wapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi mashabiki na wapenzi wa Donald Trump wako sawa kichwani?

    Ukimsikiliza rais wa Marekani Donald Trump kwa makini na bila upendeleo, unagundua ni mtu mwenye changamoto ya akili. Ni muotaji ndoto wa mchana, muongo, mjinga, na mpumbavu. Anaongopa hata bila kuona aibu wala kupepesa macho na bado kuna watu wanamuamini. Napata shida sana kumuelewa na...
  2. Brewa Coffee: Kahawa Bora Zaidi Tanzania – Inayotikisa Soko kwa sasa.

    Kama wewe ni mpenzi wa kahawa ya kweli,karibu Brewa. Hatuuzi mazoea, tunauza ubora na ladha halisi inayotoka kwenye kilele cha Mlima Kilimanjaro. Bidhaa zetu ndizo zinazoongoza kwa mauzo kwa sasa kwa sababu hatuna mpinzani kwenye swala la freshness. Kahawa yetu inakaangwa (roasted) na...
  3. PostGE2025 Wamefunga JF na mitandao mingine ila ndio wapenzi wazuri kujiongeza kujua wanatawala vipi kwa mawazo yetu

    Kongole JF kwa bwana Max ila spana zilizomo hapa tambua wanafaidika kama darasa japo ni vilaza sana serikalini ila kuna mengi wanapata na kufanyia kazi. Kwanini mada zinazotoka JF wanakuwa shapu kama sio shapu mbona walifungia mtandao wako,Ina maana waliona na kujua makaburi yao ndio maana...
  4. Kia wamezidua PV5 EV: Hii ni kwa wapenzi wa family Van!

    Kia wamezindua PV5, bonge moja la electric van kusema kweli kamenivutia muonekano na practicality. Inakuja na electric motor moja, battery utachagua 51kWh au 71kWh, itakufikisha hadi kilometa 400, DC fast charging system ya 150kW ambayo utachaji 10%-80% kwa dk 30 kwenye platform mpya kabisa ya...
  5. Mnaopost wapenzi wenu hii inawahusu

    Habarini za asubuhi 5 am Club members na Wengine ? Nimeamka asubuhi hii nikawa na natizama status kidg kabla sijaenda mezani kufanya kazi zangu binafsi kabla ya muda wa kwenda kutimika utumwani (Utumishi). Nimekutana na post ya mshikaji mmoja amepost picha ya Mwanamke ambaye ni mke wake kwa...
  6. Kwa wapenzi wa Movies na mipira, pitieni Canal+ online mpate kuburudika

    Unachohitaji ni Internet ya uhakika: Kwa watumiaji wa android au smart TV, ingia PlayStore, download Lokke. Ukimaliza, ifungue. Kwenye search, andika vavoo.to Baada ya hapo, channels kibao zitakuja, endelea kumove. Unaweza kuwa unapitia kwenye sub menu.
  7. Members gani wa JF unadhani wanaweza kutengeneza super couple? Wapo Compatible japo sio wapenzi

    Mimi ni shabiki mkubwa wa wanachama wa hili jukwaa. Muda mwingi nawasoma kimya kimya.... Sasa fikiria ile couple inayotikisa mtaa...inaweza kuwepo hapa JF sema tu baadhi ya wanachama hawajakutana. Wanachama gani unadhani wangepeana chance wanaweza kutengeneza the hottest couple hapa jukwaani...
  8. Wapenzi wa "nature documentaries", je umeangalia zipi kati ya hizo?

    Nimekuwa mpenzi wa nature docs, izo ni baadhi ya nilizonazo, nipeni mapendekezo ya nyingine nzuri zaidi nizicheki.
  9. Wapenzi wa Reality TV Shows: Share reality TV shows nzuri

    Wale wenzangu ambao kila upatapo muda unakimbilia section ya reality TV shows pita hapa. TV shows zangu mara nyingi naangalizia Netflix, DSTV[app] na Showmax. My favorite so far: 1. Young, famous & African -hii tupo season ya tatu sasa. 2. Temptation island 3. Too hot to handle 4. Forever...
  10. K

    Habarini wapenzi. Naombeni msaada wa Mwanasheria wa Moshi mjini. Ni dharura sana naombeni msaada wa haraka.

