wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    "Tumeondokewa na wapendwa wetu"; hivi unawezaje kutoa amri ya kuua mtu halafu akishauawa useme nimeondokewa na mpendwa wangu?

    Kuna kauli nyingine ni wana siasa tu wanaweza kuzitoa. Lakini pia niliisikia kwa mume fulani aliua mke kisiri akawa anasema nimeondokewa na mpendwa wangu, baadae akajulikana yeye ndio aliua. Jaribu kutafakari. Unafanya premeditated murder (uuaji uliokusudiwa) kwa kutoa amri kwamba hawa watu...
  2. Baada ya NRNE chini ya Lissu na maridhiano chini Mbowe kufeli huu ndio ushauri wangu kwa Chadema

    Ni ukweli usiopingika kuwa hizo mbinu zote mbili zilizotumika katika vipindi tofauti katika uongozi wa mwenyekiti Mbowe na Lissu zote zimeangukia pua baada ya kushindwa na mbinu za ccm za miaka yote. Hadi sasa madai yote ya chadema hakuna hata moja lililotekelezwa hasa Yale yanayohusu uchaguzi...
  3. M

    Siku mpenzi wangu aliponiambia nyumba ile kuna binti anakupenda sana,lakini ilikuwa na mabinti wengi sikumjua ni yupi

    Hii ni stori ya kweli kabisa ilikuwa miaka ya 2010 kipindi hicho ningali bado kijana nilikuwa na mpenzi wangu mmoja nilikuwa nampenda sana lakini alikuwa msumbufu hajatulia Basi kuna nyumba moja ilikuwa na mabinti warembo wengi tulikuwa tunatizamana yaani ilikuwa n'gambo ya pili si unajua...
  4. Mwanamke wangu hanitaki

    habari zenu wakuu...aisee Mimi napitia wakati mgumu sana nilikuwa Nina mpenzi wangu tumezaa naye mtoto mmoja na kwao tayari nilishajitambulisha japo Bado sijatimiza sharti la mahari. Ni hivi huyo ndiye mwanamke wangu wa kwanza kuwa naye serious kwenye mahusiano katika maisha yangu na Mimi...
  5. RIwaya: Elise Wangu Kutoka Belgium

    Mwandishi: Murrah. Inapopatikana: Kahawa Time application ya simulizi inapatikana playstore kwa watumiaji wa android na app store kwa watumiaji wote wa (Iphone) Hii Hadithi imekamilika tayari katika application ya kahawa time.. kwa wale wanaopenda simulizi moto moto hii na nyingine zaidi kama...
  6. Nafanyaje kumsaidia mdogo wangu kukabiliana na mabadiliko ya ukuaji wake kimwili?

    Wakuu! Nisaidieni mimi ni Dada mtu Nina mdogo wangu alienifuata jinsia (kiume) umri (16) anakabiliwa na madadiliko ya ukuaji kimwili, miongoni mwa mabadiliko hayo ni pamoja na kubadilika kwa sauti yake. Siku za hivi karibuni sauti yake imekua kubwa sana na nzito, hali inawafanya marafiki na...
  7. Ujumbe wangu niliopewa na Mungu kuhusu balozi polepole

    Sio kawaida kwangu Jambo moja kuliota Mara nyingi kiasi hiki mara nyingi nimeota balozi polepole yupo hai kitu kilichonifanya kupandisha uzi ni kuwa sauti ya Mungu imenitumia Mimi kuwafikishia ujumbe wenye nguvu kwa sasa Mungu amenituma nifikishe ujumbe kwenu kuwa mumuachie huru balozi...
  8. H

    Mtazamo Wangu Juu ya Kupunguza Tatizo la Ukosefu wa Maji Jijini Dar es Salaam

    ✅ 1. Uboreshaji wa Miundombinu ya Maji Mabomba mengi ni ya zamani na yanavuja, hali inayosababisha upotevu mkubwa wa maji. Serikali na DAWASA wanapaswa kukarabati miundombinu hiyo na kupanua mtandao wa maji hadi maeneo ya pembezoni kama Chanika, Mbagala, Bunju, n.k. Pia, ujenzi wa matanki ya...
  9. PostGE2025 Kama hamnipendi kwa sababu ya dini, si mniache nimalize mda wangu

    Hii ni moja ya kauli za Samia, na wapo wanaomuunga mkono. Lakini kama juhudi zako hizo za uchawa, je, unajua impact ya miaka tano? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano utakuwa na umri gani? Umewahi kufikiria kwamba baada ya miaka mitano bila uhuru, chini ya utawala wenye sanctions...
  10. Paroko wangu wa KANISA la Karanga umenikosea Leo ibadani, Mimi sikuwa tayari kuwaombea wanahabari na viongozi wa serikali

    Baba paroko Tumsifu Yessu Kristo! Paroko wangu wa KANISA KATOLIKI karanga hapa Moshi vijijini Leo umenikosea ulipo niambia niwaombee viongozi wa serikali Ili watimize wajibu wao wa kutenda haki Pili umenilazimisha kuwaombea wanahabari Hawa washenzi wasio jua walifanyaro Hawa vikaragosi wa...
  11. Sababu za kuwapinga Hamas japokuwa Mimi Muislamu na wanaonewa ndio hizohizo ninazotumia kupinga Maandamano pamoja na utanzania wangu.

