The Wapi Project was a civic action program originated by the Royal Lao Government; it was performed in Military Region 4 of Laos from late 1963 through 1967. Notable for being among the first integrated programs to offer integrated services to the Lao Theung populace of southern Laos, it became a victim of its own success. Its lean efficiency led to its being crowded out of funding by more expensive programs.
Wakuu,
Matokeo ya Uchaguzi mkuu yameshatoka na maisha yanaendelea na tumeapishwa. Lakini, kama mdadisi wa mambo, nimekuwa nikicheza na takwimu rasmi za INEC na Sensa yetu ya 2022. Naomba tusaidiane kuzitafakari hizi namba kwa pamoja, maana kwangu kimahesabu picha inagoma kukaa sawa.
Huu si...
Tangu tarehe 29 Oktoba mwaka huu, Tanzania imekuwa ikipitia siku za majonzi na simanzi kubwa. Wimbi la vifo vya raia, mikononi mwa vyombo vya dola, limeitikisa nchi na kuacha majeraha yasiyopona mioyoni mwa Watanzania wengi.
Wengine wamepoteza ndugu, marafiki, na wapendwa wao katika mazingira...
Tanzania nchi yangu imekutwa na nini na hii nchi tunaiepeleka wapi?
Baada ya uchaguzi huu na uchafuzi nilitegemea sasa ni mda wa kuombana msamaha na kutibu majeraha yaliyotokana na uchaguzi
Nilitegemea vijana wote waliokamatwa kuachiwa huru pamoja na yule binti Mdogo Niffer nakupewa onyo kali...
Mahabuba wangu, furaya ya nafsi yangu na manukato wa moyo wangu...
Mara ya mwisho uliniahidi wanifuata Zanzibar baada ya swallat jumaa siku kama ya leo ila hukuja
Kwa anayejua alipo Bibi yenu Gen Z na Mama au Dada wa wengine humu anijuze kwani katika mawasiliano yake hapatikani ati
Leo, 04 Novemba 2025, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche alichukuliwa mahabusu ya Polisi kuwa anahitajika kwa RPC Dodoma.
Heche amechukuliwa huku mke wake akishuhudia akiwa na Katibu wa Kanda ya Kati (CHADEMA) Bi ashura Masoud.
Walijaribu kuongozana na gari la Polisi lakini magari hayo...
Yaani ndugu zangu nguvu aliyokuwa nayo Mama samia na Kikwete ni tofauti na tunavyofikiri,tukiishindwa kuikomboa hii inchi tunaenda kuwa kama Congo,hebu fikiri linaretwa jeshi kutoka inje ili kuja kuuwa Raia wanaoandamana ambao ni Watanganyika,
Uongozi wa juu umejaa Wazanzibar wenye damu ya...
Kichwa cha habari kiko wazi. Wako wapi magabacholi mbona hatuwaoni mitaani nao wakiandamana au weshafanya yao kama kawaida yao. Nao, tukimalizana na wanasiasa, tuwatembelee wajue hawajui na warudi kwao. kuanzia Zanzibar hadi India. Au vipi>
Kuna machawa nataka kujua walipo wanafanya nini au wamefanywa au watafanywa nini. Na kwanini hawajatembelewa na kutembezewa kichapo?
Ni wafuatao:
Samuya Sululu Hassami
Njaa Kaya Kiwete
Abduli toto la mama
Wanu
Moody Mchengererwa
Rizone Kiwete
Salma Kiwete
Daudi Albert Bashiti
Albert Chalamila...
Haiwi haiwi huwa. Waliokuwa wakituzodoa kuwa watanzania ni woga hawawezi kukinukisha mko wapi chawa wakubwa nyie? Samia na tambo za Khadija Kopa yuko wapi? Mnataka amani bila haki. Kweli hii inawezekana?
Ushauri wangu wa bure ni kwamba tuache kuishi kwa mazoea binadamu ana tabia zinazobadilika...
Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Hussein Mwinyi tayari amepiga kura katika kituo cha kupigia kura Kariakoo viwanja vya michezo ya watoto Jimbo la Kwahani.
Dk Mwinyi amefika katika kituo hicho saa 2:10 asubuhi ya leo Jumatano, Oktoba 29, 2025 akiwa ameongozana na...
CCM mlisema Rostam Aziz ni mtanzania, mfanyabiashara mashuhuri, ni mwenzenu.
Sisi wana Igunga hatumuoni mbunge wetu wa zamani. Haonekani kufuatia hotuba ya Kapteni Tesha.
Taarifa za chini zinasema katimkia Zambia. Tunamuomba mzalendo huyu toka Iran, aje kupiga kura.
Tunachezewa sana! Eti...
Pascal hayaoni haya mambo yote yanayotokea?
Hawa watu wanasema wanataka kuandamana ni kweli wanataka kuikomboa nchi au wanataka kurudisha nyuma maendeleo na kutupeleka kwenye Stone Age ?