wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Naweza kupata wapi bidhaa hizi

    1. Lubricant and coolant 2. Mechanical spare parts 3. Laboratory chemicals and water treatment chemicals 4. Propane refrigerant 5. Valves spareparts 6. Gas engine turbocharger.
  2. JamiiForums Tanzania Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

    Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
  3. JamiiForums Tanzania Unakwama wapi?

    Mwaka unaelekea ukingoni, umeajiriwa labda unakipato cha laki mbili, sita, milioni n.k, lakini huna hata genge la nyanya wala supu; angalau kila siku uwe unaangusha mbuzi mmoja. Kwa kifupi, unaishi kwa mshahara tu au uchawa; tatizo ni nini? Na mpaka sasa umechukua hatua gani?
  4. JamiiForums Tanzania Wako wapi waliokuwa walinzi wa hayati Magufuli?

    Je walistaafu? Je walipangiwa majukumu mengine kama inavyotokeaaga kwa wanasiasa? Sio mbaya kujua walipo Watanzania wenzetu
  5. JamiiForums Tanzania Janga la umeme linaloendelea, tujuzane wapi unaweza kwenda kufanya kazi zako kwa kulipia au kununua wanachouza

    Ni miezi miwili au mitatu sasa hakuna umeme wa uhakika kabisa, nijikite kwenye mada. Wapi kwa Dar es salaam, Arusha, Mwanza, Mbeya, au kwingine ukiwa na kazi za ofisini kwenye laptop unaweza kwenda kufanya kazi zako pindi umeme unapokatika. Maana yake wengine tutakufa njaa na kazi za watu...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi? Oneni wenzenu wanavyojua kutafuta pesa

    Hawa jamaa wameamua kabisa kufyatua akili zao ili waishi vizuri hapa mjini .🤣🤣🤣
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Amelowanisha kitanda chote, nikalale wapi?

    Wiki iliyopita, nilipata mwaliko kutoka kwa mpenzi wangu (mchepuko), kuwa ananihitaji, niende nikamchangamshe. Baada ya kunishawishi sana kwa maneno matamu, nikaona bora niende nikamtimizie haja zake; asije akafa bure kwa kukosa huduma muhimu. Kumbuka; huyu mwanamke ana umbo zuri sana...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Eti Mabaharia ambao huwa mnafeli kupata namba za Warembo huwa Mnafeli wapi?

    Nipo Coco beach now nimepitia hapa kupunga upepo kwani niliumiss flan hivi. Kulia kwangu kuna Akina dada wanapanda farasi huku wanapiga picha kuweka kumbukumbu,nyuma kidogo kuna wamasai ambao wamechill Chini ya mnazi wanawaza mambo yao, mbele yangu wanapita wadada watatu wa kizungu wanafurahia...
  9. JamiiForums Tanzania Kituo cha afya chazinduliwa bila choo Ikungi, Singida. MoH mko wapi?

    Na Gregory Jumbe Mahanju, Tunaambiwa kua uyaone, tembea uone mengi, ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Hizi methali nilipokua mdogo nilidhani tu misemo tu ya waswahili làkini kumbe ni ukweli wenyewe unaotendeka kwenye jamii yetu. Katika hali ya kustaajabisha kabisa, baada ya Malalamiko...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini bara la Afrika lipo nyuma kwa kila kitu kuliko mabara mengine?

    Habari gani ndugu wananchi? Kuna jambo limeliwaza sana hasa nilipokuwa nikitazama kombe la dunia hii leo kule Qatar. Shida hivi ipo wapi kwa nchi za kiafrica? Kwann kila kitu kibaya ni Africa? Uongozi, tunalalamikiana Africa, Sayansi na teknolojia tupo nyuma zaidi ya sana nahisi ndo wa Mwisho...
  11. JamiiForums Tanzania Product za Feza Schools huwa zinapotelea wapi?

