Kiongozi wa Taasisi ya Asaalam Islamic Foundation Sheikh Muharram Mziwanda ameeleza kuwa waraka uliotolewa na Baraza la maskofu nchini TEC unatia hasira, amesema haki ili ipatikane lazima ufuate misingi.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amelaani vikali tukio la kushambuliwa kwa Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padre Dkt. Charles Kitima na kuliagiza Jeshi la Polisi kumtafuta na kumhoji mtu aliyeandika kwenye mitandao ya kijamii kuwa "siku za Kitima...
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) linakanusha vikali waraka wenye kichwa cha habari "WARAKA WA KICHUNGAJI KUSOMWA KATIKA PAROKIA ZOTE, VIGANGO, NA JUMUIYA NDOGONDOGO ZOTE NCHINI TANZANIA KWA WEEK 10 MFULULIZO".
Tunapenda kuwatangazia Waamini na Watanzania wote kwa ujumla, kupuuza...
Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu.
Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
Wanabodi,
Huko nyuma niliwahi kutoa wito wa Political Tolerance kwa vyama na wanasiasa tunaotofautiana kwa kubishana bila kugombana au kutukanana!
Hili ni bandiko la kutoa wito wa religious Tolerance kwa imani za wengine hata kama hatuziamini.
Usikosoe jambo lolote la kiimani la imani isiyo...
Wanabodi,
Tumsifu Yesu Kristo.
Declaration of Interest
Mimi ni Mkristo Mkatoliki die hard, yaani wale Wakatoliki ambao wamezaliwa Wakatoliki, na kupokea zile sakramenti 4 za Katoliki, yaani wamebatizwa Katoliki, wamepokea Komunio Katoliki, Kipaimara Katoliki, ndoa Katoliki, na ile sherehe ya...
Nimemsikiliza huyu aliyewahi Kuwa sheikh wa mkoa wa Dar es Salaam, almaarufu Alhad Mussa Salum.
Amekuja na tamko la hiyo wanayojiita kamati ya maridhiano na amani. Anaongea kinafiki, akiomba viongozi wa Dini kutorushiana maneno kutokana na kadhia ya mkataba wa DP-WORLD.
Ameenda mbali na kusema...
Hili suala la Bandari naona baadhi yenu mmelibeba katika namna fulani ya UDINI, kila nikimuangalia kiongozi wangu wa KIISLAM akisimama mahali analizungumzia katika upande wa UDINI.
Sikilizeni, TEC imejaa watu wenye ELIMU kuanzia ya Elimu Dunia hadi elimu ya DINI (THEOLOJIA), ndo maana utasikia...
Habari za asubuhi wakuu,
Juzi kati, Maaskofu wa Kikatoliki Tanzania wametoa msimamo wao kuhusiana na bandari, lakini jambo la ajabu kuna watu wameibuka kuwashambulia kwa kuwapinga na cha ajabu wengine ni viongozi wa dini ya Kikristo!
Mimi ni Mkristo, tena Mpentekoste, mwalimu wa neno la Mungu...
Kwa wale mnaoijua nguvu ya roman Catholic duniani.
Papa wa Roma ana nguvu sanaa Kwa wafadhili wetu huko duniani. Kingine Cha kujitafakarisha kuwa TEC kwanini wameamua kujilipua bila woga wowote ule. Nini kipo nyuma yake?
Au ni bomu limetegwa?
Naona Waraka Sasa umefika Kila pahala, haujamuacha MTU salama! Naam wanaushambulia Kwa hakika though hakuna tangible points hapa!
Masheikh hawa wanaamini Waraka wa TEC utaleta taharuki. Wanafanya reference ya mambo ya ESCROW.
Wanasema tamko la TEC linataka kuleta taharuki Kwa wananchi na...
Hii nimeitoa kwenye kifungu cha 6 cha waraka wa maaskofu kwenda Kwa serikali kifungu hichi kinaeleza Baada ya juhudi zao za mazungumzo Kati Yao na viongozi wa juu wa serikali tarehe tajwa hapo juu kutokuzaa matunda maaskofu imewapelekea kuachia walaka Huu kwenda kwa wananchi.
Kama walaka...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023.
https://www.youtube.com/watch?v=0du5OfCnYHM
Rais wa Jamhuri ya Muungano...
askofu
baada
bahari
dp world
hii
inaweza
kazi
kkkt
maadhimisho
martin luther
miaka 60
mkataba wa bandari
mkuu
mwarabu
rais samia
sakata la bandari
serikali
suala
tag
ushindi
viongozi wa dini
walokole
warakawatecwasabato
watanganyika
Mhashamu Almachius Vicent Rweyongeza, Askofu wa jimbo katoliki la Kayanga, Karagwe, Kagera amesema "Chaguzi zilizopita zilikua zinakasoro wengi mlipokea Rushwa na mkasimamia hovyohovyo, Bunge likajaa hao wabunge ambao wameanza kubadili sheria ili ziwalinde"
Msikilize kwa dakika 8 akitema madini...
Akitoa hotuba yake, Sheikh Muharam Mziwanda amedai kwamba Kanisa Katoliki linahusika na upotevu wa makontena bandarini.
Kama ni kweli, je ujio wa DP unaenda kukata mirija ya hawa ndugu? Kuna tetesi kwamba maelfu ya makontena hupitia jina la kanisa hili kwa lengo la kukwepa Kodi.
Je kanisa...
Na Mwl John Pambalu
Nimeshangazwa sana na kauli ya mzee Kikwete aliyoitoa jana huko mkoani Mara siku moja baada ya tamko la Baraza la maaskofu Katoliki katika kile alichodai kuwa si sawa kuchanganya dini na siasa.
Kikwete ambaye marehemu Askofu Getrude Lwakatare alikuwa mbunge kupitia chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.