wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Maoni Yangu Kwenye Tume ya Haki Jinai Juu ya Takukuru

    Maoni yangu kwenye tume ya haki jinai juu ya Takukuru Tumekuwa tukishuhudia ziara za Viongozi wakubwa, mawaziri au wakuu wa mikoa wakiibua madudu ktk miradi ya serikali na kuagiza Takukuru wafanye uchunguzi!! Swali langu : Hivi kwanini Takukuru hawafanyi kuchunguza jambo mpk wapewe maagizo ...
  2. JamiiForums Tanzania Namuacha mpenzi wangu kisa DP WORLD

    Habari waungwana! Baada ya familia kunikomalia nioe nikaona nianze msako ,dada yangu mmoja ni lecturer akanilengeshea kwa ka mwalimu ka sekondali (jina kapuni) Basi baada ya kutumiwa picha akaomba tuonane . Vigezo alivonivutia 1.Mwanadada ni muwazi kupitiliza sijui umuulize nini ajibu uongo...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Mungu anapokupa jaribu anakuacha upambane nalo au anakuletea na usaidizi wake? Mjamzito anataka msaada wangu, hatujawahi kuwa na mahusiano

    Nina miezi sita sina ajira wala kazi na hali yangu ya uchumi ni mbaya mno, sina hata pa kuhemea. Juzi nimekutana na mdogo wa rafiki yangu, tuliishi wote huko Arusha, dada ni mjamzito anasema amefukuzwa na bwanake, na bwanake karudisha na nyumba waliyokuwa wakiishi. Nimemwambia urudi kijijini...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la Bandari ya Dar es Salaam na uwekezaji wa DP World huu ndiyo mtazamo wangu

    Kwa muda mrefu kumekuwa na mawazo mbalimbali kuhusu DP World kuwekeza ktk bandari ya Salama. Mimi binafsi Kuna vitu kadhaa nimevibaini ktk mjadala huu. 1) Wanaopinga ni km hawajui wanapinga nini na wanaounga mkono hawajui wanaounga nini. 2) Kitu kingine ni bendera fuata upepo. Baadhi ya...
  5. JamiiForums Tanzania Wosia Wangu Kwako

    Mwanangu Yatazame tu maisha hivi hivi ila asikuambie mtu; Hapa duniani hukuomba uletwe,Ulijikuta tu huko hapa umeunga mstari so inabidi uendelee ila asikuambie mtu maisha yatazame tu.Ila wacha nikwambie ukweli mdogo niliojifunza kuhusu Maisha.Huenda ukakusaidia Kuhusu Siku na Wakati Kila siku...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya kimya kingi nami nitie neno DP World, Mtazamo wangu ni Tofauti kidogo

    Habari za siku nyingi, nimekuwa kimya kidogo tokea sakata la bandari limeanza. Uwekezaji ni mzuri sana, hasa unapofuata misingi sahihi. Hasa kwa bandari zetu, hizi zinataka mapinduzi makubwa sana kutoa au kuondoa ukiritimba uliopo. Hivyo siwezi kupingana na aliyeleta hoja ya kuwakaribisha...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia, 'Tanzania Mainland' ni nchi gani?

    Leo wakati Rais Samia akitoa hotuba katika hafla ya utiaji saini mikataba mitatu ya kusaidia bajeti kuu ya Serikali kutoka umoja wa Ulaya wakati wa kutambulisha mawaziri wake amewaita mawaziri wa Tanzania bara, nauliza kuna mawaziri wa Tanzania bara? Kuna Serikali ngapi ndani ya nchi hii? Na...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu mpendwa nchi hii imekuwa ya migomo? Mbona wakati wa Magufuli hatukuona hata kikundi kimoja kikijaribu hata kuwaza kugoma? Why now?

    Mpendwa rais wangu Dr. Samia Suluhu Hassan kumekuwa na maandamano hapo yakifanywa na vikundi mbalimbali, yalianzia mkoani Dar Es Salaam wakati wafanyabiashara wa Kariakoo walivyogoma, yakaenda Iringa wafanyabiashara vilevile, yakahamia Mwanza wafanyabiashara wa baa, leo yako Arusha...
  9. JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na Sms za mpenzi wangu ambae nilitegemea awe mke wangu. Inavyoonekana atakuwa anajihusisha na madawa ya kulevya

    Mtu ambae niko nae kwenye mahusiano kwa zaidi ya miaka 4, nikiwa na mipango ya kuoana nae. Leo nimejikuta nashindwa kumuelewa, Hapa chini ni baadhi ya text nilizochati nae kabla ya kumpigia simu kujiridhisha ni yeye kweli Tukaendelea Baada ya hizi text nikaona isiwe tabu nikampigia simu, the...
  10. JamiiForums Tanzania Nashukuru baada ya mke wangu kuondoka, pesa inaonekana mfukoni

