wasanii

  1. O

    PreGE2025 Wasanii wa Tanzania wamegeuka vyombo vya Propaganda? Burudani sawa, lakini msitumike kama Propaganda

    Kwa asili, kazi kuu ya msanii ni kutoa burudani. Na walaji wakuu wa kazi hizi kwa asilimia kubwa ni wananchi wa kawaida, watu wa mtaani, vijana, akina mama, na wapiga kura wa taifa hili. Hawa si serikali, si viongozi, bali ni watu wanaohitaji sauti, matumaini, na faraja kupitia sanaa. Lakini...
  2. Simba na yanga pamoja na wasanii wanachelewesha mabadiliko nchii hii

    Nimeona Leo niseme ukweli kama Kuna maadui na hawasemwi katika taifa hili basi ni hawa watatu,Simba,yanga na wasanii( muziki na filamu). Wamekua wakitumika kama silaha ya kuhamisha ajenda muhimu za kitaifa..na mbaya zaidi watanzania wengi wameingia kwenye mfumo. Serikali inawatumia Hawa...
  3. Operesheni Unfollow Wasanii wote Mitandaoni ambao hawasimami na Wananchi kwenye Haki

    Nchi nyingine, watu maarufu na Mastaa usimama na Wannchi linapokuja swala au jambo la maslahi ya wananchi kwa ujumla. Huko South Africa, Nigeria hata hapo kwa majirani zetu Kenya wasanii wengi husimama na raia na mara zote wamekuwa mstari wa mbele kuwapigania au kuwazungumzia wananchi endapo...
  4. Suala la mikataba ya wasanii sio bongo tu, kilichomkuta Taylor Swift ni huzuni!

    Mwaka 2006 ndiyo ulikuwa mwanzo wa kufahamika kwa binti mdogo toka Pennsylvania aitwaye Taylor baada ya kusign mkataba na label ya Big Machine Record, mwaka huo aliweza kutoa album ya country ikijulikana kama Taylor Swit ikiwa kama debut album. Taylor aliendelea kutoa album kadha kwa kadha kama...
  5. Siri na mustakabali wa maisha ya sasa ya wanasiasa na wasanii duniani

    SIRI NA MUSTAKABARI WA MAISHA YA SASA YA WANASIASA NA WASANII DUNIANI Tom McDonald ni msanii wa muziki wa hip-hop ambaye ameweza kujitokeza na maudhui yanayohusiana na masuala ya kijamii, siasa, na utamaduni. Katika baadhi ya nyimbo zake, amezungumzia mada kama vile Illuminati, cloning ya...
  6. Wasanii Wanatakiwa Kuwa Makini Na Ulevi Wa Aina Yoyote, Wengi Wao Maanguko Ndio Yanaanziga Hapo

    Ni huzuni sana, tena sana. Yaani unapokuwa na kipaji, unapoanza kuwa juu, kuna watu wanaanza kutafuta njia ya kukuangusha. Msanii wetu alikuwa mkali sana, alikuwa na ngoma kali, na alipata jina kubwa sana Tanzania. Mwisho wa siku, watu wakaamua kumpoteza. Walitaka ashuke na kuwa chini kabisa...
  7. Dkt. Thea Ntara: Wasanii wanaovaa vibaya na Wanawake wanaocheza vigodoro wakiwa wamelowesha nguo wakamatwe

    Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
  8. Gachagua awataka Wananchi kuwasusia Wasanii Wakikuyu walioshiriki Kikao cha Serikali

    Gachagua amesema hatua hiyo ni Usaliti kwa Jamii yao hivyo kuwataka watu kutosikiliza Nyimbo zao, kuwa "unfollow" kwenye Mitandao ya Kijamii na kutowaalika kutumbuiza katika matamasha na vilabu vya Starehe hadi watakapoomba radhi Amesema "Wamelipwa Elfu Hamsini kila mmoja (Takriban Tsh. Milioni...
  9. W

    PreGE2025 Wasanii wa bongo movie wamshukia Martha Karua

    Wakuu Hivi hawa wasanii na haswa huyu Jimmy Mafufu huwa wanaelewa hata wanachokiongelea? Wana elimu hata ya kuhusu diplomasia ama huwa wanaongea tu? Na huyo anayewatuma huwa anatambua anachokifanya? mana ni aibu kwa kweli. === Msanii wa maigizo nchini maarufu kama Jimmy Mafufu amuweka...
  10. Kala Pina alitaka kuwatolea posa wasanii wenzake ambao ni Voice Wonder pamoja na Mr Blue nyakati hizo!!

