wao

Yōka Wao (和央 ようか, Wao Yōka, born 15 February 1968) is a Japanese performing artist and a former member of the Takarazuka Revue, where she specialized in playing male characters (Otokoyaku). She joined the revue in 1988 and resigned in 2006.
Her nicknames are Takako (from her real name: Takako Ōkawa (大川 貴子 Ōkawa Takako) and Wao.
She is the only Otokoyaku to be top in her class as well as the last otokoyaku top star to have joined the company during the Shōwa era.
She was born and raised in Osaka (according to Takarazuka Graph 2003 April issue).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Nimewaona Ma RAIS 5 Baada Ya Rais Samia. Wote Wamepikwa na Wamepitia Mikono Mwake ,Uwezo Wao na Uzalendo Wao Ni Mkubwa Sanaa Kwa Taifa letu. Tuwaombee

    Ndugu zangu Watanzania, Nimewaona na kuonyeshwa Ma Rais 5 Watakaofuatia na kuongoza Taifa letu baada ya Kumaliza Muhula wake Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Hapo 2030. Ni viongozi Wachapakazi ,wazalendo ,waadilifu ,wacha Mungu na wenye Dhamira ya kweli na Dhati...
  2. JamiiForums Tanzania Toa uthibitisho wowote kuwa wachina wanaroga na uchawi wao una mauza mauza ndio maana wamewashinda wale wachawi wakuu wa Kariakoo

    waafrika tunapenda kujitetea ili kufanya make up upumbavu wetu, kwa sababu unafanya ushirikina sasa unataka uhusishe na wengine ili usionekane fala. Mmezidiwa mamlaka, mmezidiwq akili, mmenunuliwa kwa pesa alafu mnataka kusema mchina ku-survive hapo kariakoo eti kwa sababu anachinja sana mbuzi😁...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Nuno Aonya Wanasiasa Wanaofadhili Goons: Serikali Itaondoa Ulinzi Wao

    Kamanda wa Polisi wa Pwani, Ali Nuno, ametoa onyo kali kwa wanasiasa wanaodaiwa kufadhili makundi ya wahuni (goons), akisema kuwa serikali haitaendelea kutoa ulinzi kwa viongozi watakaobainika kutumia au kufadhili makundi hayo kutekeleza vitendo vya vurugu. Akizungumza na wanahabari, Nuno...
  4. JamiiForums Tanzania Wydad kuishtaki Simba kwa kumtangaza Seleman Mwalimu kuwa mchezaji wao

    Klabu ya Wydad Casablanca imekanusha taarifa ya kufikia makubaliano na Simba SC juu ya mshambuliaji Selemani Mwalimu 'Gomez' kusalia kwa Wekundu hao wa Msimbazi kwa msimu mmoja zaidi wa mkopo ikidai taarifa hiyo haina ukweli wowote na kwamba klabu hiyo haijasaini makubaliano yoyote ya mkopo...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ya tanzania ya CCM mtaji wao ni kukuona maskini ili wazidi kudumu kukufariji,Pitia hapa.

    Hivi mnajua kila kitu kingefanyika kwa wakati tokea kupata uhuru mpaka leo pale bungeni usingesikia habari za kuzungumzia magovi. Kuna mambo ambayo ukipeleka serikalini ya ccm wanakwambia haya haya takiwi kwa sasa na masoud kipanya alishaeleza sana. Mfano mmoja ambao nitakupa maana hii...
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini vilabu vya Tanzania haviingizi sokoni jezi zenye majina ya mastaa wao? Je, ni ukosefu wa mipango ya kibiashara?

    Mauzo ya jezi ni miongoni mwa vyanzo vya mapato ya vilabu vya soka duniani, ingawa fedha zote zinazolipwa na mashabiki haziendi moja kwa moja kwa klabu. Kwa kawaida, mapato hayo hugawanywa kati ya mtengenezaji wa jezi, wauzaji wa rejareja na klabu kulingana na makubaliano ya kibiashara. Hivyo...
  7. JamiiForums Tanzania Familia ziwe macho na vijana wao, ndugu kutafunana imezidi

    Wakuu hii hali imekuwa hatari. Hakuna cha binamu, sijui mtoto wa baba mkubwa au mama mdogo.. yaani vijana wanatafunana hatari. Hii sio sawa. Zamani ukisikia mabinamu wametafunana inakuwa jambo la aibu ukoo mzima. Ila sasa hivi hali imezidi kuwa mbaya. Leo nimeona na kusikia mama mmoja...
  8. JamiiForums Tanzania Walipokusanyika wanajeshi wao ndipo tulipopiga makombora yetu.- Iran 🇮🇷

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) limedai kufanya mashambulizi ya pamoja kwa kutumia makombora na ndege zisizo na rubani (drones) dhidi ya rada ya mfumo wa ulinzi wa C-RAM katika Kambi ya Ali Al Salem nchini Kuwait, pamoja na eneo lililodaiwa kuwa mahali pa mkusanyiko wa...
  9. JamiiForums Tanzania Maisha ya madaktari wa Kitanzania na umaskini wao na kuishia katika kupata heart attack

    Napenda kuandika haya yafuatayo kwa uchungu mkubwa sana na kama jamii pamoja na Serikali itapenda kulichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa itapendeza sana. Daktari ni mtu pekee hapa Tanzania anayeongoza kuwa na heshima kutokana na nafasi yake kama daktari na namna ambavyo anatekeleza majukumu...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Wajinga Ndiyo Waliwao. CHADEMA Wanakamuliwa na Kuchangishwa Michango Halafu Viongozi Wao Wanafanyia Starehe Na Kujineemesha. Amkeni CHADEMA Usingizini

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Miaka yote zaidi ya 30 wana CHADEMA wamekuwa wakikamuliwa Michango ya kila aina kwa kutumia vikauli mbiu tofauti tofauti ambavyo vimekuwa vikitolewa na kuletwa na viongozi wao pale wanapotaka kuwakamua Wanachama wao. Lakini wana CHADEMA wameshindwa kujiuliza ni wapi...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna wanaume nikiwaangalia kwa muonekano wao, najiuliza hivi huyu atapata mpenzi kweli?

