wanyama

Victor Mugubi Wanyama (Kenyan English: [wɑˈɲɑːmɑ] (listen); born 25 June 1991) is a Kenyan professional footballer who plays as a defensive midfielder for Major League Soccer club CF Montréal and captains the Kenyan national team.Wanyama became the first ever Kenyan player to score in the UEFA Champions League when he scored the first goal in Celtic's 2–1 win over Barcelona on 7 November 2012. On 11 July 2013, Wanyama moved to Premier League club Southampton for £12.5 million making him the most expensive player sold by a Scottish club, surpassing the £9.5 million Russian club Spartak Moscow paid for Aiden McGeady in 2010.He has earned 60 caps for the Kenyan national team since making his international debut in May 2007 at the age of 15.

View More On Wikipedia.org
  1. Endapo baadhi ya mataifa yangekuwa ni wanyama wa porini

    USA kitabia angefanana na Simba na comodo dragon. Ni hatari, jasiri, anavamia, anaumiza na anaogopwa kama simba, pia ana tabia ya kuvamia na kukung'ata akuachie sumu na kukufuatilia mpaka udondoke kama comodo dragon. China kitabia namfananisha na Hyena. Fisi ni hatari, anavamia...
  2. Rwanda inaiba wanyama hai kutoka mbuga ya Virunga, Congo

    Duru zinatabanaisha Rwanda inaiba na kuwasafirisha wanyama hai kutoka mbuga ya wanyama ya Virunga nchini Congo na kuwapeleka/ kuwauza nchi za Uarabuni kwa mamilioni ya Dola. Ifahamike, kundi la waasi la M23 ndilo linaendesha shughuli zake za uasi ndani ya mbuga la Virunga huko Kivu ya Kaskazini...
  3. Kuna Wanyama wametajwa hapa sijui wanapatikana Nchi gani

    Mjombakaka, guruguru etc MAMBO YA WALAWI 11 Vyakula halali na haramu 1. BWANA akanena na Musa na Haruni, na kuwaambia, 2. Neneni na wana wa Israeli, mkiwaambia, Wanyama hawa ndio wanyama wenye uhai mtakaowala, katika hayawani wote walio juu ya nchi. 3. Kila mnyama mwenye kwato katika miguu...
  4. L

    Samaki wanaolishwa kwa chupa waonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China

    Septemba 12, Zhengzhou, samaki wanaolishwa kwa chupa wameonekana katika bustani ya wanyama mjini Zhengzhou China. Wafanyakazi waliweka chakula cha samaki kwenye "chupa za kuwalisha" kwa fimbo ndefu. Watalii wanapoweka chupa ndani ya maji, samaki wengi wanagombea chakula.
  5. J

    Natafuta kazi, Nimesomea Animal Health and Production

    Habari, naitwa Hamis, Nimehitimu mafunzo ngazi ya diploma kozi ya Animal Health and Production. Naomba mwenye nafasi ya kunitafutia mwenzenu kazi ya kujiitolea kwanza kwenye. Makampuni yanayo relate na Animals ntashukuru sana. Simu namba 0627544910. Location Bagamoyo Pwani
  6. Kurithi viasili kupitia maziwa ya wanyama

    Najaribu kufanya kautafiti; Kuhusu maziwa ya mama kwa mtoto. Inaonekana, katika unyonyeshaji, huwa kuna vitu hutoka kwa mama kwa njia ya maziwa, ambavyo mtoto anarithi kiubinadamu. Sasa najiuliza; tunapowapa watoto maziwa ya ng'ombe, mbuzi n.k ina maana watoto wetu, wanaenda kurithi viasili...
  7. Komodo dragon ndio mnyama hatari zaidi kuliko Black mamba (koboko), Simba, Mamba, Tiger na wanyama wengine wa aina hiyo

    Habari zenu wana JF wenzangu. Leo nimekuja na mada inayohusu mnyama hatari kuliko wanyama wote duniani anaitwa Komodo dragon. Mnyama huyu ana uwezo wa kuua wanyama wengine hatari kama vile 1) Tiger 2) Simba 3) Leopard, Cheetah (chui) 4) Mamba 5) King cobra, Black mamba nk. 6) Honey badger...
  8. SoC02 Mabadiliko ya fikra za Vijana katika kujishughulisha na kilimo

    Picha na farming Africa. UTANGULIZI Nchi nyingi katika dunia ya leo hasa zile zinazoendelea zikiwemo nchi za AfriKa hasa katika ukanda wa Sahara ikiwemo Tanzania watu wake hutegemea sana kilimo kama uti wa mgongo wa uchumi wao kutokana na ukweli kwamba watu wake wanakaa katika maeneo ya...
  9. SoC02 Kuenea kwa usugu wa vimelea na vimelea sugu vya magonjwa kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu kupitia matumizi ya mbolea za wanyama katika kilimo

    DIBAJI Katika dunia ya leo ambayo muingiliano wa shughuli za kilimo na maisha ya binadamu vinaongeza utegemeano ongezeko la magonjwa sugu linaongezeka siku hadi siku kutokana na hali kwamba , matumizi ya mbolea kutoka kwa wanyama na biandamu katika kilimo hususani kilimo hai yanaongezeka na...
  10. WHO yaonya ongezeko la Magonjwa ya Binadamu kutoka kwa wanyama barani Afrika

    Shirika la Afya Duniani, (WHO) limeonya kuwa Afrika inakabiliwa na hatari ya kuongezeka ya milipuko ya Magonjwa, ambayo huenea kutoka kwa Wanyama hadi kwa Binadamu kwa asilimia 60 kwa zaidi ya miaka 10 iliyopita Kesi nyingi zimehusisha Virusi vya Ebola, Magonjwa mengine ya Virusi ya Kuvuja...
  11. K

    Ni mbinu gani ingewafanya binadamu na wanyama wengine kujamiina endapo tendo la ndoa lisingekuwa na ladha iliyomo sasa?

