Ndg kwa ufupi niliachaga kitambo mambo ya siasa za nchi hii.
Kwa nini.
1. Siasa ni kwa ajili ya viongozi na familia zao.
2. Siasa ni kwa ajili ya matajiri vs wanasiasa.
3. Maskini kaa sibiri mwisho wa uhai wako.
4. Waliotimkia majuu wanabahati maana wameepuka dhahma.
5. Ahadi nyingi za wanasiasa...