wasanii

  1. Asilimia 98 ya wasanii wapo chama tawala

    Kuna kampeni inaendelea kumuangusha kijana Diamond kwenye tuzo za BET. Ukiliangalia naona limekuwa lenye upinzani ambao umeingiliwa na vyama vya upinzani kwa ajili tu siasa ziwepo sijui. Sasa nauliza kama mtu Mwijaku wewe ulianza kwa ajili kumpiga chini mwisho likaingilia vyama vya pinzani...
  2. J

    Sera ya CHADEMA inasemaje kuhusu Wasanii hususani wa muziki wa kizazi kipya?

    Nafahamu sera ya CCM inahimiza kuwalea wasanii katika tasnia zote ili waweze kufikia viwango na mafanikio ya kimataifa. Ndio maana unawaona akina Samatta, Msuva, Diamond nk nk wakitoboa. Sera za Chadema sijajua zinasemaje. Mwenye nazo atujuze Tafadhali. Nawatakia Sabato yenye baraka!
  3. Watambue Wasanii wa Bongo Fleva waliopiga kelele hadharani kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa

    Profesa J na Ney wa Mitego walijitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yao na kupinga Roma Mkatoliki Kutekwa Yeye na watu wengine pale Studio, na walipaza sauti zao ili arejeshwe akiwa hai. Jambo hili lilimfanya aliyekuwa RC wa Dar es Salaam Paulo Makonda kutangaza kwamba Roma atarudishwa kabla...
  4. Wako Wapi Wasanii hawa?

    Jana Jioni Baada ya Kuchoshwa na Kazi za Kaisari, niliingia You tube kutafuta nyimbo nilizokuwa nikizisikiliza. Nikabahatika kumkumbuka Msanii mmoja toka Iringa akifahamika kama Mike T aka Mnyalu. Kwa haraka nikazikumbuka kazi zake mbili KAMA na NYALU LAND. Kisha nikamkumbuka Babu Inspekta...
  5. Diamond Platnumz anavuna alichopanda. Wasanii wenzie wasilazimishwe kumuunga mkono. Mmesahau ya Fiesta kipindi cha Makonda?

    Wanajamvi Habari. Hivi karibuni baada ya msanii Diamond Platnumz kuchaguliwa kuwania tuzo za BET kumeibuka makundi mbalimbali hasa baadhi ya wasanii na wanasiasa kulazimisha wasanii na wadau wote wa muziki na wasio wadau wa muziki kumuunga mkono Diamond. Lazima tuseme ukweli kuwa hata Diamond...
  6. Wasanii wa kike wa Bongo Fleva ambao walitamba kisha wakatoweka

    Lady Jaydee ndiye gwiji wa Bongofleva kwa upande wa kinadada. Ana miaka 21 katika hii gemu tangu alipoachia wimbo wake wa Machozi mwaka 2000. Amewezaje kudumu katika gemu kwa miaka yote hiyo wakati kuna Wasanii wa kike kibao ambao walimkuta akiwa juu na wamefutika akiwa juu? Hili ni swali...
  7. Wasanii ambao mziki ulisababisha wapoteze majina yao ya asili

    Imekuwa ni kawaida kwa kampuni, taasisi na mashirika makubwa duniani kote kubadili majina kutokana na sababu za kibiashara, kubadilishwa kwa lengo la uanzishwaji wake au kuuzwa kwa mmiliki mwingine. Hilo pia hujitokeza kwa wasanii wa muziki, filamu na mitindo kwa lengo la kuimarisha chapa zao...
  8. Fursa kwa wasanii wa Tanzania ya kufanya kazi na Akon

    Boomplay na Hitlab wametangaza Shindano la kuvumbua vipaji kidijitali kwa wasanii Chipukizi linalomshirikisha nyota wa muziki wa Marekani mwenye asili ya Senagali, Akon. Dar es Salaam, Tanzania, Mei 26, 2021. Boomplay na Hitlab wameungana kuwawezesha wasanii chipukizi kufanya kazi na nyota wa...
  9. Wasanii wote wa WCB na NLM Wana show Ila KMW na KINGS matumbo joto Kuna la kujifunza kuanzisha LABEL

    Habarini Wana Jf Niende moja kwa moja kwenye topic, kiukweli label kuoperate sio Lele mama Kama wengi wao wanavyozania maana inahitaji moyo wa Chuma Kama alio nao Rayvanny na Diamond platinumz maana wao ndio wameikamata hii industry kwa kuonesha Ni jinsi gani Wana core values za music and...
  10. Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

    Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa. List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo. Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
  11. K

    Ushauri BASATA wasanii wetu kazi zao ni za kimataifa sio Tanzania pekee

    Ushauri wangu kwa Basata ni huu kazi za wasanii sio za Tanzania pekee na hamuwezi kukaa vikao bila kuelewa hilo. Usanii ni biashara ambayo serikali inanufaika kwa ubunifu sasa cha ajabu ni watu kuwa katikati na kutaka kuwaeleza wabunifu etu wabuni vipi!. Dhana ya hiki chama ni kusaidia kusiwepo...
  12. Tujuzane: Je, mkoa gani wenye Wasanii wengi?