    Kulingana na ukweli kuwa iko starehe katika kufanya tendo la ndoa na ni starehe hiyo huwafanya binadamu na viumbe wengine kukimbizana usiku & mchana kusaka mbususu Je ni mbinu gani angeitumia muumba kuwafanya binadamu & viumbe wengine kungonoka endapo kusingekuwa na starehe yoyote kama ilivyo sasa
  12. Tetesi: Kigogo aliyeruhusu wanyama kusafirishwa nje ya nchi ameshapigwa chini!

    Kongole Rais Samia! Kweli serikali yako ni sikivu kwa masuala ya kitaifa. Kuna tetesi zimeenea Wizara ya Maliasili na Utalii, kuwa kigogo (tuite ligogo) aliyerasimu na kutoa ruhusa kunyume na taratibu za wakuu wake , kutoa vibali kwa makampuni fulani fulani kusafirisha wanyama nje ya nchi...
  13. L

    Wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali

    Juni 19 mwaka 2022, halijoto ya juu ya siku hiyo ilikaribia nyuzijoto 40 mjini Ji’nan China, na wafanyakazi wa mbuga ya wanyama waliwasaidia wanyama kupunguza joto kwa njia mbalimbali.
  14. Baada ya Safina ya Nuhu kutua Mlima Ararat, wanyama walifikaje kwenye mabara mengine?

    Tafadhali kama una maelezo yasiyotia shaka tuelezee kuhusu wanyama kufika kwenye mabara mengine baada ya gharika kufikia mwisho wake. Kangaroo alifikaje Australia? Simba wa Serengeti alifikaje pale? Wale dubu wa America Kaskazini walifikaje? Ikumbukwe wanyama wote waliingizwa kwenye Safina...
  15. Tanzania ni yetu na wanyama na wamasai ni wetu, na wanakopelekwa ni kwetu pia

    Huwezi kuchanganya pamoja watu wanaoongeka idadi na wanyamapori wanaongezeka idadi kwenye eneo moja lisiloongezeka ukubwa milele. Kuendelea kufanya hivyo ni kuminya uhuru wa watu na wanyama hao. Kama ilikuwa sahihi miaka mingi iliyopita haiwezi kuwa sawa Sasa na hata kesho na kesho kutwa...
  16. COVID-19: Pfizer wasema " tulihamia kwa binadamu na kuacha kufanyia majaribia ya chanjo kwa wanyama kwa sababu waliendelea kufa."

    Maneno hayo yamesemwa ndani ya kikao cha baraza la senate nchini marekani na mwakilishi wa Maabara ya Pfizer akielezea changamoto wanazokutana nazo. Inasemekana kwa sasa kumeanza kuibuka visa mbalimbali vitokanavyo na maudhi ya chanjo kwa wengi waliopatiwa chanjo hizo hapo awali...
  17. Je, unajua kuwa Tanzania wanyama pori wana thamani kubwa kuliko wananchi?

    Habari! Hii siijui niitaje kwa lugha ya kawaida isiyoumiza. Ila facts zitabaki kuwa facts. Tembo , twigs, digidigi , paa n.k wamepewa thamani halisi. Ukiwagonga kwa bahati mbaya utalipishwa kwa thamani yao halisi. Tembo thamani yake iko kama 35 milioni za kitanzania. Huyo tembo akitoroka...
  18. Nani aliyetudangaya mbuga na hifadhi za wanyama ni mali yetu?

    Wasalaam wana JF Katika wiki hizi mbili naona malumbano mengi kuhusu hifadhi na mbuga za wanyama na wanyama wenyewe kama vile ni mali ambayo in exclusively kwaajili ya Watanzania. Naomba niwajulishe kwamba hivyo vyote ni urithi wa dunia. Sisi kama Watanzania tumebahatika tu kuwa jirani na huo...
  19. Tuwe makini, hakuna nchi ambayo haikuwa na wanyama pori wake kama sisi

    Utalii wowote ambao unahusisha kuhamisha wanyama wetu kutokoka Tanzania kwenda nchi nyingine yoyote tuukatae wote bila kujali kabila, dini, jinsia wala elimu ya mtu. hata tukipewa bei gani. Hakuna nchi ambayo haijawahi kuwa na wanyama wake lakini tabia na maendeleo yao ndiyo yaliyosababisha...
  20. Oman: Rais Samia ataka kuwepo Maritime transport ya kusafirishia Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman

    Salaam Wakuu, Rais Samia katika Kongamano la Wafanyabiashara wa Oman na Tanzania, amesema kuna umuhimu Mkubwa wa kuangalia Usafiri wa Majini akimanisha Meli yenye Uwezo wa kusafirisha Wanyama wakiwa hai kutoka Tanzania kwenda Oman. Watu hapa wasifikilie Wanyama Pori tu, Bali ni Habari njema...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…