wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wapole hatari sana kwenye ndoa why??

    ‎Why Silent Wives Are the Most Dangerous Wives in Marriage - By Bisi Adewale ‎ ‎Silence in a wife is not peace. ‎Silence is not submission. ‎Silence is not maturity. ‎Most times, silence is a funeral song, quietly announcing that something precious in the marriage is dying. ‎ ‎As a marriage...
  2. JamiiForums Tanzania RC Anthony Mtaka wanawake wanapenda uwasifie uongo. Usivuke Mstari watakuchukia sio muda

    Hamjambo wote! 1. Nimemsikia RC Mtaka akiongea Siku ya wanawake. Akijaribu kuikosoa kauli nyuma ya Kila mafanikio ya Mwanaume kuna mwanamke. 2. Anthony Mtaka kauli hiyo aliikosoa vikali kauli hiyo kwamba ni upotoshaji, uongo, na sifa za kilaghai wanazopewa wanawake. 3. Huku akisema...
  3. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wa CHADEMA walitaka kukutana Musoma na sio Dodoma?

    Wana uhakika kuwa Musoma kuna vijana wakakamavu wengi wa CHADEMA na Ilikuwa wapate wageni kutoka nchi jirani kwa urahisi. Wanasheria wa CHADEMA walipaswa kwenda mahakamani kupata agizo la kisheria kuonyesha kuwa zuio la mahakama limekwisha au la badala ya viongozi wakuu wa chadema kusema zuio...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Siku ya wanawake Duniani: DAWASA tutazuia mivujo ya maji mitaani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imeungana na Wanawake Dunian kote katika maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyofanyika Kata ya Mburahati, Wilaya ya Ubungo, Mkoa wa Dar es salaam huku ikisisitiza ujumbe wa jamii kudhibiti upotevu wa maji. Maadhimisho haya...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Heri ya Siku ya Wanawake Duniani - Ghati Z. Chomete, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara

    Heri ya Siku ya Wanawake Duniani Mhe. Ghati Z. Chomete Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara.
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake Lindeni Afya Zenu

    Mara nyingi ukisikia Takwimu za waathirika wa UkIMWI wanawake wanakuwa kwa idadi kubwa kuliko sisi wanaume, hata magonjwa ya zinaa mengine ni hivyo hivyo hii kwa asilimia kubwa hutokana na Uzembe kwa upande wa wanawake na wengi hawafahamu kuchukua tahadhari hasa linapokuja suala la ngono...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani 🌸, Kwa Wanawake mliopewa nafasi zenye ushawishi

    Leo dunia inaadhimisha nguvu, busara na mchango mkubwa wa mwanamke katika kujenga jamii na mataifa. Mwanamke si tu mzazi wa kizazi, bali pia ni nguzo ya maadili, dira ya jamii na tumaini la taifa. Mwanamke anapokuwa imara katika maamuzi yake na kusimamia haki kwa ujasiri, jamii hupata utulivu...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake na nishati safi

    PHOTOS BY ME : HAPPY WOMEN'S DAY . Leo tunapoadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, tunatambua mchango mkubwa wa wanawake katika kujenga jamii bora na maendeleo ya taifa letu. Wanawake wamekuwa mstari wa mbele katika familia na jamii, na sasa wana nafasi kubwa pia katika kuhamasisha matumizi ya...
  9. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania 🌺 Happy Women’s Day kwa wanawake wote wa Jamiiforums!

    Kwa wanawake wote wa Jamiiforums 🌸🌸 Leo tunasimama kuwapongeza na kuwashukuru kwa nguvu, hekima, na mchango wenu mkubwa katika jamii. Ninyi ni chanzo cha upendo, ujasiri, na mabadiliko chanya kila siku. Mwanamke si wa kusherehekewa leo tu, bali anastahili kuthaminiwa siku zote 365 za mwaka...
  10. JamiiForums Tanzania Maadhimisho makubwa kama haya ya siku ya wanawake duniani yanafanyikaje mburahati?

    Aisee leo mburahati hakukaliki magari ni mengi mno kuanzia viwanja vya shule ya msingi mburahati hadi kituo cha polisi hapa baadhii ya magari yaliyoleta watu yamerudi yalipotoka haya yaliyopo hapa yamelundikana hatari ila wenye migahawa wanapiga hela kudadeki 😅!
  11. JamiiForums Tanzania Siku ya Wanawake Duniani: Taja wanawake 3 unaowasherehekea leo hapa jukwaani

    Wakuu, Leo siku ya wanawake Duniani, taja wanawake unaowakubali sana jukwaani, mimi wangu ni 1. Cute Wife - sasa ntgajiachaje 😎😎 2. Doctor Mama Amon - si ndo nimesahau ID yako inavyoandikwa, ila nyuzi zako inaonyesha uko smart sanaaaaa. Nakupenda😍 (Edited, nimelikumbuka😌) 3. Na wanawake...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mlioaoa wanawake ambao hamkuwakuta na bikira zao je mnawezaje kuishi nao bila hofu?