    Natanguliza shukrani🙏🙏
  11. Wapenzi wa ladies hi hills

    Habari waungwana,karibuni tufanye biashara ya viatu vya ladies hill...kuazia nchi 1,2,3,4,5 hadi 6....tunapatikana kinondoni mkwajuni...tunauza kwa rejarejaa @25000,na jumla kuazia pr 10 tunafanya biashar.pia.unaweza kutembelea page yetu istagram house_of_shoe_and_bags.ntakuwa naweka baadhi ya...
  12. H

    CCM kuichukia Yanga na kuifanya kuwa moja Ya miradi yake ya kuipatia mapato, wanachama na Wapenzi wameshirikishwa? Na Vipi Wafanyabiashara waovu?

    Heading Isomeke ..Kuichukua, na siyo kuichukia Vyanzo vikuu vya mapato vya CCM, kwa kiasi kikubwa, siku zote imekuwa ni uovu na ukosefu wa maadili. Kwa CCM, uovu huipatia mapato makubwa, ila hili la Yanga kuifanya chanzo kimojawapo cha mapato yake, linashamgaza sana. Siku za nyuma, CCM...
  13. Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  14. Wapenzi wa Maua yakupamba nyumba : Artificial

    Wale wapenzi wa maua ya kupamba nnyumba Haya yako kibao huko alxpes kwa kianzia 5000 Aliexps link 👉🏻31/37 cm künstliche Schlangenpflanzen, gefälschte Sukkulenten, Kunststoff, Tigerfellpflanze, tropische Sansevieria für Büro, Zuhause, Tischdekoration - AliExpress 15
  15. Wadada mnaotoa tangazo humu kutafuta wapenzi muwe mnasema kama mna mzigo wa kutosha ama laa

    Unakuta mdada anaandika uzi kutafuta mpenzi au mume, eti anaandika mara nina diglii ya biashara, mara ninaishi sijui mbagala, mara mrefu kidogo mweupe! Jambo la kusikitisha ni kwamba ataeleza yote hayo halafu anashindwa kuandika kama ana makalio makubwa ama la.. Nani kakwambia anashida na hiyo...
  16. Ni sahihi wapenzi kukopeshana pesa kwa riba?

    Wakuu inakuwaje mwanamke wako asiyefanya biashara ya kukopesha ukimwomba akukopeshe lazima aweke riba ya mwezi mmoja? Hapa kuna mapenzi kweli? Cha kushangaza anataka attention yako balaa. Kila mara SMS & calls. Hii imekaaje? Kukopeshwa sio tatizo, riba ndo tatizo.
  17. Tupeane machimbo kunapouzwa kitimoto. Pia tubasilishane ujuzi wa mapishi

    Wapendwa, mambo vipi? Tuko hapa kibadilishana mawazo, maarifa, na kujulishana machimbo wanakouza Kitimoto 🐖🐷🐽 katika mikoa mbalimbali na wilaya zake
  18. Wapenzi wa Simba na Watanzania kwa ujumla wanataka kujua haya kuhusu uwekezaji wa MO kwenye timu ya Simba

    1. Kisheria ni nani aliyemuuzia MO Simba SC? 2.Ndani ya Simba SC ni nani mwenye mamlaka ya kumuhoji MO? Nje ya Simba SC je? Kama mpo kwa nini msimuhoji? 3. Kwanini MO anaruhusiwa kuchanganya dhana ya ufadhili, dhana ya biashara na dhana ya uongozi kwenye taasisi moja? 4. Je ripoti za...
  19. Wapenzi wa movies za Kijapan

    Ukitoa Hollywood, Japan ndiyo wanafuata kwa kutoa movies nzuri na za akili, iwe ni action, drama au animation. Na upande wa animations wanaweza kuwa wanaizidi hollywood. Na ubora wao upo toka miaka hiyo tunatawaliwa. Kama unapenda movies zao share hapa. Hii 11 Rebels ya 2024 ina story na...
  20. B

    Wapenzi wa nyama ya kuku inabidi tuanze kufuga wenyewe

    Siku zinazo kuja itakuwa hata ukitaka kupata ganja halisi, itakubidi upande Dar Express au Kilimanjaro Express ukachukue mwenyewe Arusha. Kila kitu kimemuwa fake. Hata hawa wanao itwa Kuku wa kienyeji wana uzwa kwenye mabar wengi ni " Chotara"ambao nao pia watakuwa na madhara kama wa kizungu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…