wasanii

  1. M

    Kwa ninavyowajua Mabinti wa Kitanzania na hasa hawa Wasanii wetu wa Kibongo nitakuwa wa mwisho kumuamini huyu mmoja wao...

    Ni kweli sina mpenzi na sipo kwenye mahusiano, mimi ni binti mdogo nina miaka 19 sitakiwi kujihusisha na hayo mambo, siwezi ku-control mapenzi na kazi kwa wakati mmoja kwa hiyo itabidi nipige kazi, nilishaapa sitaki kufa masikini lazima nipambane" - Msanii Anjella wa Konde Gang Chanzo...
  2. Hivi wasanii waliotunga nyimbo za kumuenzi Magufuli ni kwa mapenzi au shinikizo?

    Ukizisikiliza kwa makini nyimbo nyingi zilizotungwa baada ya Rais Magufuli kufariki huwezi kuacha kuwaza ni kweli na kwa dhati ya mioyo yao hawa wasanii wanamaanisha? Au kuna kitu wanakinyemelea nyuma ya pazia! Inavyoonekana ni kama baada ya kifo hiki wengi watashindwa kuendelea kuitumikia...
  3. Diamond Mfalme wa Youtube kwa wasanii Kusini mwa Jangwa la Sahara, aweka rekodi nyingine

    Msanii wa Bongo Fleva Diamond Platnumz amepiga hatua nyingine kubwa katika kazi yake ya muziki. Diamond kwa jina halisi Naseeb Abdul amekuwa mwanamuziki wa kwanza kusini mwa jangwa la sahara kupata subscriber milioni tano katika mtandao wa Youtube, kupitia chaneli yake ya youtube. Mbali na...
  4. I

    Net worth za Wasanii wa Bongo

    Wakuu nataka kufahamu net worth za wasanii wa bongo. Nikimtazama mwanamuziki jux naona msanii mkubwa ndani yake. mwenye kipaji. Ana pesa kiasi gani na anazipata je, kwa kuimba tu au ana vyanzo vingine halali? Karibuni.
  5. Madee: Diamond alitupigia simu saa tisa usiku wasanii tukutane studio

    Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Madee ameleza namna alivyowaza mbali kuimba wimbo wa hadithi ambao umeelezea mambo aliyofanya hayati Magufuli, huku akienda mbali zaidi aikisema kuwa atatunga kitabu kwa ajili ya huo wimbo.
  6. Dar: Yaliyojiri kuagwa kwa Mwili wa Hayati Dkt. Jonh Magufuli Uwanja wa Uhuru

    Baada ya Ibada ya kuuombea na kuuaga mwili wa aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli kufanyika katika kanisa la St Peters Jiji Dar es Salaam sasa ni muda wa uwanja wa Uhuru Dar Es Salaam. Wananchi wamekusanyika kwa wingi kuuaga mwili wa aliyekuwa rais wa Tanzania WAKAZI WA DAR...
  7. Wasanii kwenye nyimbo za maombolezo mmebugi sanaaa

    Yaani nowdays wasanii wengi wamekuwa wakitoa nyimbo za maombolezo zinazofanan halafu mashairi cheap sana hayagusi Nimeskia country boy anaimba eti "your my super girl my president" Hivi kama sio bange ni nini?
  8. G

    Wasanii waipa shavu ‘konyagi’ kuthamini jitihada za wanawake katika kusherehekea ‘siku ya wanawake duniani’ 2021

    Na Mwandishi wetu, Katika kuadhimisha kusherehekea siku ya Wanawake Duniani 2021, wasanii mbalimbali wa muziki wa kizazi kipya hapa nchini wamekipongeza kinywaji cha Konyagi kwa kuwapa fursa ya kuthamini ujasiri, ushupavu na uthubutu wa wanawake ambao wamejitoa katika mafanikio ya kazi zao za...
  9. Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

    Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule. Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
  10. Wasanii wa Bongofleva sasa kupewa misamiati kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili

    Dar es Salaam. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Abdallah Ulega amesema watawapa wasanii misamiati mipya kwa ajili ya kuitumia kwenye nyimbo zao ili kukuza lugha ya Kiswahili. Miongoni mwa wasanii hao ni Daimond, Ali Kiba, Harmonize, Zuchu, Nandy, Maromboso, Rayvan na wengine...
  11. Serikali: Hatutasimama na Wasanii wanaotafuta kiki badala ya kufanya kazi na wale wanaovunja sheria za Nchi

    Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan Abbasi amesema Serikali haitapoteza muda na wasanii wanaofanya “kiki” badala ya kutumia muda wao vizuri kutengeneza kazi bora zitakazouzika ndani na nje ya nchi kwa manufaa yao na Taifa. Dkt. Abbasi...
  12. Yaani wasanii wengine hawamo Wikipedia na wakati wanafahamika au wanasubiri serikali iwaenzi

    Kuna wasanii hawamo Wikipedia sasa nashangaa sijui wamepungukiwa nini, mtu kama soggy doggy, D.knob siwaoni au ninyi ndugu mnawaona? Ebu waambieni wafanye hivyo, Hivi madogo wa baada ya miaka 50 mbele watawatambuaje? Ndio nasikia watu wanalalamika eti serikali haitunzi historia, kama ni hivyo...
  13. K

    Poka studio wanijeria wanaotengeneza animation za wasanii wanajua sana

    Kuna zile animation za music wanatengeza wale wanaija wanajiita poka kwa kweli ni nzuri sana wanatengeneza kwa kiwango cha juu Waliwahi tengeneza video animation jeje ya diamond mpka mwenyewe alipiga salute Sijui mmiliki wake hiyo studio ni nani? Video animation kama Orakila- in my maserati...
  14. Producers wa sasa kina es2kizzy na Laizer, Abbah jifunzeni muziki mzuri kupitia bolingo za nyuma muache huu utopolo

    Kwa wale wapenzi wa muziki wa zamani bolingo japokuwa mimi sio old skool ila nimetokea tu kuzijua nyimbo nyingi kutokana na nature ya kazi nilizowahi kufanya na ninazofanya Ninachojiuliza zamani teknolojia kuwa ndogo lakini mbona bolingo hizo nyingi sauti na vyombo vimepangiliwa kwa ufasaha...
  15. Perfomance Mbovu ya wasanii wakongwe kwenye Serengeti Festival 2021 Dodoma

    Wahenga wanasema vya kale dhahabu,mavi ya kale hayanuki,na uzee dawa lakini hali ni tofauti kwenye upande wa bongo fleva,ya kale yamekua kokoto za Kunduchi,wazee wetu pumzi zimekata,mistari wamesahau,umiliki wa jukwaa zero kabisa ....wateule hasa Jafarai na Mchizi mox hamna kitu kabisa,Salute...
  16. Majina ya hawa wasanii katika nyimbo hii..

    Wakuu kupitia nlivyoandika kuna mwenye idea ya hiyo nyimbo nimeshindwa kuiandika vyema nimeikutia mwishoni,sifahamu hasa namna ya kuiimba Am so soulaa enheee,shwai issh Manish ndolee,tikiittk mandole tikiitk mandole am so soulaa ehh wishu badnlldole ...
  17. Njaa Kali ama ni nini : Wasanii kuweka mpaka Video za matembezi kwenye accnt zao za YouTube

    Hili Jambo linanishangaza Sana , sijaona wasanii wengine hasa wa nje , wakiweka video tofaut na official music kwenye official accnt zao za YouTube , huku Tz ni fujo tupu , unakuta msanii anaoga bafuni anajirekodi anaweka kwenye accnt yake ya YouTube ..... Huyo Zuchu sasa ni hamna kitu , wimbo...
  18. Hivi Wasanii hufaidika nyimbo zao zinapofanyiwa parody?

    Huko kwenye you tube nimeona parody kibao za Waah ya Mondi, ningetamani kujua kama anafaidika ama ni wanajifurahisha tu...ingawa Watu wanapata views kupitia hilo. Moja wapo hii hapa.
  19. Wasanii na Wanamuziki wengi kugombea Uraisi nchi za Afrika je wasomi na wataalamu wamekata tamaa au nini?

    Ukifuatilia siasa za Africa sasa hivi wasanii ndio wanaanza kuibuka kugombea vyeo vya uraisi africa Mfano Raisi wa Madagascar Andry Nirina Rajoelina alikuwa DJ wa mziki Bob Wine wa Uganda ni Mwanamuziki kagombea Uraisi uganda Tanzania Freeman Mbowe alikuwa DJ wa Muziki na alishagombea uraisi...
  20. Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi

    Kama wewe ni mfuasi wa muziki, basi utakubaliana na mimi kwamba hii kazi ni ya kiwango cha kimataifa (World Class). Hawa ni watoto wa Afrika Kusini, lakini kazi waliyoitoa ni ya kiwango cha nchi za Magharibi, Ubunifu wa mavazi, mazingira, mavazi na wimbo wenyewe vimebebana sana. Hivi wasanii...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…