wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia amesema Mkoa wa Tanga umepokea Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali! Hiyo miradi Iko wapi?

    Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa Mkoa wa Tanga umepokea kiasi cha Sh3.1 trilioni kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Hata hivyo, kauli hii imeibua maswali mengi miongoni mwa wakazi wa mkoa huo, huku wengi wakihitaji ufafanuzi kuhusu miradi hiyo na jinsi fedha hizo...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wanaoswali Jumapili wameitoa wapi?

    Katika Agano la Kale, hakuna ushahidi unaoonyesha kwamba Jumapili ilikuwa siku ya ibada kwa waumini. Badala yake, Agano la Kale linaweka msisitizo juu ya Sabato, ambayo ni siku ya saba ya juma (Jumamosi), kama siku ya mapumziko na ibada. Amri ya nne kati ya Amri Kumi inasema: "Ikumbuke siku ya...
  3. C

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Huyu?

    Karibuni sana wadau tuweze kujuzana na kufahamishana waliko watu hawa. Pengine waliwahi kuvuma na kuwa watu maarufu katika jamii yetu, ila Kwa sasa hawasikiki tena, na hata kutofahamika wako wapi. Kwa mwenye kujua taarifa zao tuje hapa tujuzane. Mimi naanza na mwanadada wa enzi hizo Stara...
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi yale majini yakike yaliyokuwa yanapenda wanaume yameishia wapi?

    Nayataka yanipende mimi, hivi viumbe vyakike vimeshanichosha vimebakiza kuninyang'anya uhai tu! Heri yale majini yanamapenzi ya dhati nijipatie moja niitulize nafsi kwa anaelijua lolote anikonekti nalo, life la mapenzi na hawa watoto wa eva it's too miserable!, at any time, any where you can...
  5. JamiiForums Tanzania Nitapata wapi water vending kiosk kwa Tanzania?

    Habari wana jukwaa, ninaulizia nitapata wapi water vending mashine/ kiosk Natanguliza shukran
  6. JamiiForums Tanzania Hawa University College of Africa wanapata wapi namba za wazazi wa form 4 leavers?

    Mzazi anatukiwa meseji yenye jina la shule aliosoma mwanae, je ni walimu ndio wanatoa namba au huu mchezo ukoje? Na huu ufadhili ukoje?
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

    Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba Halafu asilimia 98% ya maneno...
  8. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanaume wa kikazi Cha Sasa tunafeli wapi(...)??

    Habar za majukumu ndug zangu, Kuna jambo la sis wanaume hasa vijana tunakuwa na tabia za uzushi Kwa wanawake. Yani mwanaume unakaa na wenzio unatoa sifa mbaya za Binti ambazo hata ukweli hazina mara nmepiga,mara ndani mchafu,mara hajui kukataa,mara ametoa mimba Halafu asilimia 98% ya maneno...
  9. JamiiForums Tanzania RC Songwe: Wakurugenzi wa Halmashauri kazi zenu hazidumu milele, lipeni madeni ya Watumishi na Wazabuni

    Mkuu wa Mkoa wa Songwe, Mhe. Daniel Chongolo, amewataka wakurugenzi wa halmashauri kuhakikisha wanalipa madeni ya watumishi na wazabuni bila kuchelewa. Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Ushauri ya Maendeleo ya Mkoa (RCC) kilichofanyika Februari 19, 2025, kwa ajili ya kupitisha bajeti ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kama CHADEMA wanasema Lissu kavunja katiba ya chama chake, anapata wapi mamlaka ya kujadili katiba ya nchi

    Huyu mtu anatusumbua na nyimbo za katiba kuchwa kutwa. Sasa ana tuhuma ya kuvunja katiba ya chama chake kwa kupandikiza wajumbe feki wa Kamati Kuu. Hebu atuache watanzania, tumechoka na utapeli wa kisiasa.
  11. G

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata chumba kizuri cha 30000 kwa Dar es Salaam

    Naombeni mnisaidie sehemu yenye vyumba vya 30000 kwa dar
  12. JamiiForums Tanzania Hivi hii miujiza ya manabii/mashehe feki wanaitoa wapi?

    Kwa mujibu biblia na utabiri ndani yake, manabii feki wataweza ku perform miracles kwa kulitaja jina la Yesu. So hawa watu wame master uwezo wao binafsi maalum namna ya kufanya miujiza? wananaenda kupokea uwezo kutoka mahala maalum? Ni waganga wa jadi ultra prom max? Karibuni.
  13. JamiiForums Tanzania Barabara mwendokasi kimara Hadi mbezi mwisho ina zaidi ya mwaka haitumiki?

    Barabara ya mwendokasi kutoka kimara mwisho pale around Hadi mbezi mwisho inatimiza mwaka haijafunguliwa zaidi bajaji na pikipiki kupitia barabara hizo. Hali hii inafanya mwendokasi itembee barabara mchanganyiko na kusababisha ikae foleni wakati barabara zake tunaona malori yamegeuza sehemu...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Ile mikokoteni ya kukokotwa na bodaboda tuliyoambiwa inatengenezwa kuzuia ajali iko wapi?

    Habari wadau! Moja kwa moja kwenye mada. Ile mikokoneni imeishia wapi? Tuliambiwa kuwa kuna jitihada zinafanywa na serikali za kuzuia ajali zinatokana na bodaboda kwa kuwatengenezea mikokoteni. Hivi karibuni tumesikia takwimu za vifo vilivyosababishwa na bodaboda zilizotolewa Bungeni, hii...
  15. JamiiForums Tanzania Mungu yupo wapi?

    MUNGU YUKO WAPI? Mungu yuko kila mahali, mbinguni, duniani, na ndani ya waumini wake. Hii inaelezwa katika mafundisho mbalimbali ya Biblia: 1. Mungu yuko Mbinguni – Katika sala ya Bwana, Yesu anafundisha kusema: “Baba yetu uliye mbinguni…” (Mathayo 6:9), ikionyesha kuwa makao yake ya utukufu...
  16. JamiiForums Tanzania Mwana JF Chige yupo wapi siku hizi?? More than a year now

    MALCOM LUMUMBA eti Chige yupo wapi siku hizi??
  17. JamiiForums Tanzania Dunia ya sasa inaelekea wapi? kwanini watu wanakufa sana?

    Siku hizi ni kawaida au pengine ishakuwa mazoea kusikia ,kuona au kutokea kwa msiba wa mtu fulani aidha wa mtaani kwako,jirani, ndugu,ofisini kwako au yoyote unaemfahamu. Wengi wa Wanaokufa ni watu wenye nguvu bado, Dunia ya leo je inaelekea mwisho? Kwanini misiba ni mingi kuliko matukio...
  18. JamiiForums Tanzania Mpina yuko wapi?

    LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa "No Fap" mliishia wapi..?

    Kwa wasioelewa maana ya no fap ni kukaa kwa muda fulani ambao wewe utajipangia bila kufanya tendo la ndoa ama namna yoyote ile yakukufanya utoe mbegu!. Sasa humu jukwaani watu walianzisha uzi wa no fap na wakaanza kuhesabiana!, ulianza kwa spidi lkn cha ajabu watu wamejilamba naona!, zoezi...
  20. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mchungaji Msigwa?

    Huyu Mch ameshakula pesa ya Samia. Sasa bili analipaje iwapo haongei?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…