wangu

Wangũ wa Makeri (c. 1856–1915 or 1936) was a Kikuyu tribal chief, known as a headman, during the British Colonial period in Kenya. She was the only female Kikuyu headman during the period, who later resigned following a scandal in which she engaged in a Kibata dance.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimegundua mke wangu ni mtumiaji wa JF

    Wife nishakujua ila endelea kuwapiga pini wanaokuja DMs
  2. JamiiForums Tanzania Nahisi mzazi wangu anafanya ushirikina

    Wakuu habari. Nipo mzazi wangu , nahisi anafanya ushirikina . Maana sifa za MTU mchawi hizi hapa -hapendi mafanikio yako -ukimwambia jambo lako halifanikiwi hata iweje -Ana chuki , anamchukia kila mtu -Hana Shukran Ila kubwa kuliko yote anamchukia Sana mzee wangu baba Hii hali...
  3. JamiiForums Tanzania Ushauri: Mchumba wangu anataka kunipeleka kwa Mchungaji wake kabla

    Mwaka huu tuna mpango wa kufungw ndoa na huyu mpenzi wangu na tulikubaliana nitume mshenga apeleke posa kwao, Sasa naona amekuja na hoja kwamba kabla ya yote anipeleke kwa Mchugaji wake wa miaka mingi na ana muhamini sana huyu mchugaji wake kwa maono ya mambo ya Nyuma ya pazia, je ni sahii...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada ndugu zangu demu wangu kaondoka na nguo zangu za ndani tu?

    Habari Nimetoka chuo mda huu nimefika geto, nina kawaida ya kwenda kuoga kwanza. Nimetoka kuoga naona Nguo zangu za ndani zote hazipo nampigia demu simu kaniblock nipo confusion msaada
  5. JamiiForums Tanzania Nahisi nilikuwa naanza kuchanganyikiwa

    Habari za wakati huu ndugu zangu poleni na mfungo wa Ramadhani ndugu zangu waislamu na wakristo poleni na mfungo wa Kwaresma. Kama kawaida yetu hapa jukwaani ni kushea mawili matatu uliyonayo kama kuna ushauri upatiwe au kujufunza watu wajifunze. Sasa ndugu zangu mimi kipindi nipo single...
  6. JamiiForums Tanzania Nauza Kiwanja: Ubungo Kibamba Shule

    wazee na Vijana wa JF Nauza kiwanja kiko Kibamba shule 👉 Ibwegere size mita 20 kwa 20 Kutoka kibamba shule hadi Site ni 1,500 Tsh kwa Boda Bei elekezi 4,000,000 Tsh Simu ziite 0744-033-555
  7. JamiiForums Tanzania Shukurani kwa hili jukwaa limenifanya leo hii naanza kuheshimika kwa watu wangu wa karibu

    Kwanza natanguliza shukurani za dhati kwa hili JUKWAA la tenda na ajira na members na dhumuni langu kuhusu huu uzi nikutoa shukurani Nilijiunga na jukwaa hili mwaka 2021 baada ya kuona baadhi ya post za jamii forum katika mitandao ya kijamii pamoja na heka heka za mmiliki wa hii forum katika...
  8. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu mjamzito ila nimeambiwa kundi lake la damu haliendani na langu

    Habari waungwana, poleni kwa mizunguuko ya hapa na pale. Katika pita pita zangu kuna binti nimekutana nae kwenye mahusiano kiufupi nilitokea kumuelewa nikaanzisha nae mahusiano yapata miezi kadhaa. Basi kutokana na kukutana nae mara kadhaa nikawa nimempa ujauzito ila kizaa zaa kimeanza...
  9. JamiiForums Tanzania Je, Nimwinde Wapi Mpenzi Wangu? Mwisho wa Kutembeza CV Barabarani!

    Wadau wa Jamiiforums, Habari Zenu? Natumai mpo fresh na maisha hayajakubana sana kama viatu vya ndugu yangu Juma vilivyojaa viraka. Leo nimekuja na kero kubwa inayowasumbua wengi, hasa mabachelor wa mtaani kutafuta mpenzi! Yaani, kila siku unakutana na dada mmoja barabarani, unajifanya kama...
  10. JamiiForums Tanzania Masikitiko ya Kumpoteza Msanii wangu wa Rap, Jose Mtambo

    https://youtu.be/Ex94EQQL8Ro?si=vNFvoKjRVolsifCm Nina Masikitiko makubwa ya kumpoteza msaani wangu mkali Jose Mtambo kwa sababu ya pombe na madawa. Huyu ni msaani wangu wa pili baada ya kumpoteza Chid Benz.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda sana kujipiga picha na kujipost matandaoni, nimeongea mpaka nimechoka lakini habadiliki

