Wapi kunapigwa fataki nije?

Wapi kunapigwa fataki nije?

Heci

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2016
Posts
3,756
Reaction score
6,590
Raha ya mwaka mpya ni fireworks 🎇 kwa Kiswahili fataki.

Hii miale huwa ina rembesha na kunururisha sana nafsi yangu. Inafanya mwaka mpya wangu ujazwe na rangi nzuri zenye kuvutia na kupendeza sana.

Hebu tujuzane sehemu ambako leo mambo yatakuwa ni fire 🔥
 
Bonasera mwanza....
Nimetulia nasubiri firework then niende malaika
 
Kama upo dar mkuu, karibu hapa maeneo ya Oysterbay. Ni jirani na kituo cha polisi cha oysterbay. Unaweza ukaja na baruti zako hapa na wewe upige mkuu. Wahi!
 
20221231_231338.jpg
mdogo mdogo mwaka umeisha huu ngoja tuone hyo 2023 inakujaje
 
Kama upo dar mkuu, karibu hapa maeneo ya Oysterbay. Ni jirani na kituo cha polisi cha oysterbay. Unaweza ukaja na baruti zako hapa na wewe upige mkuu. Wahi!
Ubalozi wa Marekani wanapiga sana fataki. Planet Subaru, kuna tofauti kati ya baruti na fataki
Nimemkaribisha kwa ajili ya zote mkuu
Baruti hutumika kupasua miamba. Sasa hapo kituoni unataka upasue nini?
 
Back
Top Bottom