wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie kijana wangu asiwe muhuni kama mimi, hatojenga

    Jana shule zimefunguliwa dogo uniform hazimtoshi, mekua guafla anazidi kurefuka mno. Likizo hii vibinti vya umri wake vilikuwa havikatiki nyumbani, tubinti tuzuri kweli, siku hizi inakuwaje wanawake wabaya wanazaa mabinti wazuri kweli? Mimi sio handsome ila yule mtoto wa mama mkwe alinizalia...
  2. JamiiForums Tanzania Huu mwaka wangu, nagawa bundle-Ladies only

    Ni kweli nachukia sana wanawake wapiga mizinga. Ila sometimes ukiamka vizuri unafanya kweli unayamwagilia maji haya maua ya dunia. Sio kwamba wana njaa au hawana hela ya bundle, NO ni kushea furaha tu uliyonayo. Kwa hiyo leo nimeamua tu. Nitagawa bundle la internet kwa kila mtoto wa kike huko...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Habari Wana Jf niende moja kwa moja kwenye point, ni kwamba Mimi na mke wangu tulifunga ndoa miaka sita iliyopita na wakati huo tulikutana mkoani Ruvuma yeye akiwa mwajiriwa wa kampuni flani na Mimi wakati huo nilikuwa nafanya kazi na shirika flani. Baada ya mahusiano kama ya Mwaka mmoja...
  4. JamiiForums Tanzania Mke wangu anataka tuweke pochi mezani kila mwisho wa mwezi.

    Wakulungwa! Hii Ndio itakuwa Salam yangu rasmi. Wakulungwa!!!... Wakulu. Mimi Nina familia imebarikiwa niseme ukweli wa wazi. Na mabarikio yanatokana na kujituma na kutii wakubwa na wadogo. Kimsingi hata mtoto wangu wa miaka 2 namheshim na nikimkosea au ninapohisi amekosewa nikiwa around. Na...
  5. JamiiForums Tanzania Startimes mmenigombanisha na mke wangu

    Ni kawaida yangu kurudi nyumbani kuanzia saa 3:30 usiku, ila leo nimelazimika kuwahi kurudi nyumbani (saa 1:00 jioni) kutokana na sababu zangu binafasi. Kwakweli ni siku nyingi sijaangalia taarifa ya habari, hivyo ilipofika saa 2 usiku kwakuwa nimewahi kurudi nyumbani na sijagusa ulabu...
  6. JamiiForums Tanzania Uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu Mpya wa TISS, Said H. Masoro, na Mtazamo wangu

    Pengine huu ni mwanzo mpya wa mageuzi ya Idara ya Usalama wa Taifa. Mabadiliko haya ya uongozi yana maana kubwa sana kwa Idara yetu, ni matumaini yangu kwamba mabadiliko yatakwenda mbali zaidi kuguza muundo wa idara, mfumo wa idara, sheria na kanuni za idara ili kuendana na ulimwengu mpya wa...
  7. JamiiForums Tanzania Uzuri wa mwandani wangu unanifanya niishi roho juu

    Mwandani wangu ni wale ambao hawezi pita ukamuangalia mara moja, lazima ugeuke tena. Not only outside, hata kitabia na akili ni exceptional. Kutoka na hilo amekua akipata usumbufu sana kitu kinachoniweka roho juu, ingawa yeye ananihakikishia kua yuko matured enough and aware. Natibu vipi hii...
  8. JamiiForums Tanzania Heri ya Mwaka Mpya wapenzi wangu hapa JF, nawapenda sana

    Sina maneno mengi. Mapenz yangu kwenu ni ya kutoka moyoni mwangu. Mwaka huu 2023 na ukawe faraja kwenu. Pale kwenye tumaini na Mungu aweke tumaini pale penye Nia Mungu akaihuishe iwe na itendeke.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Kuweka kumbukumbu sawa kuhusu kutokumjali mke wangu na kumsababishia kuchepuka

    Kabla sijaanza, tafadhali nawaomba sana moderators msiuhamishie huu uzi kwenye ule uzi wa member anaechepuka na mke wangu, nawaomba sana kwani nataka kuweka kumbukumbu sawa kwa watu wote humu. Kuna member humu ndani ameanzisha uzi juu ya kuchepuka na mke wa mtu, na pia akatoa ushauri kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimegundua kuna member humu anatembea na mke wangu, nitakachomfanya tusilaumiane

    Nimegundua kuna member humu ndani anatembea na mke wangu kutokana na uzi aliouandika humu. Uzi wenyewe ni huu Nimejikuta nina mahusiano na mke wa mtu ila kuna kitu nimejifunza na wengine itawafunza Member alieandika huu uzi anatembea na mke wangu, na mke wangu amemdanganya vitu vingi sana...
  11. JamiiForums Tanzania Barua ya majibu kwa Wazazi Wangu

