Je, ni kweli Wasanii wa Congo wapo juu kwa ushirikina?

Its Pancho

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
14,138
22,504
Wakuu

Kwa muda mrefu nimeskia haya juu ya wasanii wa hao ndugu zetu Congo. Madai na Story zimekuwa nyingi sana. Kwamba jamaa huwa wanaamini bila uchawi muziki hauwezi kutusua. Na wanauamini sana.

Niliwahi sikia Story kwa vijana wa kizamani walinisimulia kuwa, pepe kale alikuwa ana jeneza lake kwenye chumba maalumu nyumbani kwake, pale atapokuwa ana Show Week moja kabla anaingia humo na kukaa kwa muda fulani then anaenda kwenye Show, humo hatakiwi kuingia mtu

Sasa siku moja mama yake na pepe kale alipita kumsalimia mwanae na binti wa kazi akamuelekeza kwenye chumba hicho na mama hakujua chochote kuhusu masharti na kupeleka pepe kufariki.

Pis bwana jean dieu makiese aka madilu system naye pia naskia kilichomuua ni uchawi uliopitiliza. Wakubwa na vijana wa kale mje kutusahisha mayanki.

Majuzi tu innos b alikuwa analalmika kuwa fally ipupa anamroga na anaroga wenzie.

Hivyo basi tujue mbivu na mbichi hapa hapa
 
hizi story nishasikia sana,kuna ile ya werrason kumla sokwe kwenye chumba maalum kabla ya kwenda show.

hapa ndio ukifikiria ya umaarufu pozi linakwisha.

ila kwa namna mambo yanavyostuck mtaani kwenye mishe za maisha ya kawaida,ni ngumu sana kutokuamini hizi maswala.
 
Kweli..Congo wasanii wengi ndumba sana Fally Ipupa kamuua mama yake na kile kitambaa anachotumiaga kufutia jasho ni cha marehemy mama yake...JB Mpiana wa wenge BCBG kameza chura,Koffi olomide anaoga mikojo kabla ya kwenda kwenye show..Huyu JB Mpiana nahisi nyimbo zake kabla ya kutoa ni kweli zinakuwa na makafara ya kutisha maana ni miaka zaid ya 20 sasa kila asubuhi nikiamka iwe room kwangu au kwenye gari lazima nisikilize nyimbo zake kuanzia Feux De Amour,48 heures Gecoco,Masuwa n.k alikujaga 2014 Leaders lilipigwaga sebene la hatari la Gecoco watu shangwe kibao...hizi story zipo kwa sababu waganga hawaishi mbinguni wapo maeneo hayohayo wanayoishi kwahyo watu wanawaona kwa macho wakiwa katika hizo harakati kwako GENTAMYCINE
 
Kuna Uzi mmoja gentamicin kaweka data zote

Genta ukipita hapa tag ule Uzi wa wenge bcbg beef la jb mpiana na werason ngiama makanda
gentamicin ndiyo nani huyu? Mimi najua hapa JamiiForums kuna Mtu aitwae ( niitwae ) GENTAMYCINE tu pekee ambaye ni " Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer " Kiuhalisia.
 
hizi story nishasikia sana,kuna ile ya werrason kumla sokwe kwenye chumba maalum kabla ya kwenda show.

hapa ndio ukifikiria ya umaarufu pozi linakwisha.

ila kwa namna mambo yanavyostuck mtaani kwenye mishe za maisha ya kawaida,ni ngumu sana kutokuamini hizi maswala.
Cjui anamwelekeza vipi? Style ya kumgongea
 
Si wakongo tu hata bongo hakuna msanii asiekwenda kwa mganga. Kuna mmoja juzi eti anatuambia alishawah kwenda kwa mganga ila hakuona faida yake nlicheka nkasema huyu anatuchezea akili
Nandy tu hapa bongo analaumiwa sana kwa ndumba yani iko hivi KAZI YAUSANII NA UCHAWI HAVIEPUKIKI USIPOROGA UTAROGWA UKIPOTEA MGANGA WAKO KAISHA MAKALI
 
Mama yake Rayvanny hataki hela za mwanae anadai zina mauza uza kibao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom