wapangaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kwa msisi yetu

    JamiiForums Tanzania Hili la kodi kwa wapangaji TRA wameupiga mwingi

    Hakika ukusanyaji wa mapato utaongezeka kwa maendeleo ya nchi yetu. Hongereni TRA kwa kuliona hili, hongera mama yetu Samia Suluhu Hassan. TRA iangalie maeneo mengine na kupanua zaidi wigo wa kodi. Kodi ndio maendeleo ya nchi. Kazi iendelee.
  2. N

    JamiiForums Tanzania Ngoma Inogile: Wapangaji sasa kulipa asilimia 10 ya kodi TRA

    Kwa mujibu wa Gazeti la Mwananchi kupitia Ukurasa wake wa Instagram, imeeleza kuwa; Mamlaka ya Mapato nchini (TRA) imesisitiza wapangaji kuwa wazalendo na kulipia asilimia 10 ya kodi wanazokuwa wakilipa kwa wenyenyumba ili kulipia kodi ya pango. Akiwa katika mafuzo ya wafanyabiashara juu ya...
  3. LUS0MYA

    JamiiForums Tanzania Tangazo la TRA kuhusu ukusanyaji mapato kwa wapangaji kuathiri sensa

    Tangazo la TRA kuwatumia wapangaji kukusanya kodi ya zuio kwenye upangaji wa nyumba linaweza kuathiri zoezi la sensa kwani upo uwezekano wa baadhi ya taarifa za umiliki wa ardhi, nyumba kufichwa kuogopa kulipa kodi stahiki. Ni muhimu kwa taasisi kama TRA kukaa kimya kuliko kutoa matamko...
  4. Luqman mohamedy

    JamiiForums Tanzania Kero nilizokumbana nazo kwenye nyumba za kupanga

    Habari wanaJF, Ama kweli ule usemi wa ukichoka kero za nyumba za kupanga jenga yako bado inaniumiza mpka leo kwa vitabia flani ivi vya kiswahili huku kwetu changanyikeni ambazo sizielewi. Kwanza hapa naamini kuna watakaosoma hii article ni wapangaji wenzetu wenye tabia hizi. (1)Utakuta wadada...
  5. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba za wapangaji

    Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji. Ahsante.
  6. FAJES

    JamiiForums Tanzania Wenye nyumba imefika wakati mbadilike sasa, mtuhurumie sisi wapangaji, kodi zilipwe kwa mwezi na si miezi 3,6 wala mwaka

    Kwakweli sijui hili wazo la kulipa kodi ya nyumba iwe ya makazi, office ama biashara kwa muda wa kuanzia miezi 6 hadi mwaka ulitoka wapi, kwa makubaliano yapi kitaifa na kwa mujibu wa sheria zipi? Sisi wajasiriamali wenye mitaji midogo ya kudunduliza mnataka tuishie kuwa ombaomba kwa kushindwa...
  7. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Baada ya baba mwenye nyumba kuunga juhudi, ni nini hatma ya wapangaji wake?

    Mmeshindaje ndugu zangu.. Hapa nazungumzia hawa vijana waliokuwa wanafanya siasa za chuki, dhihaka na kejeli dhidi ya viongozi wa serikali, leo hii wataishije baada ya baba mwenye nyumba wao ambae ndio alikuwa akiwaweka mjini na kuwalipa kwa utopolo wao kuamua kuwa upande wa wale waliokuwa...
  8. ragin

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei za vifaa vya ujenzi wapangaji mtarajie mabadiliko pia

    Unakuta mtu uko city centre kulingana na ubora wa nyumba yako anatokea mpangaji anakwambia sijui mbona kwa OMARY anapangisha chumba 50000 na vina umeme na maji wewe tu ndo unapangisha 60000. kwa OMARY kwenyewe ndo hapo👆 alafu uje kwa ABDALAH 👇utake kupanga kwa bei hiyohiyo,,,,,. kwa mfumuko...
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wapangaji wa chumba kimoja Ulaya zama za Viwanda zilipoanza

    Wengi walihama kutoka vijijini kutafuta ya kazi katika miji yenye viwanda. Familia nyingi za vibarua zilimudu kupanga chumba kimoja tu mjini. Vyoo vilikua nje.
  10. beth

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi apiga marufuku madalali kulipwa posho ya mwezi mmoja na wapangaji. Asema ni ujambazi

    Waziri wa Ardhi, William Lukuvi amepiga marufuku Madalali kuwadai Wapangaji Fedha ya Mwezi Mmoja, akiita kitendo hicho kuwa ni ujambazi. Amesema, "Kuna baadhi ya Madalali wanapangisha nyumba halafu wanachukua kwa Wapangaji Kodi ya mwezi. Hawa wanaochukua pesa za wapangaji waache mchezo huo...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya biashara yenye wapangaji wengi ni sawa na biashara ya umachinga

    Unapojenga nyumba unakuwa na kusudio la ujenzi huo. Hii inakusaidia kupata ramani na budget ya jengo. Wengi wetu baada ya kujenga nyumba ya kukupatia vijusent kwakua nyumba ni asset inayodumu. Katika maongezi kuna mwekezaji wa nyumba za biashara aliyeniambia, ukijenga nyumba ya vyumba sita...
  12. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mpangaji wangu msumbufu kulipa kodi nataka nifungie vitu vyake

    Wakuu habari: Unajua hizi nyumba za kupangisha zina matatizo sana, mtu umetumia pesa kibao kuwekeza, bado tena unakuja kupangisha majitu ambayo hayajielewi. Ni hivi, kuna mpangaji wangu now anakaribia miaka miwili kama na nusu kwenye mabanda yangu, sasa huyu tangu kipindi cha Corona ya kwanza...
  13. Hismastersvoice

    JamiiForums Tanzania Wapangaji waijulishe TRA kuwa nyumba si zao ili TRA isifanye kosa kuwatoza kodi ya jengo

    Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo kuanza kukatwa kwenye Luku kuanzia Agosti 20, 2021. Je, Serikali imekosa Dira, mbinu zimewaishia?

    Naomba kuuliza maswali machache. Ni sababu ipi hasa ya msingi iliyopelekea kutoka mfumo wa malipo wa zamani kuleta mfumo wa sasa? Kwa hiyo kwanzia agost 20 kodi ya jengo inalipwa na mpangaji? Vipi kuhusu nyumba ambazo kila chumba kina mita yake? Vipi kususu mpangaji mmoja ambaye kapanga...
  15. De Professor

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga vya nyumba za kupanga, wapangaji na wenye nyumba

    Habari wanajamvi, katika maisha kweli kuna safari ndefu leo nimekumbuka zamani sana kipindi natafuta maisha nilipoanza kupanga kwenye nyumba za watu vile vioja vya hapa na pale. Mara mwenye nyumba yupo hivi mwingine nae yupo vile Mara sehemu uliyohamia unakuta wapangaji wanatabia hii wengine...
  16. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kukata kodi ya jengo kwenye LUKU, watakaokuwa walipaji wakuu ni wapangaji na si wamiliki tena

    Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki. Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni...
  17. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Elimu ya kitaa: Je, unajua kwanini wapangaji wengi hawapendi kuishi nyumba moja na mmiliki?

    Maisha ni safari, nimetoka mbali, leo nmekumbuka maisha nliyopitia ya kuishi vyumba vya kupanga. Kiukweli ni ndoto ya kila kijana kuanza kuishi maisha ya getoni iwe single room ama self-contained kabla hajajenga au kununua nyumba yake. Nikiwa kama mtu nliewahi kupitia maisha hayo, nlikumbana...
Back
Top Bottom