    Moja kwa moja. Baada ya tukio la October 7 Hamas kushambulia Israel nilikuwa kinyume na Waislamu wengi wa Jf katika mijadala ya humu tokea siku ya kwanza , na supporters wa Hamas walinipinga wakidai. 1. WaPalestina wanaonewa kila siku kwa miaka mingi tena kwa dhuluma hivyo lazima wapambane...
  12. Mdogo wangu (Family friend), kanipa penzi najiona nimekolea

    Huku Mbeya tuna family friend ambaye ni kama ndugu, huyu mzee namfahamu kama bamkubwa toka 2008, huyu mzee watoto wake wote wamepiga shule za nje ya nchi na waliosoma hapa bas ni shule nzuri ni mkali sana kwa watoto wake. Kuna kipindi niliishi sana kwake zaidi ya miezi 6, kwa kipindi hiko...
  13. PostGE2025 Death line and life line on 29 October ukumbusho wangu ni huu

    Kama Sio Mungu na akili za kusurvive basi nisingekuwapo Nyumba yetu imetawaliwa na matobo ya risasi, kibaraza watu walichokuwa wanaketi watu ilibaki kidgo wamwagwe utumbo. Nilikuwa mlangoni getini majirani walikuwa nje wameketi wala hawakuwa na nia ovu , nageuza shingo naona umbali wa mita 60...
  14. Guys Neema si mke wangu guys

    Guys Neema hajawahi na si mke wangu guys. Esta luxury tumepoteza mabasi Zaid ya 100 guys. Nampenda Oliver Twiga guys. Analowesha godoro guys.
  15. N

    PostGE2025 Tatizo la Mtandao Tanzania kipindi cha Uchaguzi: Uchambuzi wangu wa kitaalamu na ushauri ili kukabiliana na janga hili

    Tanzania ilipitia kipindi ambapo internet haikuweza kufunguka vizuri, jambo lililochangia kuchanganyikiwa kwa watumiaji wengi. Utafiti na uchambuzi wangu wa kitaalamu kabla na baada ya kufungwa na kurudishwa kwa mtandao nimebaini kwamba tatizo halikuhusiana na kuzimwa kabisa kwa mtandao, bali...
  16. Ushauri wangu kwa Rais Samia

    Bibi yangu Huku Mtaani Kuna hasira inafuka sijawai kusikia wala kuona. Siku hiyo ya 9 December sidhani kama kuna polisi, jeshi au nguvu yoyote itaweza kuzima hasira walizonazo watu wa mtaani huku. Swali inabidi kujiuliza siyo je watatoka? Swali ni je itakuwa mbaya kiasi gani? Itakuwa...
  17. L

    Mimi ni Mkristu lakini Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam

    Tumsifu Yesu Kristu, Mimi ni Mkristu wa madhehebu ya Kikatoliki,nasema hivi kwa namna yoyote Ile Sintainua mkono wangu Kumpiga muislam na wala sikubaliani na Mkristu yoyote Kumpiga muislam. Hata nikiona Mkristu anampiga Muislam nitafanya Kila niwezalo kumzuia asimpige. Toka nikiwa mtoto...
  18. Tangu tarehe 29 Oktoba, najihisi Mtanganyika na kuchukia Utanzania wangu

    Kama kichwa cha habari kilivyo, kuanzia tarehe tajwa, najihisi Mtanganyika. Napanga kuuzika utanzania wangu. Je Watanganyika wenzangu mnapitia ninachopitia?
  19. PostGE2025 Tetesi zinadai kua Makaburi ya Pamoja yalichimbwa katika Kambi za Jeshi , Miili mingine iliteketekezwa Kwa Matunuri ya moto Viwandani!!

    Kila kitu kitakufa Wazi. Jambo pekee nalowahakikishia Watanzania wenzangu !. Alichokifanya Samia na Genge lake, Hukumu yake haitaishia Kwao tu, Bali Kwa VIZAZI vyao yaan Ikijijua ni mtoto, mjukuu ,kituuu wa Hili Genge, wewe jihesabie Hukumu yako. Haw wasengee wameua sana
  20. UPDATE : Hatimaye mambo yamekaa vizuri kwa upande wangu na binti

    Kama ulifatilia, niliwahi kupost kuhusu mpenzi wangu kupelekwa na wazazi wake kwenye mafunzo ya Depo Polisi mkoani Kilimanjaro Thread yenyewe ni hii: Mchumba wangu ameenda CCP Moshi Leo nataka niwape update ya kile kilichotokea. Mpenzi wangu alienda Depo wakati mimi nikiwa nina stress sana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…