wasiojulikana

  1. JamiiForums Tanzania Dar: Mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu atupwa barabarani kituo cha Mwenge ITV akiwa ameuawa

    Mtangazaji wa kituo cha ITV cha jijini DAR ES SALAAM Bi Blandina Sembu amekutwa akiwa ameuawa maeneo ya ITV Mwenge usiku saa sita. Mwili huo ulitambuliwa na Henry Mabumo aliyekuwa mtangazaji mwenzake kabla Mabumo hajahamia TBC. Mwili ulichukuliwa na Polisi usiku huohuo. Taarifa rasmi...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hilda Newton nakushauri kuwa macho na wasiojulikana

    Dada yangu Hilda, sikufahamu na hata wewe hunifahamu, ila binafsi nakusoma sana Twitter kama mmoja wa makamanda. Kabla sijaendelea, naomba kwanza nikupongeze kwa post zako na msimamo yako kwani unaonekana kupinga na kuchukia udhalimu unaoendelea hapa nchini, na katika hili la kupinga vitendo...
  3. JamiiForums Tanzania Mlinzi wa mgodi wa Bilionea Laizer auawa na wasiojulikana, saba washikiliwa

    Nimesoma habari hiyo kutoka katika ukurasa wa ripota wa billionea huyo, Millard Ayo. Kwa kuwa JF ni kisima cha watu makini, hebu tujaribu kuelezana nini hasa inaweza kuwa sababu ya yeye kuuwawa? ======= Watu wasiojulikana wamemuua Manace William Lemoringeti, mlinzi wa mgodi wa Bilionea...
  4. R

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kama Amiri Jeshi Mkuu, tuambie hawa "wasiojulikana" ni akina nani tutakupa kura, mengine tutakusamehe

    Wakuu leo nimekuja na kibwagizo kipya. Kwanza tunaweza kukiri kuwa katika mambo ambayo ni makosa na ambayo hayawezi kuvumilika hata mbele za mwenyewezi Mungu ni kitendo cha mwanadamu kutoa uhai wa mwanadamu mwingine kwa sababu yoyote ile. Kisa cha Kaini kumuua Abel ni mfano tosha kwa sisi...
  5. JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea ubunge jimbo la Mvomero kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na watu wasiojulikana na kupelekwa kusikojulikana

    Huko Mvomero mgombea ubunge kupitia CHADEMA ndugu Peter Mdidi ametekwa na mpaka sasa haijulikani alipo PIA SOMA - Uelewa wangu juu ya kundi la watu wasiojulikana ~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia - Kiongozi wa Madaktari (Dr...
  6. JamiiForums Tanzania Asanteni Wajumbe wa Kigamboni, Kamati yangu ya 'Wasiojulikana' ya Roho Mbaya CCM Dar es Salaam na Kamati Kuu ya CCM Dodoma 'Mtu' kachinjwa rasmi

    Yaani GENTAMYCINE na Jopo langu la Watu wenye Roho Mbaya za Ukweli na wanaojua 'Ndumba' na 'Fitina' za kila namna 'tusiojulikana' ndani ya CCM tukuamulie Wewe 'Mpuuzi' Mmoja halafu upite kwa Kutushinda? Kama ni Kamati yangu hii hii iliweza Kufanya 'Kafara' Kubwa Segerea Siku Moja kabla ya Mechi...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lissu katika mikutano yake ya kampeni anasema yeye na Mwenyekiti wanatembelea magongo kwa kupigwa na watu wasiojulikana

    Jamani mimi naona kama wanatoa siri zao na kutuwezesha sisi wananchi kupata ukweli haraka na wa uhakika kuhusu hao watu wasio julikana. Mara ya kwanza nilipomsikia Lissu pale Ufipa siku alipopokelewa nilifikiri hawakumwambia sasa nilipoona anazidi kuisema kilasiku na kila sehemu ndiyo nimekuja...
  8. JamiiForums Tanzania Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

    #Sasa basi === Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza ZAIDI: Ofisi za...
  9. JamiiForums Tanzania Watu wasiojulikana ndiyo msingi wa CCM kupoteza uchaguzi huu

    Habari wanajukwaa! Kiukweli uchaguzi wa mwaka huu ni wenye ushindani mkubwa sana, kwa pande zote. Kwa upande wa chama tawala, turufu yao kuu ni ununuaji wa ndege, ujenzi wa miundombinu mbalimbali, pia kuleta mabadiliko ya kiuongozi ndani ya taasisi za serikali. Kwa mfano: Katika baadhi ya...
  10. JamiiForums Tanzania Nimelazwa Muhimbili ila sitaki mje mnione kwa kuogopa wasiojulikana

    Hapa ndipo tulipofikia kimsingi ingekuwa enzi za JK au BWM ningewaambia ndugu zangu nimelazwa wodi gani kitanda namba ngapi ila kwa hali ilivyo humu humu jf mnipe pole inatosha. Muhimbili ni kubwa ndio niko hapa moi kibasila mwaisela jakaya kikwete nk. Walioko hapa tujuane jamani nawatakia...
  11. JamiiForums Tanzania Mungu Si Athumani Wasiojulikana Waanza Kujulikana

    Huyu jamaa sio polisi lakini yupo hapo anashiriki kukamata, kumdhalilisha, kumbuguzi, mchana kweupe
  12. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali ikimuamini huyu mwamba wa huko Mtwara hawezi kusaidia kuwaangamiza wasiojulikana na hata kutupa kinga thabiti ya janga la Corona?

