wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kuvaa jeans na raba Kanisani?

    Habarini. Ni sahihi kuvaa kofia, yaani cap church? wengi tunafahamu kuwa si sawa. Sasa vipi kuvaa jinsi na raba na tisheti church, ni sawa?
  2. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata Amonia ya maji jijini Mwanza?

    Heshima kwenu wakuu. Napenda kuuliza, kwa hapa mwanza ni katika maeneo gani na katika maduka ya aina gani (category) naweza kupata ammonia ya maji? Na je bei yake ni kiasi gani? Asanteni sana
  3. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu alipowaambia kuhusu makinikia, walimdharau. Yako wapi sasa?

    Jamaa mara baada ya kuwachanachana CCM, saa saba za mchana siku hiyo ya tarehe 7/9/2017 akapigwa risasi mchana kweupe. Mungu Mwenyezi alimnusuru na kifo yu hai leo, bila shaka huyu ndiye Rais ajaye wa Tanganyika. Pamoja na jaribio la serikali ya CCM chini ya Rais Magufuli kutaka kumuua mkosoaji...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wapi Mzee wa likes mkwepu jr

    huyu mwamba anapenda sana kugonga likes za kutosha humu bila kinyongo, mkuu mkwepu jr hebu gonga like kwanza tuendelee kutambua uwepo wako
  5. JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Mwanamke ninayemhitaji kwa sasa. Nitashukuru nikimpata naye atakuja nishukuru baadaye na kujilaumu alikuwa wapi

    Nimeona tu niweke hili wazi kwa moyo mweupe kabisa. Duniani kwa sasa tumekuwa busy sana hatuna tena muda wa kufukuzia mapenzi na kusumbuana mchana na usiku kimapenzi. Mimi siwezi na niseme si mzuri wa kutongoza. Huwa nikimpenda mwanamke namwambia tu kuwa nakupenda naomba tuwe na mahusiano ya...
  6. JamiiForums Tanzania Miti ya Oak(Mialoni kwa kiswahili) inapatikana wapi kwa Tanzania?

    Habari wakuu. Eti hiyo miti inapatikana Tanzania? Sehemu gani?
  7. JamiiForums Tanzania Hakuna uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke aliejitunza lakini kwa mabinti wa sasa huo msemo umepitwa, wenye uume mdogo wanadhihakiwa sana

    Ni kweli hakunaga uume mdogo kwenye maumbile ya mwanamke anaejiheshimu, Ishu ni kwamba katika Tanzania hii ya sasa kuendekeza huu msemo ni tofauti na uhalisia wa sasa. Kuna wanaume wanadanganyana kwamba uchi ni elastic”.. Ndugu zangu k*ma inapotumika sana na mishedede dizaini ya tango...
  8. JamiiForums Tanzania DC wa Kinondoni Godwin Gondwe hivi ile IQ yako Kubwa ninayoijua imepotelea wapi?

    Yaani unahojiwa na Radio One kupitia Mtangazaji wao Godfrey Monyo kuhusu Kukosekana kwa Maji Wilaya anayoishi GENTAMYCINE ya Kinondoni badala ya Kujibu Kiufasaha na Kiutaalam Wewe unaanza Kujibu Kisiasa Kisiasa huku muda wote ukibabaika babaika tu. Godwin Gondwe ( DC Kinondoni ) nakufahamu...
  9. JamiiForums Tanzania Yu wapi Lazaro Nyalandu

    Wanajamvi ni muda sasa bwana huyu yupo kimya hasikiki wala haonekani. Wenye kujua habari zake watujuze Yu mzima wa afya au kuna masaibu anayapitia?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu chimbo la wale wauza viatu vya kike simple jion mbezi mwisho na kimara kwa 5k na 6k wanazitoa wapi?

    Habari zenu jf Km kichwa habari hapo juu knavyojieleza naomba kufahamishwa tafadhali
  11. JamiiForums Tanzania Quattara wa Simba alichemka wapi, now hapati namba

    Quattara alianza vizuri akiwa anamuweka benchi Onyango, ila now mambo ime turn jamaa hajulikani alipatwa na nini haanzi kwenye kikosi cha kwanza
  12. JamiiForums Tanzania Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Kifaa hiki naweza pata wapi

  14. D

    JamiiForums Tanzania Ila Nyiee Yanga raha, mara ya mwisho umeona wapi mua kama ule wa Aziz Ki?

  15. JamiiForums Tanzania Hivi hawa marefari kwenye NBC league Huwa wanatolewa wapi?

    Ni mambo ya ajabu kweli. Hawa waamuzi ni wa kiwango Cha chini sana, tena hawana ushawishi kabisa. Carrier ya waamuzi Kwa hapa nchini ni kizungumkuti. ............. Mwamuzi wa mechi ya leo kati ya Simba SC na Yanga ameboronga sana kimaamuzi. Katoa kadi bila...
  16. JamiiForums Tanzania Katika Mahusiano niliona tofauti kati Yetu na Wao. Sisi sijui tunakwamia wapi?

    Msichana wa kizungu : the man loves me a lot he buys me flowers and give me his Time. He cares "Jamaa ananipenda sana, ananinunulia maua na kunipa muda wake. Anajali. Mzaramo/Mswahili: "Jamaa nimemweka hapa 🖐️hakohoi hapigi chafya nikimwambia tu ninashida na pesa anatuma. Hapa nataka...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mataifa takriban 30 ya NATO yanakwama wapi kummaliza Urusi? Wanabaki kulialia tu eti drones za Iran!

    Ukweli ni kwamba mataifa lukuki kwenye umoja wa NATO ambao wanaisaidia Ukraine kwa hali na mali wameshindwa vibaya! Kwanza waliweka vikwazo kwa maelfu na walitarajia Urusi itakwama fasta!! Maana walidhani vikwazo vyao ni sawa na kumfunga mikono wakati yuko vitani! Kinyume chake vikwazo...
  18. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Ustaadh Shaban Omary aliyekuwa akipatikana Chang'ombe Unubini?

    Naomba kujua alipo huyu nguli wa kufundisha tuition kwa somo la Kiingereza,miaka ya mwanzoni mwa 2000 alikuwa akipatikana Chang'ombe Unubini pale karibu na Mchichani,naomba mwenye kujua alipo,je bado anaendelea kufundisha tuition? Vitabu vyake vidogo vya notes bado vinapatikana? Wapi?
  19. JamiiForums Tanzania Waislamu Mnafeli wapi?

    Kumekuwa na dhana kwamba waislamu wanafuga majini kitu ambacho si kweli kabisa na hata Dini hairuhusu hivyo. Mwenyezi Mungu anasema hakuumba majini na watu Ila isipokuwa wamwabudu Mola wao,ebu tuangalie Maandiko; ((Nami sikuwaumba majini na watu ila waniabudu Mimi.)) 51:56 Kwahiyo Majini na...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…