wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vijana mnafeli wapi mpaka binti kama huyu anafika 29 yupo single ?

  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  3. JamiiForums Tanzania Waafrika tunafeli wapi tunayajua haya yote na kuyasoma lakini hatubadiliki

    KITABU: UNAWEZA KUNISIKIA HUMU NDANI --- SURA YA KWANZA: MLIO USIOSIKIKA Nilianza kusikia sauti kabla sijazaliwa. Ililia kama upepo unaopita katikati ya milima isiyo na majina. Ilikuwa ni sauti ya kitu kilichokatwa — si mti, bali historia. Sauti ya mwangwi wa jina lililofutwa kwenye ramani...
  4. JamiiForums Tanzania Kama si hapa tuseme wapi? Maumivu hayawezi kunyamaza!

    Hii Game Imekuwa Chafu Sana… Who’s Gonna Clean Up the Mess? Kuna wakati moyo unachoka. Kuna wakati macho yanakataa kulala. Kuna wakati maneno yanakataa kunyamaza hata kama ulimi umebanwa. Hii ni hiyo time. Tumefika mwisho wa uvumilivu. Mtu anabebwa home kwake, usiku, kimyakimya. Hakuna doc...
  5. E

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Mh Mch Gwajima?

    Habari!! Sijamsikia kwa muda mrefu kidogo Mh Mch Gwajima, mbunge wa Jimbo la Kawe. Kuna mwenye taarifa alipo mheshimiwa huyu? Mbona kimya sana? au ni Mimi tu ndiye simsikii? Nitashukuru sana kwa taarifa za alipo. Ahsante
  6. M

    JamiiForums Tanzania Yuko Wapi Dkt. W. Slaa?

    Ndio, sijamsikia kwa muda mrefu Sasa. Kipindi tunachopitia, mazingira tuliyomo, matukio yanayotokea yeye Yuko wapi?
  7. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Rebecca Gyumi kapotelea wapi? Chezea NDOA wewe!

    1. Mwanaharati huyu Enzi za jiwe alikua na kampeni mujarabu ya kupinga Sheria ya ndoa na alifanikiwa kushinda mahakamani. 2. Sasa yeye alipoingia kwenye NDOA naona kapotea Mazima. NDOA ukiingia kiuhanarakati lazima uchechemee kama umekanyaga nnya
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kampeni za upandaji miti Kitaifa ziliishia wapi?

    Miaka fulani kulikua na kampeni ya Kitaifa upandaji miti January Mosi ghafla ikahamishiwa Aprili ghafla ikapotea. Tumetoka mbali ndugu zangu
  9. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Yanga walisomea wapi?

    Niko Open University nasomea sheria huu mwaka wa saba sijagraduate Pamoja na ukilaza wangu nilishangaa Yanga walipoenda CAF kulalamikia goli la Aziz Ki kule South Africa,na ishu ya derby ya Simba kuipeleka CAS Bado kesi za madai kwa wachezaji na makocha wanaoachana nao kienyeji.zote huwa...
  10. JamiiForums Tanzania Technology Yetu miaka 10 ijayo je tutakuwa wapi?

    Wadau wa technology: Software Robotics AR & VR technology Mobile Computing Tech in Health Nk. Predictors (Pattern recognitors) wa tujadili next gen tech
  11. JamiiForums Tanzania Wakali wa Location hapa ni wapi?

    Kama wewe unaifahamu vyema Tanzania, hapa ni wapi?
  12. JamiiForums Tanzania Wapo wapi wanasimba hawa?

    Nimewakumbuka sana hawa wanalunyasi, hapa jukwaani walikuwa wanachangamsha kweli hasa kuanzisha nyuzi za mechi za mnyama, lakini tangu ubaya ubwela uanze sijawaona tena! Naomba nijue kama wanachunguliaga humu japo mara mojamoja nitafurahi mno, members hawa ni- Ghazwat mzee wa mwana kulitaka...
  13. JamiiForums Tanzania Ziko wapi zile familia?

    Kwani siku hizi hakuna zile familia za "CHUKUA MILLION 5 UKAE MBALI NA BINTI YANGU" Ali Nassoro Px Facebook
  14. B

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Kwa mujibu wa katiba Rais ndiye msimamizi wa Rasilimali za nchi. Yeye ndiye anaegawa keki

    Wakuu mnaoulizaga ni wapi Rais anapata pesa anazogawa ama ruzuku anazotoa === Hussein Bahe akizungumza kwenye uzinduzi wa benki ya ushirika Dodoma, leo Aprili 28, 2025 amesema kuwa wanaouliza ni wapi Rais Samia anatoa wapi pesa anazogawa kwa wakulima inapaswa wajue Rais ndiye mgawa keki. Bashe...
  15. JamiiForums Tanzania DURU: Utangamano, Amani na Ustawi. Taifa linaelekea wapi?

    Ustawi Taifa lolote linalotazama Ustawi na maendeleo yake huzingatia utangamano na Amani. Utangamano '(compatibility ) ni uwepo wa pamoja(coexist) licha ya tofauti za Raia katika rangi, Imani, itikadi za siasa na Utamaduni. Amani ni utulivu unaoletwa na uwepo wa maridhiano na haki. Amani si...
  16. JamiiForums Tanzania Duru : Utangamano, Amani na Ustawi. Taifa linaelekea wapi?

    Ustawi Taifa lolote linalotazama Ustawi na maendeleo yake huzingatia utangamano na Amani. Utangamano '(compatibility ) ni uwepo wa pamoja(coexist) licha ya tofauti za Raia katika rangi, Imani, itikadi za siasa na Utamaduni. Amani ni utulivu unaoletwa na uwepo wa maridhiano na haki. Amani si...
  17. A

    JamiiForums Tanzania Erythrocyte huyu salary slip aliendaga wapi

    Wale wafia chama CHADEMA akiwemo Erythrocyte na salary slip namuona tu Erythrocyte je huyu Salary slip aliamua kuhama chama au ndio kaamua kwenda na mipango yake binafsi Erythrocyte binafsi naomba unijuze au ndio chama kilimpoteza
  18. JamiiForums Tanzania Wazungu walitokea wapi?

    Jina Wazungu ni jina jumla kumaanisha "wazungukaji" jina hili lilitokana na ngozi nyeupe kuitembelea Afrika kwenye vipindi mbali mbali.hivyo jina Wazungu ni jumla sio wale wa bara la ulaya ambao ndio kama wamelibeba jina hili Kwa Sasa. Kabla sijalijibu swali hili naomba niwaulize wale wabishi...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Huawei waliishia wapi na ndoto zao za kutawala soko la simu duniani, Huawei bila Playstore ni kama chapati bila mafuta,

    Trump aliwapiga nyundo Huawei mwaka 2019, Hii ilipelekea makampuni kama google kuikataza Huawei kutumia huduma zao kama Playstore. Huawei wakaachana na android wakaamua kutumia System yao inaitwa Harmony OS wakiapa kupindua meza na kutawala soko la simu duniani. Hali imekuwa tofauti sana...
  20. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Amani Golugwa: Hilda Newton bado hajapatikana, Tunachofahamu alichukuliwa na polisi

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kimesema mpaka kufikia hivi sasa hakina taarifa za alipo mjumbe wa Baraza Kuu la chama hicho Hilda Newton baada ya kukamatwa siku ya jana akiwa eneo la Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar Es Salaam. Akizungumza na vyombo vya habari leo April 25...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…