waomba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Cameroon: Waandishi wa Habari waomba ulinzi baada ya mwenzao kuuawa

    Ni kufuatia Mauaji ya Martinez Zogo, na mwili wake kutupwa Nje kidogo ya Mje Mkuu Yaoundè, Jan. 22, 2023 baada ya kutekwa nyara na watu wasiojulikana Siku chache kabla ya kifo chake, Mwandishi huyo aliyekuwa Mkosoaji wa Serikali, alikuwa ametishia kufichua Ufisadi Serikalini Shirika la kutetea...
  2. JamiiForums Tanzania BBC waomba Radhi kwa Sauti iliyosikika ya Watu wakifanya Mapenzi wakati wa Matangazo ya Mpira jana Usiku

    Hakika ile Sauti iliyoingilia Matangazo ya Moja kwa Moja ya BBC ya Mechi ya FA Cup jana ya Liverpool FC ya Watu wakitinduana (wakifanya) Mapenzi (Ngono) ilituathiri hadi na Sisi Wengine wapenda 'Mbunye' na Kulazimika kuacha kufuatilia Matangazo yao BBC na kuanza nasi kuwatafuta watakaopatikana...
  3. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi waomba kujengewa daraja

    Wananchi wa kata ya sinoni na Themi katika halmashauri ya jiji la Arusha, wameiomba serikali kuwajengea daraja linalounganisha Kata ya Themi na Sinoni kutokana na Kuwa ni miaka zaidi ya mitano sasa imepita tangu kuvunjika kwa daraja la awali lilokuwepo. Wakazi hao Wamekuwa wakipata shida...
  4. JamiiForums Tanzania Waasi wa M23 waomba kufanya mazungumzo na Uhuru Kenyatta

    Kundi la waasi la M23 siku ya Ijumaa lilikaidi wito wa kusitishwa kwa mapigano, likitaja mashambulizi ya mara kwa mara kutoka kwa jeshi la Kongo, FARDC, lakini wakaomba kukutana na mpatanishi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Uhuru Kenyatta na Rais wa Angola Joao Lorenco, kutetea malalamiko yao...
  5. JamiiForums Tanzania DC Gondwe atoa onyo kali kwa Madereva walevi, Wananchi Wazo waomba Barabara itanuliwe

    Mkuu wa Wilaya ya kinondoni Godwin Gondwe ametoa onyo kali kwa madereva wanaondesha magari huku wakiwa wamelewa. DC Gondwe ameyasema hayo wakati alipokuwa akiongea na wananchi wanaoishi eneo la Wazo Hill na Madale alipotembelea eneo hilo kutokana na ajali mbaya iliyotokea jana asubuhi na...
  6. JamiiForums Tanzania Warusi wanafuatilia kwa makini uchaguzi wa Marekani, waomba Republicans washinde ili mateso yapungue

    Wanaamini kwa namna fulani Republicans watapunguza misaada kwenda Ukraine, maana madude kama HIMARS yamewatesa sana..... Pro-Kremlin forces in Russia are hoping that the Republicans win control of Congress, an outcome they believe could mean Democratic President Joe Biden faces a tougher and...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa wa Kitengo kinachodaiwa kuua watu Kenya waomba aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi (DCI) ajumuishwe kwenye kesi

    Maafisa hao 21 watakaoanza kuhojiwa leo na Kitengo cha Mambo ya Ndani (IAU) wamesema walikuwa wakifanya kazi kwa maelekezo ya kiongozi huyo hivyo wanataka naye ahojiwe. Mmoja wa maafisa amesema "Kwa siku mbili tumekuwa tukihojiwa juu ya mambo ambayo hatuelewi. Tunayosikia ni masuala ya Mauaji...
  8. JamiiForums Tanzania Wahanga wa 'Plea Bargain' waomba Jaji Biswalo asimamishwe kupisha uchunguzi

    Ni baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuthibitisha kuwa ofisi yake imeanza uchunguzi wa jambo hilo na ripoti yake itatoka March 2023. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Ofisi ya CAG imeanza kuwahoji waathirika wa utaratibu huo kuanzia ngazi ya Kata, huku kukiwa na madai...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya: Wafanyabiashara wa Pombe waomba Poh, watangaza kupata hasara ya Tsh. Bilioni 309.5

    Wafanyabiashara wanaojihusisha na uuzaji wa vileo wameitaka Mamlaka ya Kodi (KRA) kusitisha marekebisho ya kodi yaliyopangwa kwaajili ya bidhaa ili kupisha mfumuko wa bei. Wafanyabiashara hao, ambao ni pamoja na Chama cha Vinywaji vya Pombe nchini (ABAK) na Baa, Burudani na Migahawa ya Kenya...
  10. JamiiForums Tanzania Warusi waomba majenerali wao wapigwe shaba na kuuawa kwa kusababishia nchi aibu

