wapi

The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gwajima kafia wapi au kamezwa na Polepole?

    Pamoja na makeke na mbwembwe zake, Gwajima anaonekana kutoweka kwenye ramani ya dini na siasa za Tanzania. Yuko wapi mbona hafurukuti tena kama mwanzo? Je kamezwa na Polepole au polepole anatoweka kwenye ramani ya Tanzania baada ya kujichanganya akidhani angeweza kuitapeli CCM asijue...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Nitakinukisha, NItakinukisha, Nitakinukisha, Nitafanya Uasi, No Reforms No Elections, Kiko Wapi?

    Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi ningeshangaa sana, unapita Kila Wilaya mwenyewe unajiua unapendwa, unachonganisha watu na serikali, Leo...
  3. JamiiForums Tanzania GE2025 Babu Tale akipika Mrenda baada ya kushinda Kura za Maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini, Mashariki

    Babu Tale akipika ugali na mrenda, muda mfupi baada ya kutoka kwenye ofisi za chama Mvuha, siku moja baada ya kushinda kura za maoni Jimboni Morogoro Vijijini Kusini Mashariki kwa kupata kura 5,318 dhidi ya Omar Tebweta Mgumba aliyepata 1,310.
  4. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata haya masweta

    Ninahitaji haya masweta white plain wapi nitayapata dar
  5. K

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa kodi

    Wafanyabiashara wanawekeza CCM malipo tujajua yatakuwa wapi? Kodi za TRA Kukwepwa, usalama kuwaogopa na kukwepa kodi kutawasaidia bei ya vitu vyao kuwa chini na kuwafanya wapate pesa zaidi
  6. JamiiForums Tanzania Ni wapi kwa Arusha ninaweza kujifunza lugha ya kichina?

    Habari za jioni wapendwa.ninatumaini nyote mpo salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza wakuu.naombeni msaada wenu tafadhali.Mahali pawe ni Arusha. Ninatanguliza shukrani za dhati🥂.
  7. JamiiForums Tanzania Msanii Besta yupo wapi?

    Hapo zamani si sana, katika anga za burudani za Tanzania, kulikuwepo na dada mmoja ambaye jina lake likitajwa, kila mtu alikuwa na simulizi lake. Sio tu kuimba, bali hata alipokanyaga jukwaani kwa kucheza, watu walibaki mdomo wazi. Hakuwa kama hawa watoto wa 2000 ambao hurukaruka tu na bado...
  8. JamiiForums Tanzania GE2025 Mahakama Kuu yapigilia msumari uamuzi kufichwa kwa mashahidi wa Jamhuri katika kesi ya Tundu Lissu

    Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam leo Jumanne Agosti 12, 2025 inatarajiwa kutoa uamuzi kuhusu mapingamizi ya upande wa utetezi katika kesi ya uchochezi inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Tundu Lissu, yanayolenga kupinga matumizi ya mashahidi wa siri. Katika mapingamizi hayo, upande wa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nina visa kadhaa vya kusisimua katika maisha yangu, ni wapi naweza kuiuza kwa watengeneza movie / series ?

    Ni visa ambavyo vimewahi kufanya watu wanisikilize kwa umakini mkubwa, kuwa na hamu ya kuendelea kuwasimulia nilipoishia na kuniomba updates. Sioni haja tena ya kusimulia visa vyangu kama hakuna pesa, ni wapi naweza kuuza hivi visa ambavyo ni true life stories na nipate motivation ya kuingia...
  10. JamiiForums Tanzania Sudan Kusini wamepata wapi u special wa kutrend dunia nzima na kukubalika namna hiyo na kuwa kivutio namna hiyo?

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hawa watu wa sudani kusini ambao walikuwa na njaa na kufukuzwa na waarabu wenzao wa Sudan mbona wamemugeuka kuwa maarufu ghafla sana Wametoa wapi u special huo maana saiz kila ukingia mtandaon ni wao tu Kwa wale wapenda madem ukitoa mimi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza

    Zamani za kale walikuwa wanawasingizia wanawake wa eneo wanaokula ndizi kwa saana. Nimeshangaa nilikuwa kwenye kijiji kimoja mabinti wa kisukuma wanakodi vyumba vya gesti na wanachobakiza ni kujiuza na kufanya umalaya. Kuuliza nikaambiwa eti ni kawaida yao karibu senta zote eneo la wilaya hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume, huu ujasiri mnautoaga wapi?

    Habarini za wakati huu wana JF. Kuna baadhi ya wanaume mna hii tabia ambayo binafsi naona siyo nzuri na siyo busara kufanywa na mwanaume mwenye akili zake timamu. Unakuta mwanamke kwasababu amekwambia anakaa mwenyewe, unataka akukaribishe kwake ilhali hakuna ulichomchangia yaani ndiyo kwanza...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nimenunua powerbank feki , msianguke nilipojikwaa

    Nimeamua kuweka uzi huu kwasababu hata TBS wanaopaswa kutulinda wamebaki kuwa watazamaji, kuna bidhaa feki nyingi sana mtaani Kuna bidhaa za kampuni ya ORAIMAB ikiwemo powebank niliyonunua, kaeni nazo mbali. Sehemu nilipo kumeanza mgao wa umeme, Siku ya jana (Jumanne) nikaingia Facebook...
  14. JamiiForums Tanzania Watu wa jf muko wapi mbona hamuonekani????

    Watu mumepotea kabisa hamuonekani au tatizo bando??????
  15. H

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Waafrika tusimamie ukweli kati ya Waafrika wanaofuata uislam/ukristo na wasiofuata ni wapi walio sahihi na wakweli?

    Habarini, Tusimamie ukweli kutoka moyoni katika hili. Asanteni!!
  16. JamiiForums Tanzania Mnaopangwa mashahidi wa kificho kwa Lissu kataeni kua mashahidi

    Kama Kuna Jambo ambalo Mashahidi wa Jamhuri Wanatakiwa walikwepe kwenye Kesi ya TUNDU LISSU ni KUKUBALI KUFICHWA TAARIFA ZAO Kwa kuogopa Et Wataonekana machoni mwa Watanzania. Nina wahakikishia, Ni heri Taifa liwafahamu ili baadae hali ikibadilika mjue namna ya Kujitokeza wazi na Kujitetea...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Uko wapi pesa, nakuita pesa

    Habarini humu ndani dharau, kejeli na matusi yamekua nimengi sana mtaani. nimeamua kuzima zote kuwasha moja tu. Kelele zimekua ninyingi sana mtaani kuhusu kupata utajiri kwanjia ya kiganga (nazo pia zimekua ngumu kupata) NAHITAJI CONNECTION MOJA TU YAUHAKIKA YAKUNIFANYA NIPATE HIZO PESA...
  18. JamiiForums Tanzania Jina lako lina-trend wapi leo?

    Leo, jina lako lina-trend katika jukwaa lipi? La Siasa, la Habari na Hoja Mchanganyiko au International Forum? Ukitubu leo na kuamua kuokoka, jina lako lita-trend mbinguni. Na huko sio ku-trend tu, itakuwa Breaking News itakayowafanya malaika wote washangilie. Luka 15:7 "Kadhalika nawaambieni...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mliosema Polepole hayuko Tanzania ... mtuambie hapa ni wapi?

    Humphrey Polepole amerecord clip fupi akiwauliza ndugu mnaopinga na kusema hayupo Tanzania Kwa kuhofia usalama wake
  20. JamiiForums Tanzania Mh Polepole anawauliza hapa ni wapi?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…