    Kambi ya Fisi Mimi sijambo. Shikamooni. Huku Dar joto tu baba na mama. Mambo mengi muda mchache.nashukuru kama mnaniombea ni jambo jema.Nami nawaombea pia. Huku mjini baba siyo kama huko Kiparang'anda.eti umpate mchumba asikujaribu na wewe umsimjaribu. Mbona unatalia kilio cha mbwa mdomo juu...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba ule Wimbo wa Zablon Singers wa Umetutoa mbali uwaendee waliochukizwa na Ushindi wangu

    Naomba mkiwa mnausikiliza huku mkiwa mmenuna mjipige Makofi Makali.ya Usoni mjiongezee Maumivu sawa?
  13. JamiiForums Tanzania Mikakati hii ya kimafia ikifanyika Simba SC itakuwa Bingwa, wasiwasi wangu uko kwa Uongozi wenye kusalitiana

    Kikiundwa tu Kikosi Kazi cha Umafia (Michezo Michafu) ya Soka la Tanzania (Bongo) kisha Kikaaminiwa, kukawa na Usiri nina uhakika Simba SC ikizicheza Mechi Nne tu za Yanga SC ile ya Mtibwa Sugar FC, ya KMC FC, ya Namungo FC, ya Mbeya City na yetu ya Sisi na Wao huku Simba SC tukikubaliana...
  14. JamiiForums Tanzania Namna mshikaji wangu anavyoishi ukweni kwa furaha na amani tele

    Sio mpenzi wa jf na hafagilii mitandao mitandao hii so hakuna noma. Mwamba huyu alikutana na demu wa kishua yaan kishua haswa, mwana ni un employee kwa sasa, kama ujuavyo mjini maisha ni gharama na mapenzi ni gharama haswa, sasa hakujua kama huyu binti ni wakishua yaan mama baba tajiri ni zali...
  15. JamiiForums Tanzania Tangu nipatwe na Matatizo kazini, mke wangu amebadilika tabia

    Habari za jioni wanajukwaa wa MMU, ikiwa mmetoka katika mihangaiko akili na mwili vimechoka nawaletea jambo jingine hili tupate kulijadili. Mimi na mke wangu ni waajiliwa yeye ni mtumishi wa umma na mimi ni mtumishi wa sekta binafsi, ndoa yetu ina miaka mitatu sasa na tuna mtoto mmoja (asante...
  16. JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote naweza kuifanya ili mtoto wangu awe raia wa Zanzibar ili nimpunguzie mzigo wa uraia wa bara?

    Kila mzazi ana jukumu la kumpunguzia hali ya kusota mtoto wake kwa kumuandalia mazingira wezeshi, nami nataka niende extra mile ya kujaribu apate uraia wa Zanzibar. Kwa ninachokiona ni wazi kabisa uraia wa Zanzibar ukiulinganisha na huu wetu kama maji na mafuta, kuna privelledges katika uraia...
  17. JamiiForums Tanzania Ushauri wangu kwa wanaotaka Kumiliki nyumba za kuishi mwaka 2023

    Imekuwa ni ndoto ya wengi kumiliki nyumba ya kuishi hasa kwetu sisi watanzania. Ndoto hii inaweza kutokana na sababu mbalimbali. Kwenye kipengele hiki cha kumiliki nyumba ya kuishi nimekuandalia somo ambalo nimeona litakusaidia sana sana kuhusu nyumba ya kuishi. Ninafahamu kuwa ushauri huu sio...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Nataka mshahara wangu wote wa Disemba niutumie kwenye likizo hii

    Nafanya kazi vijijin uko ndanindani somewhere in Tanzania, kwakweli ni sehemu ambayo hamna cha kuenjoy zaidi ya filamu na mpira tu nikitoka kazini. Nafikiria likizo hii ya siku 10 ya mwisho wa mwaka niende mjini nikaenjoy tu. Mnanishaurije wadau au nisevu tu ela yangu nibaki mageton kijijin...
  19. JamiiForums Tanzania Kitambi kimeharibu muonekano wangu, wadada hawanitaki tena

    Mimi ni handsome sana, mitaani kote wananisifu. Hata wanawake wananiambiaga. Lakini hawaachi kunikosoa tumbo langu hadi nimeanza kujichukia. Kwa kweli nakosa sana raha, namtongoza msichana ananiambia na huo mtumbo wako kama umemeza kifaru cha jeshi ntakupeleka wapi mimi? Six pack sio kwamba...
  20. JamiiForums Tanzania Hii kitu naomba mnieleweshe

    Kitabu Cha Waefeso 5:31 BHN “Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.” Sasa inakuwaje mwanaume ananiletea ndugu zake Tena inakuwaje kakiuka maandiko . Mnavyoooa mmeoa mje mkajenge familia yenu na mzae nampate watoto. Ila...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…