    Naomba kujua Hii shule zaidi ya miaka 15 kila mwaka kitaifa matokeo ya form 4 na form 6 lazima iwepo. Ila product zake sijawahi kutana nazo sio serikalini hata private sector. Huwa zinaenda wapi?
  12. JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete huwa unaupeleka wapi umeme wa Tanzania?

    Neno "Megawatt" lilikuwa halijulikani kwa ngwini wengi mpaka Kikwete alipokuwa madarakani kama Rais. Kipindi cha JK ndiyo tukajua kumbe TANESCO ni shirika linalotegemea makampuni mengine kutupatia umeme. Ndiyo tukajua kumbe bila Dowans, Symbion, IPTL, Richmond hakuna umeme Tanzania. Magufuli...
  13. JamiiForums Tanzania Leo nimetumia choo kichafu sana mjini baada ya kushikwa na tumbo, sijui nimepata wapi ujasiri

    Yaani nikikumbuka nacheka sana, kile choo huwa nasemaga sitawahi nije nikitumie kwa jinsi kilivyo kichafu, na kweli imekuwa hivyo miaka yote. Ila bhana leo sijui imekuwaje, nilishikwa na tumbo la 5G halafu kile choo ndio the nearest, aisee, nimekitumia kwa furaha zoote, tumbo acheni nyie, aaagh!
  14. JamiiForums Tanzania Mshahara Serikalini umekuwa wa Mgao, tunakwenda wapi?

    Inakuwaje Hadi Leo Kuna watu hawajapata mshahara wao? Inakuwaje mshahara unatoka Kwa mafungu? Angalu basi ingetofautiana dakika na masaa tu lakini sio sawa wengine Toka tar 22 wamepata mshahara na wengine Hadi Leo Kimya. Mwigulu hebu jitafakari
  15. JamiiForums Tanzania Ni wapi mahali sahihi kwa mujibu wa taratibu kuwekwa plate number za pikipiki?

    Peace be with you all, Wakuu kumekua na mitindo au style nyingi za pikipiki zikija na madoido ya mahali tofauti tofauti pa ufungwaji wa plate numbe kama nyuma, mbele, juu ya carry bar kwa piki piki kubwa kama baja, XL na XLR. Sasa kuna piki piki ameagiza jamaa yangu yenyewe haina sehemu ya...
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada kujua ni wapi ntapata matangazo ya mpira wa kombe la dunia akitangaza Peter Dlury

    Kama kichwa kinavyojieleza wakuu uyu jamaa uwa namkubal sana sasa nahtaj kujua ni vipi ntapata channel ambayo anatangaza yeye. Namkubali sana peter druly hasa ile misemo yake. Nmejaribu kumfatilia supersport ila naona kombe la dunia hili hasikiki uko dstv
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wamiliki wa tovuti za kiswahili wapi tutapata matangazo yenye kulipa zaidi? Hasa kwa wenye traffic ndogo

    .
  18. JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais Samia wanajisahau, uko wapi usalama wa Rais hapo?

    Picha inajieleza, makosa ni mengi sana. Walinzi wa Rais Samia ni kama wamejisahau. Hii picha inaonesha ni jinsi gani Rais alikuwa hatarini.
  19. JamiiForums Tanzania Hizi pesa za chaguzi kwa matumizi haya huwa zinatoka wapi?

    Habari za muda huu watu Nauliza hivi hizi hela za chaguzi huwa zinatoka wapi je Kuna wadhamini au? Mana ukiangalia pesa zinavotumika hupati majibu. Nakumbuka miaka kadhaa nikiwa chuo zile chaguzi za serikali ya chuo sijui rais wa chuo form ilikuwa Kati ya 100k to 200k nadhani alafu mtu anaanza...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Wapi napata latest generation tablet na desktop/laptop computer ?

    Hello wapi hapa mjini (maduka gani ?) Dar napata latest generation tablet na desktop/laptop computer kwa bei nzuri - reasonable price?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…