wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga walisomea wapi?

    Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAF kulalamikia goli la Aziz Ki kule South Africa,na ishu ya derby ya Simba kuipeleka CAS Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao kienyeji.zote huwa...
  2. JamiiForums Tanzania Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

    Wadau wa technology: Software Robotics AR & VR technology Mobile Computing Tech in Health Nk. Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
  3. JamiiForums Tanzania Wakali wa Location hapa ni wapi?

    Kama wewe unaifahamu vyema Tanzania, hapa ni wapi?
  4. JamiiForums Tanzania Wapo wapi wanasimba hawa?

    Nimewakumbuka sana hawa wanalunyasi, hapa jukwaani walikuwa wanachangamsha kweli hasa kuanzisha nyuzi za mechi za mnyama, lakini tangu ubaya ubwela uanze sijawaona tena! Naomba nijue kama wanachunguliaga humu japo mara mojamoja nitafurahi mno, members hawa ni- Ghazwat mzee wa mwana kulitaka...
  5. JamiiForums Tanzania Ziko wapi zile familia?

    Kwani siku hizi hakuna zile familia za "CHUKUA MILLION 5 UKAE MBALI NA BINTI YANGU" Ali Nassoro Px Facebook
  6. S

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  7. JamiiForums Tanzania DURU: Utangamano, Amani na Ustawi. Taifa linaelekea wapi?

    Ustawi Taifa lolote linalotazama Ustawi na maendeleo yake huzingatia utangamano na Amani. Utangamano '(compatibility ) ni uwepo wa pamoja(coexist) licha ya tofauti za Raia katika rangi, Imani, itikadi za siasa na Utamaduni. Amani ni utulivu unaoletwa na uwepo wa maridhiano na haki. Amani si...
  8. JamiiForums Tanzania Duru : Utangamano, Amani na Ustawi. Taifa linaelekea wapi?

    Ustawi Taifa lolote linalotazama Ustawi na maendeleo yake huzingatia utangamano na Amani. Utangamano '(compatibility ) ni uwepo wa pamoja(coexist) licha ya tofauti za Raia katika rangi, Imani, itikadi za siasa na Utamaduni. Amani ni utulivu unaoletwa na uwepo wa maridhiano na haki. Amani si...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Erythrocyte huyu salary slip aliendaga wapi

    Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
  10. JamiiForums Tanzania Wazungu walitokea wapi?

    Jina Wazungu ni jina jumla kumaanisha "wazungukaji" jina hili lilitokana na ngozi nyeupe kuitembelea Afrika kwenye vipindi mbali mbali.hivyo jina Wazungu ni jumla sio wale wa bara la ulaya ambao ndio kama wamelibeba jina hili Kwa Sasa. Kabla sijalijibu swali hili naomba niwaulize wale wabishi...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
  13. JamiiForums Tanzania Yuko wapi Daktari wa kweli Philip Isdori Mpango?

    Ni kitambo kirefu sasa tangu makamu wa rais asikike. Je yuko wapi na anafanya nini mbona haonekani wala kusika?
  14. JamiiForums Tanzania Tunaelekea Wapi? Umuhimu wa Crypto Kama Njia ya Malipo kwa Biashara Ndogo Tanzania

    Tumekuwa tukisikia habari au taarifa nyingi sana kuhusu cryptocurrency na blockchain. Neno Bitcoin limekuwa likitawala kwenye vinywa vya wengi, hususan vijana na wafuatiliaji wa teknolojia, lakini hadi sasa, bado ni watu wachache sana walioelewa kikamilifu maana na matumizi halisi ya teknolojia...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Rais Samia?

    Uko wapi mama yangu kwenye vilio na misibani hatukuoni Mbwa wako wakali uliowapa mafunzo huko ulaya ambao unawalisha kwa fedha ulizotuchangisha kwa maguvu mbona Sasa wanawang'ata na kuwaparura wenetu!! Nilifikiri utaitikia Ile milio mikali ya kengele za kanisa zilizotishia kupasua...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Mitandaoni wameanza kuzungumza kulipa visasi-Hivi Samia anatupeka wapi?

    Nimekuwa nikisoma mitandao ya kijamii, maneno ya wananchi yameanza kuniogopesha na kwa kweli kama hili jambo halitafanyiwa kazi hii nchi inaenda kubaya, tena inaenda kubaya kwelikweli. Nchi hii matendo ya mauaji ya watu kama (Mzee Kibao), Kutekwa kwa watu kama vijana (Deusdedith Soka)...
  17. JamiiForums Tanzania Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), liko wapi? Mbona haki za wananchi wake zinakandamizwa na polisi?

    Wakuu, Moja ya Kazi yake sio kulinda Katiba ya nchi? Kwanini katiba ya nchi inasiginwa mchana kweupe na wao wapo wanaangalia bila hata kuchukua hatua yoyote? Ni kweli wameamua kuacha polisi kuonea wananchi? Hili si Jeshi la Wananchi? Na wananchi si ndio sisi? Au tafsiri ya wananchi ni...
  18. JamiiForums Tanzania Hizi ni baadhi ya ELEMENTS za watu waliofanikiwa KIUCHUMI lakini HAWAJIONESHI. Soma hadi mwisho kisha jitathimini wewe binafsi uko wapi?

    1. Waliofanikiwa Kiuchumi ni watu waliofanikiwa katika UTUNZAJI WA MUDA! Hawapendi kupoteza muda 2. Waliofanikiwa Kiuchumi ni MABAHILI na wanachukiwa na watu wao wa karibu, kwa sababu ya ubahili wao. 3. Waliofanikiwa Kiuchumi, hawapendi sana POPULARITY ili kuwa huru ktk mambo yao binafsi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huna changamoto za kiafya, Umefika miaka 35 huna mtoto, usingizi unautoa wapi kwamfano ?

    Muhimu: Ni nje ya watu wenye changamoto za afya za uzazi, walemavu, wafungwa wa magerezani, watu wanaoishi maisha ya kimasikini kupitiliza. Suala la kuoa au kuolewa halina uzito sana hasa kwa zama za sasa, watu wengi ndoa zimevunjika wanaishi kivyao Lakini unafika 35 huna au hujawahi kuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania HAKI ya kumpata Papa Mpya IPO wapi? Wanawake, Vijana & Wa-Afrika hawana Haki ya kuchaguliwa?

    Wanaotuhubiria Haki tunasubiri tuone Haki ikitendeka kumpata Papa Mpya [Wanawake, Vijana na Waafrika] hawatakiwi kwenye kinyang'anyiro hicho cha kumrithi Papa Francis (RAIS WA VATICAN?). Imekaaje hii? #NoReform_NoNEWPope#
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…