    Hawaamini macho yao, wengi waliaminishwa ni operesheni ya siku chache ila imekua aibua ya taifa lote, hamna kitu huwachukiza Warusi kama taifa lao kushindwa kwenye mapambano, huwa wana kiburi sana na nchi yao...wenyewe wanaita "mother Russia" A Russia state-media host has called for the...
  11. JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

    Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Wanajeshi 2,000 wa Urusi wazingirwa, waomba waachiwe watoke kwa amani

    Jameni hivi inaingia akilini supapawa anaacha wanajeshi wake wazingirwe kizembe hivi na kuachwa kwenye hali ya hovyo, yote hii wanafanyiwa na kainchi kadogo hapo jirani. Ukraine alicheza parefu kwenye hili, mnawaacha waingie kisha mnawazingira...... Wakuu wa hizi battalion wameomba yasifanyike...
  13. JamiiForums Tanzania Wadau wa Bandari waomba TICTS isiongezewe mkabata

    Na Marato Sinda, Dar es Salaam Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji ambao wameitaka serikali kutoipa mkabata mpya kampuni hiyo kwa kushindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo...
  14. JamiiForums Tanzania Hali ya Uokoaji Afghanistan bado tete, Taliban waomba msaada wa Kimataifa

    Inaelezwa kuwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na uharibifu mkubwa wa majengo na miundo mbinu ni kikwazo kikubwa kwa jopo la uokoji kusini-mashariki mwa Afghanistan, ambapo tetemeko kubwa la ardhi linaripotiwa kuua zaidi ya watu 1,000 na kuacha majeruhi takriban 1500. Mamlaka ya Taliban...
  15. JamiiForums Tanzania Taliban waomba msaada uzunguni baada ya tetemeko la ardhi Afghanistan

    Tetemeko hatari sana limefanya uharibifu na kusababisha vifo vingi hadi Taliban wameomba msaada. ============= At least 920 people have been killed and 600 injured after an earthquake struck eastern Afghanistan early on Wednesday, authorities said. The 6.1 magnitude quake hit in Paktika...
  16. JamiiForums Tanzania Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

    Mawakili wa upande wa utetezi katika inayomkabili Mfalme Zumaridi na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kama itawezekana mteja wao awekewe ulinzi au ahamishwe katika Gereza Kuu la Butimba alililopo hivi sasa kufuatia kuwepo kwa taarifa za kuuawa kwake ndani ya gereza. Ombi hilo...
  17. JamiiForums Tanzania Uingereza yasitisha safari za waomba hifadhi kupelekwa Rwanda

    Serikali ya Uingereza imesitisha mpango wa safari ya ndege iliyotakiwa kuwabeba waomba hifadhi kwenda Rwanda baada ya Mahakama ya Haki za Binaadamu ya Ulaya kusema mpango huo unaakisi athari zisizoweza kurekebishwa. Awali ilielezwa ndege hiyo ingeanza safari Juni 14, 2022 bila kujua idadi ya...
  18. JamiiForums Tanzania Utumishi hivi mnatumia mfumo upi katika kupanga waomba ajira kulinga na kada zao?

    Natumaini wote ni wazima. Imenibidi nianzishe uzi huu nikiwa naamini baadhi ya wahusika wa Utumishi wataona na wachangiaji wengine watatoa maoni yao. Utumishi wametangaza kazi nyingi sana, ambalo ni jambo jema kwa sisi wasaka ajira. Tatizo linaanzia kwa baadhi ya wasaka ajira kushindwa kuomba...
  19. JamiiForums Tanzania Mfumo wa NBS kwa waomba kazi za kuhesabu sensa ni mzuri, Serikali ipongezwe

    Hi! Local government officials kuanzia wajumbe wa mashina, wenyeviti, maafisa wa mitaa/vijiji, kata na tarafa mpaka halmashauri wanaipenda hongo sana. Kutokuwapa kwa 100% mchakato wa kuajiri watumishi wa muda wa kuhesabu sensa imekaa njema sana. Hii ifanyike na NEC na taasisi zingine. Mimi...
  20. JamiiForums Tanzania Katavi: Wananchi wa Mishamo waomba kuwekewa minara ya simu, mawasiliano ya Radio

    Baadhi ya wananchi kutoka katika vijiji tofauti tofauti katika makazi ya Mishamo mkoani Katavi katika wilaya ya Tanganyika, wanakosa huduma muhimu za mawasiliano ya Radio na simu. Wanakijiji hao kutoka katika vijiji vya Mgansa, Isubangala, Bujombe na vijiji vingine jirani wamekuwa wakikosa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…