    Mkazi Mmoja huko Mkoani Mtwara amewashangaza na hadi leo Kuwaacha Hoi Wananchi huko baada ya Kuanzisha Duka lake la Kuuza Bidhaa mbalimbali tokea Miezi Minne iliyopita ila huwa halifungi kabisa huku ikifika Usiku analiacha hivyo hivyo na kwenda zake Kulala eneo lingine lakini hakuna chochote...
  13. JamiiForums Tanzania Issa Shivji: watu wasiojulikana hawatajulikana kwa sababu wanajulikana asiyejulikana sio mtu ni jitu

    Sio Kila Anayekuja Kukupa Pole Ukiwa Mgonjwa/Msibani Anamaanisha Wengine Wanakuwa Wamekuja Kujionea Matokeo ya Kazi Walioifanya Gizani.
  14. JamiiForums Tanzania Sitaki kuamini kwamba Genge la Wasiojulikana lipo ndani ya TISS. Ila ni kwanini TISS imenyamaza na inaendelea Kuyanyamazia haya Matukio?

    Kama nitakuwa nakosea Wabobezi na Wajuvi zaidi mtanirejebisha na nitawashukuruni sana tu. Nijuavyo Mzukulu ni kwamba kama kuna Idara au Taasisi ambayo ipo nchini Tanzania na ina uwezo mkubwa mno wa Kunusa kila baya, kuliwahi na hata ikiwezekana kulikabili Kimedani kwa ama kushirikiana na Jeshi...
  15. JamiiForums Tanzania Bunge tengueni sheria ya mitandao taifa lisiadhirike na wasiojulikana!!!

    Za mida tena wakuu! Kuna sheria ya mitandao ilitungwa kwa pupa na Bunge letu hili ili kutuziba midomo tusiripoti taarifa za kuikosoa serikali ya mtakatifu!mfalme!asiekosea! Malaika!mungu wa tz! Rais wa milele na mzalendo wa kule Chato! Sasa kwa kuwa maji hayazuiliki kwa mikono wala huwezi...
  16. JamiiForums Tanzania Chadema kutumia watu wasiojulikana kutukana viongozi sio ustaarabu wa kisiasa

    Ustaarabu ni jambo la muhimu kwenye maisha ya kila siku. Iwe ni maisha ya kawaida au kisiasa. Hakuna ubishi kuwa serikali ya CCM chini ya JPM inakubalika kwa wananchi. Hii ni kwa sababu imeweza kufanya kazi kubwa ya kutekekeza ilani ya uchaguzi vizuri. Sasa ninyi Chadema mmekosa mahala ambapo...
  17. JamiiForums Tanzania Dkt. Mollel: CHADEMA walipanga njama za kumpiga risasi Lissu

    Aliyekuwa mbunge wa CHADEMA kutoka jimbo la Siha jana ametema nyongo bungeni baada ya kuelezea namna viongozi wa CHADEMA walivyopanga njama za kumuuwa Lisu kwa kumpiga risasi na amesema kama wanabisha siku ikifika ataweka ushahidi wote hadharani! Report ya Dkt Mollel sasa inaweza kujibu swali...
  18. JamiiForums Tanzania Kimara, Dar: Polisi wawakamata kwa uzururaji Daktari chriscyrilo na Daktari Shindo Kilawa

    Watu waliojitambulisha kuwa ni Askari polisi (bila kuonesha vitambulisho) wakiwa na silaha za moto wamewakamata madaktari wawili, Dr. Chriss Cyrilo (kushoto) na Dr. Shindo Kilawa (kulia) wakiwa maeneo ya Mbezi jijini Dar usiku huu. Watu hao hawakutaja sababu za kuwakamata, zaidi ya kutumia...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru sana Marekani kwa kukikata meno kikosi cha Wasiojulikana!

    Marekani walijua kabisa kwamba kulikuwa na kikosi kilichobatizwa jina la "Wasiojulikana" hapa nchini, kikosi ambacho kilijikita katika kuteka watu na hata kuua. Na Marekani waliona wazi kwamba wahanga wa kikosi hiki cha Wasiojulikana walikuwa ni kutoka vyama vya upinzani pamoja na waandishi wa...
  20. JamiiForums Tanzania Unyama: Diwani wa CHADEMA Mbeya Mjini anusurika kuuawa na watu wasiojulikana, apigwa panga la utosi, hakuna uchunguzi

    Hapa ndio mahali ambapo Nchi yetu na siasa zetu zilipofikia. Tunamshukuru Mungu kwa kumlinda Mh Ibra dhidi ya wahalifu wanaolindwa ambao walimvamia alipotoka kwenye mgahawa kuelekea nyumbani kwake . Mungu ibariki Chadema ===== Ibrahim John Mwampwani diwani wa kata ya Isyesye Jijini Mbeya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…