    Kwakweli nina furaha kubwa sana isiyofaa kuelezea. Kabla ya kuoa maisha yangu yalikuwa mazuri sana pesa inaonekana mfukoni. Baada ya kuoa mambo yakabadilika sana mke akaja pesa zangu zikaanza kupukutika kwasababu ya matumizi, hali ile ikanitesa sana nikaona umasikini huu umeshaingia kwangu...
  11. JamiiForums Tanzania Simuelewi mke wangu: Anaweka nywele zake kwenye pochi anayohifadhia pesa

    Mke wangu anachukua nywele zake anaweka kwenye pochi ambayo huwa anahifadhia pesa. Nikimuuliza, anadai kuwa zile nywele anazonyoa/akichana zikikatika hapendi kutupa kwenye dustbin, ndio maana anazihifadhi kwenye hiyo pochi yake na baadae huzitupa. Hii ina maana gani kitaalamu, hamna mchezo...
  12. JamiiForums Tanzania Sina tatizo la hawa Wanafunzi 1,907 Waliozaa Kurejeshwa Mashule ila wasiwasi wangu mkubwa uko hapa...

    Je, wamejengwa vyema Kisaikolojia ili wakirejea huko Mashuleni wasijisikie vibaya na kuhisi Kunyanyapaliwa? Je, Wanafunzi wa Kike ambao wanaenda Kukutana na hawa Wenzao walioanza Ngono wakiwa bado Wanasoma na hadi Kuzalishwa nao wameshajengwa Kisaikolojia ili Wenzao wakirejea huko Mashuleni nao...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ushauri wangu kwenye kodi ya magari

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, Mwigulu Nchemba, Naomba kutoa ushauri wangu kwenye ushuru wa magari. Nimeona ushuru wa magari unazidi kuongezeka, Mhe Rais/Waziri wa fedha dunia inabadilika kwa haraka sana, Magari ya kutumia umeme EV yanakuja kwa haraka sana na ni jambo lisilozuilika kwa...
  14. JamiiForums Tanzania Dereva wangu wa Bolt kageuza gari yangu danguro

    Wakuu hii haki kweli? Nimemuajiri kijana wa miaka 24 kama dereva wa gari yangu inayotoa huduma ya usafiri chini ya kampuni ya Bolt imepita miezi nane tangu nimkabizi. Nilimpa maelekezo kuwa afunge kazi saa tano kamili usiku na baada ya hapo alete gari nyumbani. Alifuata maelekezo yangu lakini...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Ex wangu ndiye mtu wa kwanza kunitakia heri katika siku yangu kuzaliwa huko Facebook. Hii tunaiitaje??

    Akiiona mwenzi wake wa sasa? Au hampendi? Akiiona mchumba wangu? Au ananiharibia? Hiii imekaaje na tunaiitaje?
  16. W

    JamiiForums Tanzania Kuna namna ya kumuombea dua marehemu Eid hii ya Kuchinja?

    Wandugu nilikuwa nauliza, kuhusu mpendwa wangu ambaye ni marehemu, je, nitaweza mrehemu vipi kupitia hii Eid ya kuchinja? Yeye ni Musilamu na mimi sielewi chochote kuhusu hilo suala, hivyo ninaomba muongozo, kuna mnamna ya kusoma dua kwa kipindi hiki cha Eid ya kuchinja? Je, umuhimu wake ni upi...
  17. JamiiForums Tanzania Utabiri wangu kuhusu Rais Samia kabla ya 2030

    Salamu, huu ndio utabiri wangu kumhusu mama kabla ya 2030. Haya yote anayoyafanya ni calculated issues. Haya Mambo yanaenda kwa mpangilio ufuatao 1) 2025 Rais Samia atashinda Mama atashinda uchaguzi wa 2025. Atashinda uchaguzi kwa sababu hakutakua na katiba mpya wala tume huru ya uchaguzi...
  18. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Mwanamke wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa

    Wadau kuna demu wangu ameniomba nimsomeshe kwao wamekwama kipesa naomba ushauli wenu fafadhali
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili

    Nimezaa na mwanamke fulani hatukubahatika kuoana akapata bwana mwingine ambae pia wamezaa kabla nilikua namuona mtoto wangu nitakavyo lakini baada ya ndoa alibadilika nkitaka kumuona mtoto anatoa dharura nyingi Ilibidi niwe nawasiliana na mumewe mshua hakua na shida lakini kila nikipanga ratiba...
  20. JamiiForums Tanzania Nimeachana na mpenzi wangu leo

    Hawa wanawake wapenda pesa wewe achana naye tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…