wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbona Chama cha Umoja Party kipo kimya?

    Mbona kimya ghafla? Nini tatizo wandungu? Kila Kona ya nchi watu wamejawa na kiua ya kuona usajili wa chama pendwa Duniani. Watu wanataka kuvunja rekodi za chama kuvuna wanachama mamilioni Kwa wiki Moja tu, tena bila mikutano ya hamasa. UMOJA party kinawanachama kabla ya kusajiliwa, ni chama...
  2. JamiiForums Tanzania Shaka Hamdu Shaka alikosea wapi kwenye Uenezi hadi kutupwa nje?

    SHAKA HAMDU SHAKA, Mwenezi Mstaafu wa CCM ametupwa nje ya nafasi hiyo na kupewa Mwana Mama Sophia Mjema. Shaka alikosea nini hadi akatupwa nje ya tuliambiwa mwanzo yeye ni kipenzi sana cha Mama Samia. Tunaofahamu Makosa ya Shaka hebu tusaidiane tupate uelewa. Maana Katibu Mkuu Chongolo yeye...
  3. JamiiForums Tanzania KKKT Dayosisi ya Pwani, pesa za miti mlizochangisha ziko wapi?

    Hii Dayosisi ina makando kando mengi sana, walichangisha pesa kwa ajili la kupanda miti ekali zaidi ya 1000 kwa makanisa yote ya Dar es Salaam kuwa ule mradi ni wa vijana leo hii hakuna hata mchicha umepandwa na si ajabu yale mashamba wameshagawana maaskofu. Ikitokea mtu akasema ukweli kua...
  4. JamiiForums Tanzania Kina "Chacha" ni watu wa wapi na ni kabila lipi?

    Habari zenu, husikeni na kichwa cha swali hapo juu,. Niliwahi kumfatilia nikajua kazaliwa huko Dar maeneo ya Ukonga ila sijawahi kusikia kuna mzaramo anaitwa Chacha. Kuna kijana hapa naona yupo na mdogo wangu wa kike kwa takribani mwaka na nusu sasa, kapata kazi idara flani na anaonesha nia ya...
  5. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwahi kutishia kuchapisha noti mpya! Aliishia wapi?

    Enzi zile za utawala wa awamu ya 5 mambo yalinoga sana. Kila uchwao tungeweza kupigwa biti zito na jipya, kwa kifupi nchi ilikuwa ya moto kila siku, matamko ya kila namna. Siku moja katika majukumu yake ya kawaida, hayati Magufuli akautangazia umma kupitia kwenye hotuba yake kuwa asingeshindwa...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Wako wapi waandishi hawa Spencer Lameck na Emmanuel Buohela?

    Kwa wale waliofuatilia uchaguzi wa Tanzania mwaka 2020 uliomwingiza JPM madarakani wataungana nami kuwa utolewaji wa taarifa za kampeni nchini kupitia ITV ulinogeshwa zaidi na waandishi tajwa hapo juu kwa umahiri wao ktk utoaji wa taarifa. Ilikuwa ikifika saa mbili usiku kuna watu walikwenda...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wapi ni safe kuagiza LCD screen ya Huawei P40 lite kati ya Aliexpress au Alibaba?

    Wakuu, Katochi kangu kameanguka na kupasuka kioo..Najua Kariakoositakipata kwahyo Nina mpango wa kuagiza China, wapi ni salama zaidi na uhakika kupata bidhaa kati ya Aliexpress na Kikuu? Aliexpress sina experience nao lakini naona ndiyo wanavyo vingi na pia bei zao ni ndogo lakini sijajua issue...
  8. JamiiForums Tanzania PhD za Mwenge University zinatambulika wapi?

    Nimeona Mwenge University wanatoa PhD Sasa Sina uhakika kama hizo PhD zinatambulika hata huko Halmashauri. Mwenye kujua tafadhali tukaokote PhD sisi waumini wa Parokia Mtakatifu Kizito
  9. JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa watu? Faiza Fox, Kichwa Kichafu na Wa Stend

    Jamani wanjf Ni muhimu pia kutafutana ikiwa Kama tuko jukwaa moja la JamiiForums, hao watu tajwa hapa juu na wengine wako wapi? Tumemiss nyuzi zaoo_ONGEZEA WENGINE AMBAO WAMEPOTEA KWENYE JUKWAA HILI.Tuwapate.
  10. JamiiForums Tanzania Nini kimeiua CHADEMA? Walikosea wapi? Vyama vingine vya upinzani vijifunze kuepuka kibri cha kupendwa

    Kuna wengi sn wanaweza kufikiria nini kilisababisha anguko la Chadema wapo wachambuzi wengi wa masuala ya siasa wanaweza Kuja kuelezea mengi Sana yaliyosababisha anguko la kilichokuwa chama kikuu cha upinzani zifuatazo ni baadhi ya hoja zinazotoa ushahidi juu ya kiini cha anguko la Chadema...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii tabia ya watangazaji wa mechi Azam TV na kutumia Neno "Madhambi" mmeitoa wapi?

    Habari ya ijumaa wadau wa JF muda huu nimejiunga na azam max hapa nitazame mechi ya fainali ya mapinduzi cup huku nikiendelea na kazi but nimepata ukakasi kwa kile nilichokuwa nakisikia mara kwa mara kutoka kwa mtangazaji Gharib Mzinga kwa namna anavyopenda kutumia neno "madhambi" kwenye...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hivi Mbunge Nassary aliishia wapi? Mrithi wake kwenye kiti cha Ubunge ni nani? Au Jimbo lilibaki wazi?

    Nassary alikuwa kijana machachari Sana kutoka huko Arusha, alikuwa anajenga hoja na kusimamia serikali. Toka nimwone jukwaani akimnadi JPM sijawahi kimwona tena sijui kama yupo nchini au anafanya kazi nje; huyu kijana pamoja na Masele NI watu ambao hakuna siku watamsahau Ndugai. Ndugai alimvua...
  13. JamiiForums Tanzania TRA kwanini kodi (ushuru) hutozwa kodi tena kwa jina lingine? Wabunge mko wapi?

    Nimejaribu kuisoma kanuni iliyotolewa na TRA ya kukokotoa kodi inayolipiwa bidhaa zinaoingizwa toka nchi za nje nimepata maswali mengi sana. Mojawapo ya maswali ni kwanini Ushuru wa Forodha unatozwa Ushuru wa Bidhaa pia unatozwa Ushuru wa Ongezeko la Thamani (VAT)? Kwanini Ushuru wa Bidhaa...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa uchumi: Serikali inakosea wapi?

    1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani. 2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote tokea uhuru. 3. Wakati wa mwalimu Nyerere vitu vilikosekana laki bei haikupanda siyo kwa bidhaa hata...
  15. JamiiForums Tanzania CCM mnafeli wapi? Hiki kizazi cha nyoka mlichotengeneza ndiyo mkishawishi kuacha kulima na kubeti?

    Mmeharibu elimu, leo hii mtoto anamaliza Form Six hawezi kusoma na kuandika. Hawezi kufanya reasoning. Leo kama kijana hawezi kureason na kuwa na general knowledge mbagemea atakuwa mvuvi, mkulima au mfugaji? Mmesahau enzi zile kulikuwa na Sayansi, maarifa na Hesabu ilisaidia vijana kupata...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Wasiojulikana walichangia au walidumaza maendeleo ya Taifa letu? Siku hizi wapo wapi?

    Ni zipi faida za wasiojulikana kwenye Taifa kama Tanzania hasa upande wa kukuza uchumi? Nchi kama Tanzania inanufaikaje inapokuwa na watu wasiojulikana? Wakubwa watabaki salama endapo wasiojulikana wameamua kukaa kimya? Kama wamezihifadhi nafsi za watu wasijulikane walipo, je wameshiba damu au...
  17. JamiiForums Tanzania Vifaranga vilivyofia airpot kwa kukosa huduma vipo wapi kwa sasa?

    Hivi karibuni tulisikia vifaranga 60,000 vikiwa vimekufa kwa kukosa huduma kwenye uwanja wa ndege wa Dar baada ya kuingizwa nchini kinyume cha sheria na kutokuwa na vibali. Vifaranga hivyo ni mali ya Kampuni ya Phonex ya Mkuranga Mkoa wa Pwani swali je viko wapi kwa sasa vifaranga baada ya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ana Mali au biashara anazomiliki hapa nchini? Viko wapi vitega uchumi vyake?

    Wanasiasa kama Lissu naelewa siyo wafanyabiashara, hawana maono yakumiliki Mali, siyo wezi na wameumbwa kupambana wakati wote na matajiri. Lakini pamoja na ukweli kwamba siyo watu wa kujilimbikizia Mali upo umuhimu wa kufahamu anamiliki nini hapa nchini? Anamiliki kampuni gani? Ana ukwasi kiasi...
  19. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata matibabu ya tonsils sugu?

    Katika ukuaji wangu sikuwa naugua ugonjwa wa tonsils mara kwa mara ilikuwa inatokea kwa nadra sana. Miaka mitano nyuma nilikuwa kikazi ukanda wa nyanda za juu kusini kikazi ndio ugonjwa wa tonsils ukawa ni kama ugonjwa wangu wa kudumu. Nikinywa kitu chochote cha baridi baada ya dakika tano...
  20. JamiiForums Tanzania Mpango wa waziri Makamba wa kupunguza bei ya petroli kwa 75% na Tanzania kuwa petrol hub umeishia wapi?

    Ni zaidi ya mwaka mmoja sasa tangia waziri wa nishati, Mh. January Makamba, atangaze mpango wa serikali utakaoiwezesha nchi yetu kuwa petrol hub itakayokuwa inasambaza mafuta haya kwa nchi nyingi za SADEC na Afrika Mashariki. Mpango ulikuwa kwa kushirikiana na nchi rafiki za OPEC+ kujengwa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…