wasafi

  1. Kuna kila dalili wachambuzi Wasafi FM wamemchoka Maulid Kitenge

    Kumekuwapo na sakata siku mbili hizi kati ya msemaji wa Simba, Haji Manara na mtangazaji wa Wasafi FM, Maulid Kitenge. Hii ni baada ya Kitenge kupost kwenye page zake kwamba kuna ugomvi kati ya Morrison na kocha wake Gomes, na ndio maana Morrison aliachwa Dar safari ya Khartoum, madai ambayo...
  2. J2 mangoma ya kisauzi Wasafi FM

    Hili pindi la mangoma ya kisauzi kila J2 Wasafi FM kwangu ni balaa sana, kiufupi wasauzi wanamabiti mazito na ya maana sana ila sijui why ngoma zao hazivumi. Ukiangalia hata biti za wimbo wa mama amina wa marioo na sho madjozi ni biti za kisauzi, hata huu wa harmonize wa anajikosha katembea na...
  3. M

    Msemaji wa Simba SC, Haji Manara amuonya Maulid Kitenge kwa uzushi wake usiovumilika

    Ni taarifa ambayo bado ya moto moto kabisa ya kama dakika 15 tu zilizopita Tumekuvumilia mara nyingi sana lakini kwa sasa uvumilivu umetushinda, Kwanini kila siku ni ww tu kuiongopea Simba mambo ya uongo? Unaitumia mara kadhaa @wasafifm kuelezea migogoro hewa kuhusu Simba na kutaka kuichafua...
  4. M

    Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

    Umeniangusha mno leo ambapo hapo Studioni Kwako ulikuwa na Wageni (Wazungu) Wawili akiwemo Mjerumani Mr. Alvaro ambaye ni Mkufunzi wa Soka la Vijana na Wanawake. Kiingereza chako cha Kumkaribisha Mjerumani Mr. Alvaro kwa Kumwambia ' Welcome Tanzania ' badala ya kusema (Kumwambia) ' Welcome to...
  5. F

    Wimbi la viongozi kwenda Wasafi FM badala ya TBC

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la viongozi wa kiserikali kushiriki mahojiano mbalimbali pale Wasafi FM. Yaani ni kama wanapishana vile, ukiangalia namba ya viongozi hawa hawa kwenda TBC FM ni kama haiko kabisa. Je, huku si kukosa uzalendo?
  6. Huyu DJ wa Wasafi anaharibu kipindi

    Huyu Dj anapiga ngoma kali za dancehall na ragga ila anaboa anaongea muda wote hata kipindi kinakosa ladha kabisa aisee hebu mwambieni mnaomfaham aisee aache mambo ya kizamani apandanishe mangoma kuongea iwe kidogo sana.
  7. Ngoma bado mbichi kabisa, Harmonize na feminist Gyumi wameandaa maandamano makubwa Wasafi HQ

    Wakati akiweka pini kituo cha polisi, msanii Harmonize amekataa kukubali yaishe kweli uchungu wa mwana aujuaye mzazi. Harmonize akishirikiana na mwanadada mtetezi wa haki za wanawake na watoto Rebeka Gyumi wameanza kutuma jumbe za kuwaalika watu muhimu katika na wananchi kwa ujumla kushiriki...
  8. Wasafi TV yapunguziwa adhabu, sasa kutumikia adhabu mpaka 28 Februari, 2021

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania imefanya mapitio ya adhabu iliyotoa kwa Wasafi TV baada ya Wasafi kupeleka ombi la kufanya hivyo. Baada ya mapitio TCRA imeakuja na uamuzi wa Wasafi kuendelea kutumikia adhabu hiyo mpaka tarehe 28 Februari 2020. UAMUZI WA TCRA DHIDI YA WASAFI 1. WASAFI TV...
  9. Mkiwasaidia Wasafi TV kwa 'Unafiki' wenu basi upesi sana muwaombe radhi itakayoambatana na 'Fidia' akina Kwanza TV na wengineo mliowafungia nyuma

    Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo Innocent Lugha Bashungwa ameeleza kuhusu kufungiwa kwa Vyombo vya Habari na Wasanii na kuzungumzia kuhusu Wasafi Tv. Akiongea katika kipindi cha Clouds Fm Waziri ameeleza haya. “Kama Wizara jukumu letu la kwanza ni kusimamia nidhamu, inapotokea...
  10. M

    Simba SC ni lini mtatoa tamko lenu kali dhidi ya Utangazaji wa Chuki na Kiuchochezi wa Maulid Kitenge na Wasafi FM yake?