    Inakuwaje umeoa mwanamke ambae yaani unagharamia ndoa (harusi) ya kifahari ya mamilio ya hela Kwanza ni lazima kabisa pasina shaka pindi tu unapokuta hana bikira utapiga hesabu kuwa huenda mimi ni mwanaume wa 37 lakini bado unaamua kufumba macho na kujitungua. Hujiulizi ni kwanini Mungu...
  13. JamiiForums Tanzania Manyara Kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani Simanjiro, Sendiga Asisitiza Usawa

    Na Ruth Kyelula, Manyara Mkoa wa Manyara unatarajia kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani kimkoa tarehe 8 Machi 2026 katika Wilaya ya Simanjiro, huku Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Queen Sendiga, akitoa wito kwa jamii kuhakikisha haki za wanawake na wasichana zinalindwa na kuheshimiwa. Akizungumza na...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina uraibu wa wanawake age go

    niende moja kwa moja. mabinti wengi wana matumbo flat, wamekaukiana, ngozi na makalio magumu, hawana usoft wa kutosha, hawana mafuta, hawana makalio. Sifa hizo tajwa kwangu sizitaki, wanawake wakubwa wana matumbo makubwa yana hang fulani kwa chini, halafu ni soft mno sijui ndo mnaita kitambi...
  15. JamiiForums Tanzania MOI yasogeza huduma za kibingwa na kibobezi kongamano la wanawake TANESCO

    Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imesogeza huduma za kibingwa na kibobezi kwa wanawake wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika Kongamano la Pili la Wanawake wa shirika hilo lililolenga pia kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia. Huduma zilizotolewa ni pamoja...
  16. JamiiForums Tanzania Mradi wa PAMOJA kukuza uchumi wa Wanawake na kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia

    Mradi wa Kukuza Usawa wa Kijinsia Tanzania (PAMOJA) unaotarajiwa kuzinduliwa rasmi Machi 08, 2026 mkoani Geita na Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dkt. Dorothy Gwajima utaimarisha fursa za kiuchumi kwa wanawake wa vijijini na kuboresha upatikanaji wa huduma kwa...
  17. JamiiForums Tanzania DAWASA yafungua dawati la huduma, maadhimisho Siku ya Wanawake

    Katika kuelekea Siku ya Wanawake Duniani, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imezidi kusogeza huduma karibu na wananchi kwa kufungua dawati maalum la huduma kwa wateja katika mtaa wa Bwawani, Stand ya Makumbusho. Hatua hii inalenga kusikiliza na kutatua changamoto...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushuhuda ,wanawake wa kimakonde, kizaramo/kidengereko, wanawake wa kitanga na wanawake wa kihaya wapi ni watamu kitandani?

    Tupe ushuhuda mwanamke gani kati ya hawa ni mtundu kitandani? Maana wamakonde, wazaramo/wandengeleko wanawekwa ndani kabisa kufundishwa namna ya kutiana na makungwi wao ndo maana baadhi ya sehemu serikali wamepiga marufuku kama wanaamasisha umalaya ivi Watanga na wahaya nao sifa zao zinajulikana...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unajisikiaje au unapata picha gani unapotongozwa na mwanaume ambae anasali makanisa ya mitume na manabii haswa mwamposa na kuhani Musa

    Hello Hope mko salama.. Hii kitu inanikata sana unakutana na kijana mzuri tu ila unamuuliza anasali wapi anakwambia nasali kwa Mwamposa au nasali kwa Kuhani Musa.. Anyway sio mbaya kila mtu na imani yake ila kwa upande wangu sifurahishwi na wanaume wahumini wa makanisa hayo yanayo trend na...
  20. JamiiForums Tanzania Kwani tuliwakosea nini wanawake? Tangu Eden?

    Mara baada ya kumpigia simu mkewe, María Isabel Santos Caballero Mwamba “Pablo Escobar” alikamatwa na huo ndo ulikuwa mwisho wake. The Drug Lord “El Chapo” naye alikamatwa mara tu baada ya kufanya mawasiliano na Manzi yake “Kate De Castillo” Star Boi “El Mencho” akiwa kwenye mjengo wake huko...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…