Salaam Wakuu, your the weapons against the kingdom of darkness.
Kuna jambo nimeligundua wanawake hawa awe pisi kali, kawaida au mapepe aisee wanaowafaidi ni wanaume wale wahuni wahuni tena wasio na mbele wala nyuma wasio na mipango ya kimaisha tena unakuta wanaishi geto tu chumba kimoja mtu 8...