    Sasa imekuwa ni kawaida kila ambapo Mtangazaji huyu Maulid Kitenge akiwa katika Kipindi tegemea kusikia Habari mbaya (negative) tu ya Kuihusu Simba SC. Na hata kwa wale mliobobea vyema katika Saikolojia hasa ya Kimwonekano (Body Language) tu ukimuangalia Maulid Kitenge kupitia YouTube utaona...
  11. Tumpe Zuchu kura za ndio na WCB Wasafi

    ingia kwenye link kisha vote https://www.mtvmama.com/info/aljvas/vote jamani mjitaidi kuvote ata kama uwapigii wengine akikisha umempigia mate wangu zuhura aka zuchu category ni breakthrough act
  12. M

    Waziri Innocent Bashungwa: Wasafi TV wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie

    “ Wasafi Tv wanajutia kosa, wameomba msamaha na kuonesha nia ya kusimamia yasijirudie, Wizara inaendelea na jitihada za kuona hili linapata mwelekeo utakaolinda ajira zilizozalishwa, uwekezaji uliofanyika bila kuvunja sheria za Nchi"-Waziri wa Habari Innocent Bashungwa Taarifa: Darmpya Blog
  13. RUNGU: TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha matangazo kwa Miezi Sita (6) kuanzia leo kwa kurusha Maudhui ya utupu

    TCRA imeitaka Wasafi TV kusitisha kurusha matangazo kwa miezi sita kuanzia leo kutokana kwa kukiuka kanuni za utangazaji kwa kurusha maudhui ya utupu. Maamuzi hayo yanakuja kufuatia maudhui ya picha jongefu yaliyomwonesha msanii wa bongo Fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money akicheza...
  14. Wasafi TV inabidi mkajifunze kwa Clouds TV namna ya kurusha vipindi mubashara

    Hii media imekuja kwa kasi sana, kweli mmeweza kukamata pakubwa kwenye tasnia ya habari mawasiliano na burudani. Lakini bado mnasafari ndefu sana kufikia media zilizotangulia, msijione mnaweza kufika 10 kabla ya kuanza 1, ni vema kujifua zaidi kupata maujuzi kabla ya kuanza kufanya mambo ambayo...
  15. Mjue mmiliki halali wa Wasafi Tv

    Vijana wa kileo tunapenda sanaa ushabiki bila facts. Ila hili la nani ana miliki WASAFI TV TCRA walishalitolea ufafanuzi zamaniii (tokea 2018) Ukifupi mmiliki wa WASAFI TV ni Kusaga Kwanini nasema hivyo? Hebu tuingie darasani Ukisoma Corporate Governance vizuri inakufundisha kwamba "The...
  16. Wasafi FM wana utoto na ujinga mwingi studio

    Hivi vipindi vyao kila mtu akiwepo studio ana control ya Mixer, yaani ni kelele na vurugu tu studio. Warekebishe huu. Mtu kipindi cha michezo yupo MWANAIDI SULEIMAN (Mtangazaji) Paul Mkai (Mtangazaji) Kawambwa (Mtangazaji) Sasa who is the main controller hapo. Kila mmoja wao anaongea tu...
  17. P

    Muziki na Siasa ya Wasafi Tour 2020. Eti Wamesahau

    Ninapokumbuka muziki na siasa namkumbuka msanii aliyevuma sana nchini , wakati huo hapakuwa na Diamond wala nani , huyu ni MARLAW alikuwa na kipaji sana na kuelekea kampeni za urais 2010 nyimbo zake zilikuwa HITS kwenye radio top ten zote Mwaka 2010 alipata deal la kampeni akazunguka nchi nzima...
  18. Ushauri: Diamond na Wasafi FM zingatieni haya

    Salam wakuu Nimepata nafasi ya kusikiliza Wasafi FM kwa siku kama mbili sasa baada ya kuwashwa kwenye mkoa niliopo, na nimeweza kusikiliza vipindi vya asubuhi kabisa(goodmorning) na cha jioni(mgahawa). Kwasababu natamani mfanye vizuri zaidi, binafsi nimeona dosari Kadhaa zinazotakiwa...
  19. H

    Diamond Platnumz kawapeleka wafanyakazi wake Wasafi Village baada ya kufungiwa kwa siku 7

    Hiv karibuni wasafi FM ilifungiwa kutokana na kosa la Baba levo kuongea lugha fulani ambayo sio nzuri kwenye kipindi. Baada ya media kufungiwa boss wao Diamond Platnumz ndo kwanza akawapeleka Wafanyakazi wake wote wa media sehemu ya kula bata na kurelax hiyo sehemu wakaiita "Wasafi village" na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…