wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli kukataa kufanya tathmini ya mazingira bwawa la Nyerere, sasa Rufiji inazama, serikali ifanye tathmini ya mazingira sasa

    Wakati watu wenye akili wakishauri mradi wa umeme wa bwawa la mwalimu Nyerere ufanyiwe tathmini ya mazingira, genge la JPM lilikuwa linabeza huku likijivisha uzalendo mapepe kwamba mradi utachelewa. Sasa Rufiji iko hatarini kumezwa na maji. Maji hayo yanatokana na bwawa kujaa na mto kujaa, na...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa wanaume upendo unaanzia wapi baada ya tendo au kabla??

    Haya fungukeni wapendwa
  3. JamiiForums Tanzania Wako Wapi Wanasiasa hawa?

    Kwa muda mrefu sasa sijawaona wala kuwasikia Wanasiasa wafuatao: 1. Harrison Mwakyembe 2. Mark Mwandosya 3. Job Ndugai. Yawezekana wameshakata tamaa kwenye harakati zao za kisiasa au wamepigwa pini wasijihusishe na siasa?? Asanteni.
  4. JamiiForums Tanzania Descendants of river Songwe karibuni. Wewe mwengine ni descendants wa wapi ?

    Mimi ni miongoni descendants of Songwe River wenda kuna watu wengine humu na share nao same Ancestors. Nimekuwa inspired na jamii za Asia katika kutafuta asili yangu finally nimeweza kuipata. Nina miaka miwili sasa nimekuwa nikizuru mto Songwe na nafikiri utakuwa utaratibu wangu wa kila mwaka...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Makamba, Ule mpango wa kuisuka UPYA Wizara ya Mambo ya nje uliishia wapi?

    Ulipoingia wizara ya nishati Kwa mara ya kwanza, ulikuwa na MIKAKATI mingi, customer care ikajitegemea, service za mitambo na njia za umeme, pesa zikalipwa na tatizo liko pale pale, software ya mabilioni ikawekwa, ununuzi wa nguzo za umeme za zege zinazovunjika zenyewe,, mitungi ya gas, bei za...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Nimepata admission vyuo mbalimbali Europe. Wapi naweza pata full funded scholarship?

    Nimepata conditional admission vyuo mbalimbali. Courses ni masters ya leadership na education leadership. Uingereza nimepata vyuo vinne. Sweden chuo 1 Finland 1 Poland 1 Tatizo ni uwezo wa kujisomesha. Naomba mwenye kufahamu taasisi ninayoweza kuomba full funded scholarship/sponsorship...
  7. JamiiForums Tanzania Huyu imam aweka sawa kuhusu ardhi ya Wayahudi, hivi waarabu wa Bongo mnakwama wapi

    Wenye dini yao wameongea, nyie mnaowaiga kwa kuvaa dera/kanzu huko mnakwama wapi kujiongeza..... https://twitter.com/sanderson17280/status/1774137548605993180?ref_src=twsrc%5Etfw%7Ctwcamp%5Etweetembed%7Ctwterm%5E1774137548605993180%7Ctwgr%5E%7Ctwcon%5Es1_&ref_url=
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mwanadamu, ujasiri wa kumnyang'anya godoro masikini unayemdai umeupata wapi?

    Salaam,Shalom!! (Mithali 19:17) Amhurumiaye maskini, humkopesha BWANA. Mungu anachukia sana Umaskini, lakini anawapenda sana maskini, Mungu ndiye hufukarisha, na ndiye hutajirisha!! Maskini wa Leo ni tajiri kesho, maana Mungu ndiye huwapandisha maskini na kuwaketisha pamoja na wakuu na...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Stephen Masato Wassira wewe na watu wa umri wako msipostaafu unadhani vijana watapata wapi ajira?

    Mzee Wasira anashangazwa na taarifa za mainjinia kukosa ajira. Wakati huo yeye mwenyewe anawahi kujiajiri bali anaishi kwa kuajiriwa toka miaka ya 1970. Ukimuuliza kwanini amegonga kustaafu na kukaa pembeni anadai bado ana nguvu na anakubalika na watawala. Ukihoji kwa maisha yake yote ni kipi...
  10. JamiiForums Tanzania Msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano

    Tazama msafara wa RC Paul Makonda ukitokea Uwanja wa Ndege wa Arusha Kuelekea katika ofisi yake kwa Makabidhiano, leo April 08 2024. PIA, SOMA: Uteuzi kuwa Mkuu wa Mkoa Uteuzi na Utenguzi: Paul Makonda ateuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Ndalichako aondolewa uwaziri Matukio baada ya...
  11. JamiiForums Tanzania Migomigo na Lango la Jiji ni wapi hapo Dar es Salaam?

