanya Askofu Gwajima na Polepole ni harakati halisi au Propaganda za Kisiasa? Walikua wapi kabla ya mwaka wa Uchaguzi?

    Japo wanachosema na kupigania ni cha kweli, Nina wasiwasi kuwa ni propaganda za watawala kufifisha agenda ya wapinzani. Walikuwa wapi nyakati zote hadi wajitokeze wakati huu wa kuelekea uchaguzi? (Tuwaulize hawa Harakaharaka na Askofu anayefufua). Nafikiri nje ya box. Propaganda ni somo kubwa...
  12. Logikos

    US debt is now $37trn – should we be worried? (Deni la Marekani sasa ni $37trn - Je tunapaswa kuwa na wasiwasi)?

    Hii ni extract kutoka Makala ya BBC, kuhusu Deni la Marekani; (Wengi wanaweza kusema kwamba hayatuhusu, ila ukweli ni kwamba Mchuma Janga hula na Wakwao; na Hapa Wakwao ni Dunia)... Simon Jack; BBC business editor As Donald Trump cheered the passage of his self-styled, and officially named, Big...
  13. Braza Kede

    Jamani mtutoe wasiwasi maana tunaambiwa yule ngamia wa semaji ameshaliwa na wananchi

    Wakuu hili lina ukweli au ni porojo tu? mnatutia wasiwasi wanachama na wapenzi.. Kama ni kweli semaji atapanda nini sherehe ijayo? mbwa, fisi au? Je yanga hawawezi kuchukuliwa hatua kwenye hili wakuu maana yule tayari alikuwa alama yetu wekundu? Je kama ni kweli je kanuni hazijakiukwa kweli hapo?
  14. jamaikatz

    UN Ina wasiwasi na maandamano ya kenya

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa una wasiwasi sana na vurugu zilizotokea wakati wa maandamano nchini Kenya ambapo takriban watu 16 walifariki huku wengine wakiwa na majeraha huku wakitoa wito wa utulivu na kujizuia Maandamano ya Jumatano yalianza kwa amani lakini yakaishia kuwa machafuko huku...
  15. U

    Hali ya wasiwasi inazidi kuongezeka nchini Iran Ayatollah Khamenei, hajaonekana hadharani licha ya kusitishwa kwa vita

    Kwa kusitishwa kwa mapigano, Wairani wanashangaa kuendelea kutokuwepo kwa Khamenei Leo, 7:30 asubuhi 1 A Juni 14, 2025. (Picha na ATTA KENARE / AFP) Gazeti la New York Times linaripoti kuhusu hali ya wasiwasi inayozidi kuongezeka nchini Iran kutokana na kuendelea kutokuwepo Kiongozi Mkuu...
  16. The Humble Dreamer

    Nina wasiwasi na haya maamuzi ambayo Mungu aliyafanya, hapa alikosea

    Salaam Members! Tumekuwa tukisikia toka kwa wafuasi wake kua Mungu ni mwema sana kwa watu wake hapa duniani. Lakini Mungu huyu kuna maamuzi aliyafanya ambayo ni mengi na yanatia shaka kwanini aamue wachache wapate adhabu kwaajili ya wengine. Nina mifano miwili: Kitendo cha Mungu kumuumba...
  17. ngara23

    Nadhani kiongozi wa serikali aliyepiga simu kuzuia geti ni Mwana FA

    Kwa dhati kabisa naomba Rais Samia muondoe huyu naibu waziri kwenye hii nafasi anaitumia vibaya mno Kwa maslahi, mapenzi na ushabiki wake. Hii wizara wamepita mawaziri wengi ila ila huyu naibu waziri amekuwa kiongozi wa kutengeneza migogoro pale TFF Huyu naibu waziri ametoa matamko ya kutia...
  18. Waufukweni

    PreGE2025 Wananchi wacharuka na comment za 'No Reforms, No Election' kwenye page za Viongozi na Taasisi za Umma ikiwemo post ya Eid ya Rais Samia

    Wakuu! Bila uoga, Wananchi wengi wamejitokeza kuandika comments zenye ujumbe wa 'No Reforms, No Election' chini ya post ya salamu za kheri ya Sikukuu ya Eid al-Adha zilizotolewa na Rais Samia kupitia mitandao ya kijamii. Badala ya kusherehekea ujumbe huo wa sikukuu kwa kawaida, baadhi ya...
  19. FRANCIS DA DON

    Wasiwasi: Sakata la Gwajima lisipotatuliwa ifikapo alfajir, sidhani kama kuna barabara itapitika, tahadhari ichukuliwe mapema

    Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos. Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali...
  20. Dr Akili

    Mmemtukana na kumtweza wee! Kaamua kuzunguka na chopa yake nchi nzima kujibu matusi yenu na kujisafisha utu wake. Sasa woga na wasiwasi wa nini?

    Akili za baadhi ya watu huwa hazieleweki zinavyofanya kazi. Yaani kweli mtu mliyemtukana wee na kutweza utu wake, mutawezaje kumuomba msaada kwa matatizo yanayowapata kutokana na laana ya matusi na matendo yenu? Kwa nini sasa mnakuwa na wasiwasi na uoga tele munaposikia kuwa mtu huyo kaamua...
Back
Top Bottom