    Ukizungumzia msanii wa Hip Hop waliokuwa wana matukio ya kushangaza na ukorofi basi huwezi kumuacha Kala Pina mzee wa Kikosi cha Mizinga kutokea pale Kinondoni Block 41. Pina aliwahi kutishia kumtolea posa msanii mwenzake aitwaye Voice Wonder kisa tu anadai alikuwa anabana sauti wakati wa...
  11. Wasafi Festival Mbeya hali imekuwa tete. Zuchu akimbia Jukwaa

    Video inaonesha Zuchu akirushiwa chupa na wakurungwa. Hawataki aendelee naye aamua kuzila kurusha mic na kuondoka. Wanaonekana wamechafukwa sana. Mbaya zaidi kuna mwimbaji ambaye alikuja lalamika kuwa jamaa wa huko ni wajeuri hawataki kuimbishwa. Wanasikika wakisema wanamtaka mke wa P.Diddy...
  12. S

    Kwanini Wasanii wanaamini Live show bila kelele wala fujo haiwezekani?

    Nimehudhuria baadhi ya matamasha na LIVE SHOWS za Wasanii wetu. Ila sikuwahi kufurahia tamasha hizo kutokana na kelele zisizo na mpangilio kutoka kwa wasanii wenyewe. Mara , Kushoto Kulia, mko wapi? mara Ruka juu!, mara mnataka niendelee au niwaachie? Yote haya yanaonekana kuwa ni sehemu ya...
  13. Angalia majibu ya shombo ya Trump kwenda kwa hawa wasanii!

    Kweli Marekani imepata mchambaji! Hawa wasanii nao walijitakia wenyewe! Trump targets Taylor Swift and Bruce Springsteen on Truth Social The Dark singer accusing Trump of being "unfit" for office during the opening night of his UK tour. Huyu kachambwa hivi: he refers to Bruce Springsteen as...
  14. Orodha ya Wasanii ambao hata wafanye nini hawawezi kurudi tena kwenye game... wageukie fani zingine

    Hawa ni wale wasanii ambao bado hawajaukubali ukweli na kila wakihojiwa wanasema wanaanda album au kuna kazi zao zinakuja mashabiki wasikilizie tu; 1. Q Chief 2. TID 3. Baraka da Prince 4. Young Killa 5. Mh. Temba 6. Chege 7. Rich Mavoko 8. Aslay 9. Maua Sama 10. AY 11. Fid Q 12. Joh Makini 13...
  15. Tuliowahi kula wasanii wakubwa wakubwa tujuane

    Nmekumbuka tu mara 3 kwa wanawake watatu tofauti wasanii ambao nimewahi kuwala. Mmoja huyu kwa sasa anaolewa olewa na kuachika yeye nlimla kipindi hicho kwa tsh 600,000 mpaka asubuhi. Ingawa alianzia na dau la 1,000,000. Nikamwambia ni 600,000 no more no less. Akaniambia nimwache afikirie...
  16. Palamagamba Kabudi: Wasanii wamepatiwa mikopo zaidi ya TSh. 5 Bilioni na Rais Samia

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Profesa Palamagamba Kabudi amesema Rais Samia ameweka mazingira wezeshi kwa Wasanii nchini kwa kuwapa mitaji ya kuboresha kazi zao ambapo katika uongozi wake amefufua mfuko wa Utamaduni na Sanaa uliokuwa umekufa kwa zaidi ya miaka 10 na kipindi...
  17. Pendekezo: Hafla zozote zinazomhusu Rais iwe ni marufuku kuwepo burudani za wachekeshaji, waigizaji au wasanii binafsi

    Mizaha mizaha itatumbua usaha, tusilee ujinga na upuuzi hadharani, hayo mambo tukiendelea kucheka nayo ipo siku, tena sio nyingi tutavuna mabua. Taifa linawapa kiburi na jukwaa pana na kubwa mnoo isivyopaswa kisa waliwahi kufanya mizaha mbele ya mheshimiwa rais. Hao wasanii, kwa nature ya kazi...
  18. Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo wengi

    Afrika haitawahi kupata wasanii watakaovunja rekodi ya Wafalme wa Rumba rika la akina Frankoo, Madilu System, Papa Wemba, Sam Magwana na wengineyo Ni ngumu kuvunja rekodi ya Frankoo huyu alikuwa na uwezo mkubwa wa kuimba pasipo kuandika mashahiri, kupiga vyombo vya muziki hasa Guitar kwa...
  19. Wanasayansi wetu vs Wasanii

  20. Wasikikizeni wasanii wenu ambao raisi kawekeza huko

    Tukisema nchi hii inapoelekea mpaka Mr pimbi naye anaitisha vyombo vya habari kuongea upimbi wake. Wale tunaowakodisha kusimamia harusi na kucheza kwenye harusi ili limetokea huko naijeria yule aliyekuwa mnunua simu za wizi kinondoni na kuwa msanii na kutoboa kimaisha baada ya ruge kufa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…