    Nadhani hii sio mimi pekeangu, kuna jamaa ukimuangalia hadi unamuonea huruma, unajiuliza " hivi huyu atapata mpenzi kweli ?" . Ukweli wanawake wanahuruma sana , na kama isingekua hizi sifa za ziada kama hela/kazi, kunawanaume wengi wangekua na hali ngumu sana. vice versa Jamaa wengi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Aibu wameona wao, mabosi wanaochangia tone kwa tone wana imani kubwa sana na Heche, wamuomba Heche atoe account binafsi nje ya shughuli za chama

    Baada ya Heche kutengenezewa script na watu wanaodhani anawachelewesha "kulamba asali," wakaibuka na propaganda ya kumchafua wakidai kuwa anakula michango. Kilichotokea ni tofauti kabisa. Maboss wa Tone kwa Tone, ambao ndio wachangiaji wakuu, hawakutikiswa hata kidogo na hizo script. Badala...
  13. JamiiForums Tanzania Unakuta ni mtu mzima mwenye heshima zake ila hajui kuandika kwa ufasaha, wengi wao wanafanya kusudi AU ni kweli hawajui?

    Ukipitia maoni au hata mijadala ya watu mbalimbali humu jukwaani na hata kwenye mitandao mingine ya kijamii utagundua kuwa raia wengi hawana uwezo wa kuandika Kiswahili kwa ufasaha. Wengi wao unakuta wanafupisha fupisha maneno hali inayopelekea kutokueleweka kabisa kitu wanachokimaanisha, je ni...
  14. JamiiForums Tanzania Kesho, wachochezi, wafaddhili wao, na wafuata mkumbo wa maandamano haramu ya fujo na ghasia, wataishia kutukana na kuporomosha matusi tu mitandaoni

    Kwasababu hicho ndicho wanachoweza kufanya watu hao clueless, rudderless na planless, wanaotumwa na mabwenyenye ya magharibi kupitia vibaraka wao humu nchini. Na matusi hayo yatatokana na waTanzania kuwapuuza na kudinda kubebwa ufala wa kifikra na kukataa kudanganywa kilofa lofa tu, eti...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna Kila Dalili CHAUMMA Wameanza kumpuuza Thinktank Wao Waliyemrithi Toka kwa "Mwamba"

    Wamemshtukia kuwa hakuwa "thinktank" wa Chama bali wa yule mwamba mfanyabiashara. Jee wamefanya jambo la maana?
  16. E

    JamiiForums Tanzania Vijana watatu wabeba Sh100 milioni Vijana Uchumi Challenge, Serikali Yasisitiza Ushiriki wao katika Uchumi

    Serikali imeahidi kuendelea kuweka mazingira rafiki yatakayowawezesha vijana kushiriki kikamilifu katika shughuli za kiuchumi kupitia upatikanaji wa mitaji, zabuni za umma, mafunzo ya ujuzi na maboresho ya sera na sheria mbalimbali. Hayo yameelezwa leo Julai 5 jijini Dar es Salaam na Waziri Mkuu...
  17. JamiiForums Tanzania Wanasiasa waliopoteza uelekeo, wanadhani mihemko yao, matusi, uropokaji na uzushi wa wafuasi wao vinaweza kuleta mabadiliko ya kisiasa nchini.

    Je, Wamepotoka au kughafilika, na kwahivyo ni busara waungamishwe na kutubu mbele ya waTanzania? Unadhani mihemko yao, matusi yao, uropokaji wao, uongo wao na uzushi wao dhidi ya wenye mawazo au maoni tofauti na yao, vinawatambulisha kua ni watu wa aina gani Tanzania? Wanaweza kua wametumwa na...
  18. JamiiForums Tanzania Kwa kudinda kutibua minywele kama wengine, Godbless Lema anaweza kubanduliwa Chadema?

    Na kwamba, Godbless Lema ni msaliti kwa mambo ya chama kama vile kutibua minywele? Au kuna jambo jingine zito zaidi linataka kufunikwa na kufichwa na kwamba Lema ndio mfichuzi na amelishupalia sana? Je, suala la kutibua minywele linaweza kuzua kizaa zaa cha usaliti chadema,na watu kufukuzwa...
  19. JamiiForums Tanzania Hawa jamaa akili zao wanazijua wao wenyewe!

    Akili zingine huwa zinastaajabisha sana eti waje kushika madaraka ya nchi!? #Biashara ya vyama vya siasa inalipa sana ona afya zao na mali walizonazo,fananisha na wale wazungusha mikono wa piiipoo pawaaa....(Kuna wajanja na wajinga miongoni MWAO)
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…