    Habari za kushinda wakuu. Uzi huu nataka tujuzane je, ni mkoa gani wenye wasanii wengi hapa Tanzania? Hapa naongelea wasanii wote kuanzia waigizaji, waimbaji na wachekeshaji. Je, itakuwa mkoa gani unaongoza hapa Tanzania. Tunaweza saidia kutaja wasanii na mikoa watokayo ili tufahamu zaidi. Kwa...
  13. BASATA Kuanza Kuhariri Nyimbo za Wasanii Bongo.

    Kuanzia tarehe 1 Mei 2021 BASATA wanaanza kutumia rasmi kanuni ya kuzipitia/kuchuja nyimbo mpya za Wasanii wote Tanzania kabla ya kupelekwa kwenye vituo vya Radio/TV “hii sio sheria mpya, ilikuwepo kabla ila haikua imeanza kutekelezwa, wimbo ukipitishwa Msanii anapewa cheti” Chanzo...
  14. Wasanii mnaoibukia kulikoni? YouTube ni hovyo sasa

    WASANII MNAOIBUKIA KULIKONI? KWANI YOUTUBE NI HIVYO SASA 😨 Sikatai kuwa hata mchicha na mbuyu vilianza sawa, lakini Huu mtindo wakuomba sub 4 sub au kuomba views Na subscribe inbox kama utawafikisha pahali! Niukweli mchungu lakini muupekee hivyo hivyo. Kuna madhara makubwa yakumwomba mtu...
  15. Wasanii wanaotumia lugha chafu kwenye kazi zao kikaangoni

    Baraza la Kiswahili Tanzania (Bakita) limesema litaanza kuwashughulikia wasanii wanaotumia vibaya Kiswahili katika kazi zao huku likiwatolea mfano wasanii wa Bongofleva. Hayo yameelezwa leo Alhamisi Aprili 29, 2021 na mhariri lugha wa baraza hilo, Oni Sigala katika jukwaa la sanaa lililofanyika...
  16. D

    Kuliko kufunga wasiojulikana; Serikali ingefunga na wale wasanii wanaotongoza wanafunzi ili fundisho lifike kwa jamii

    Huko vijijini kuna kesi za masikini kuwarubuni watoto wa shule kingono na huamuliwa ili iwe fundisho kwa jamii. Huko vijijini kuna kesi za walimu kuwatongoza wanafunzi kwa tuhuma ya kuwakonyeza au kuchat nao tu na huamuliwa jera ili fundisho kwa jamii. Je, Serikali haioni kuwa kuna umhimu wa...
  17. Kwanini hakuna taarifa za wasanii wetu wa muziki na wanasoka kwenye mitandao?

    Nimekuwa nikijiuliza kwa muda mrefu kwanini wasanii wetu maarufu hapa Tanzania huwezi kupata taarifa zao kwenye mitandao kama Wikipedia ili angalau ujue historia zao. Ni ajabu kwamba hata wanamuziki wetu wakongwe huwezi kupata taarifa zao zote hasa kwenye mtandao maarufu wa Wikipedia. Mitandao...
  18. Wasanii acheni kutumika kwa kiki kuwatoa watu kwenye mjadala wa ripoti ya C.A.G, kuna waliopewa pesa

    Wasanii muachege kutumika vibaya aisee. Haswa nyie wachafu sijui wachafu wa nafsi na team yenu. Yaani mnapewa pesa na maagizo ya watu fulani fulani hivi mtengeneze kiki ili mutoe watu kwenye reli ya kujadili report ya CAG kwa manufaa ya kikundi fulani hii haikubaliki. Nyie wasanii ndo maana...
  19. K

    Ushauri kwa wasanii na wote mliojaliwa mali

    Wasanii wabongo wasipofungua akili wataishia kwenda mahakamani kuvunja ndoa nakugawa riziki kidogo waliyojaaliwa Nimemwona Ben Pol, nakumbuka kisa Cha Kiba, Hawa ni baadhi ya watu walioa kabla yakufungua macho kuona Nini Tafsiri ya ndoa Naomba wasanii msikurupuke kuoa, wanawake wanawaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…