    Kwa wale ambao Dar ni kwao nadhani watakuwa wanapajua migomigo me napasikiaga tu katika nyimbo za wasanii ila sijawahi kupajua naishia kuhisi labda ni maeneo ya Magomeni. Na sehemu nyingine nataman kuijua maarufu kama lango la jiji ipo njia gani hiyo Lango la Jiji?
  12. JamiiForums Tanzania Ule umeme wa kabla ya JKNHP nao uko wapi?

    Haya ni mateso makubwa sasa tunayopitia Watanzania! Tunaishi utadhani tupo kuzimu? Ndugu Watanzania ninayo mengi sana kifuani kuwahusu wizara hii ya Nishati na uongozi wa awamu hii inayoshindwa kila kukicha, Nashindwa kuyaandika, Kila nikiandika nafuta , nimeona niulize swali kwa Wizara! Ule...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

    Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu. Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Ungejuaga mapema baada tu kumaliza form four ungeenda kusomea nini na wapi?

    Ni watu wachache ambao imewabidi kazi yao wanayofanya Kwa sasa waikubali tu Kwa sababu walijikuta wamesema vyuoni na inawapa Hela na ukizingatia uchache wa ajira ila wengi Kiukweli baada ya kumaliza form 4 hawakuwa na akili kama waliyonayo Kwa sasa. Binafsi ungenirudisha Tena form four 2012...
  15. JamiiForums Tanzania Mnamkumbuka Lubinga wa CCM? Leo yuko wapi?

    Miongoni mwa viongozi wa CCM enzi za Jiwe, alikuwepo Mwanajeshi mmoja akiitwa Lubinga, kiburi cha madaraka cha huyu jamaa kilipitiliza, japo hakikuvuma sana. Sasa tunauliza tu kwamba huyu jamaa yuko wapi leo na anafanya nini?
  16. B

    JamiiForums Tanzania Bunge la Wananchi CHADEMA wamhoji Kitila Mkumbo ''mnatoa wapi izo data zenu jamani''?

    02 April 2024 https://m.youtube.com/watch?v=Eib1-kDDAlQ Wahoji mantiki ya Profesa Kitila Mkumbo kuondoa fedha ktk mzunguko wa fedha ili kupunguza mfumuko wa bei, wakati bei ya bidhaa zinaongezeka kutokana na upungufu wa bidhaa siyo serikali inavyofikiri watu wanapesa nyingi mifukoni ndiyo...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Tunawalaumu Simba bure tu, Kosa lao liko wapi?

    Nimetafakari sana kuhusu matokeo ya mechi zote za ligi ya mabingwa Afrika, na kile kinachoendelea kuhusu Simba kulingana na matokeo ya mechi yao! Kwa dhati kabisa ukiangalia chati ya mechi hizo na matokeo yake ni dhahiri Simba tunaionea tu, aliyechafua ubao ni Al-ahly na wala sio Simba, hebu...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata uzoefu wa kazi ama internship nikiwa fresh gradute wa bsc Environmental sciences and management

    Habari za muda huu wakuu. Mm ni mwanafunzi wa mwaka wa 3 Chuo kikuu cha SUA. Ninachukua Bachelor of Science in Environmental Sciences and Management. Ninatarajia kumaliza elimu yangu ya chuo kikuu mwishoni mwa mwezi wa 7 mwaka huu. Hivyo basi nilikuwa naomba wenye uzoefu na course yangu...
  19. JamiiForums Tanzania Yako Wapi Sasa? Nilisema Paul Makonda (Bashite) ni Dekio tu Safari Imeanza

    Paul Makonda ni sikio la kufa lisilo na dawa, maisha ni haya haya Makonda atabaki kuwa ni Dekio tu, Hana hulka ya utulivu, Hana hulka ya staha na utii, Hana adabu, Hana heshima, Hana heshima ya umri. Hulka za kisukuma ni za kishamba sana, sasa mziki ndio umeanza taratibu ili Makonda ajue yeye...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali inataka Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyokufa, mantiki iko wapi?

    Kuna mambo yananishangaza sana kuhusu serikali ya Tanzania. Hili la serikali kumzua Mo asifunge viwanda vyake vya chai vilivyojifia limenishangaza sana. Bado sijapata mantiki kabisa. Kama lengo ni kuwalinda wakulima wa chai, kwanini serikali kwa miaka yoyote imeshindwa kujenga viwanda vya chai...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…