    Sijui kama wake zenu wana tabia kama ya mke wangu. Yaani huyu bibie kila tukio analohudhuria lazima alipost kwenye WhatsApp, Instagram, au Facebook. Pia, anapenda kujipiga picha na kujipost mitandaoni. Nimemuonya sana kuhusu hii tabia ya kujianika mitandaoni, lakini naona habadiliki...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Music production

    Natafuta mtu wa kufundisha mdogo wangu music production Dodoma aniachie namba
  13. R

    JamiiForums Tanzania Uchunguzi wangu: Matumizi ya fedha za Umma

    After a long time of usage and public checkability! I have noted that: 1. Rais anaweza kutumia kiasi chochote cha fedha za Umma as long as zinamwelekeo wa kumpigia kampeni za uchaguzi 2025. Na "wahuni" wameshamsoma, ndiyo maana wasanii by 99,99999% wako upande wake kwa vile watachota pesa za...
  14. JamiiForums Tanzania Ni mwezi wa pili sasa tumenuniana mi na mke wangu

    Ndoa Ndoano Ni mke wangu wa ndoa na tuna watoto copy yangu kabisa Kutokana na migogoro ya hapa na pale tulitengana ila tulikua tunawasiliana kujua hali za watoto Mara zote mimi ndo nilikua napiga simu kujua hali zao Sasa kuna tukio alifanya ambalo lilinikata mood kabisa ya kuendelea kumpigia...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kila nkifanya ubunifu mshindani wangu anaiga ,wote tuko na aina moja ya biashara vinywaji na vyakula

    Habar wakuu leteni uzoefu wenu,Niko katika biashara ya vinywaji na chakula kwamiaka Sasa ,mshidani wangu yuko mita50 tuko ofisi yangu, Sasa Kila nkifanya ubunifu wakibiashara basi ataiga,nkiigiza product mpya sokoni basi nae ataiga na ataipunguza Bei Nini chakufanya biashara imekua pasua kichwa...
  16. JamiiForums Tanzania Nawakubali sana Waislamu kwenye kuzika, nawaza niweke kwenye wosia wangu nikifa nizikwe isizidi masaa 24

    Naifikiria sana hii kitu pale mtu anapoachwa wiki nzima hajazikwa, huwa inakuwaga huzuni mara mbili kwa wafiwa. Solution ya hii kitu nimegundua ni mtu kuzikwa fasta fasta na sio kuchelewa zaidi ya siku mbili. Mwaka jana kwenye family yangu kuna mtu aliumwa kinoma, nikajisemea hapa akifa nazika...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Nawaheshimu sana walimu, lakini mwalimu yeyote akimfanyia mtoto wangu kama inavyoonyesha picha hii nitamtafuta kokote alipo tumalizane

    Hii picha sio ya kuigiza. Ni picha halisi ilipigwa na camera ya simu ambayo haikuwa na spidi sana ndio maana unaona kuna sehemu za picha ziko out of focus, kuonyesha zilikuwa zina movement ya kasi zaidi spidi ya camera ya simu. Na picha inajieleza. Hasira za mwalimu, maumivu ya mwanafunzi na...
  18. JamiiForums Tanzania Je, haya Mahudhurio hafifu ya Poti wangu Marehemu Profesa Sarungi Karimjee Hall ni kuwa tuko busy au tumemsusa au Chuki yetu kwa Bintiye ni chanzo?

    Sikutegemea kabisa kwa Mtu kama huyu Profesa Sarungi kupata haya Mahudhurio hafifu Karimjee Hall. Nimesikitika mno.
  19. P

    JamiiForums Tanzania Rais nakushauri tu achana na hii biashara ya kununua umeme Ethiopia

    Tunashuhudia unyanyasaji mwingi katika hizi za kutegemea huduma kutoka nchi zingine hususani pale ambapo mausiano ya kidiplomasia yanapozorota. Lakini pia Tanzania kwa sasa tunazalisha umeme zaidi ya maitaji yetu sasa mtu unapata ukakasi wa kuanza kununua kitu unachokizalisha. Kwa vyovyote...
  20. JamiiForums Tanzania ASANTE MOLA WANGU

    Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…