Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,536
- 139,845
Wanawake wanaovaa Kanyelamumo, wanajisaidiaje washroom?
Uzi tayari
Uzi tayari
Daaah aiseee kumbe ndo maana yake!! 😁😀😀Sasa si ushaona. Ni “kanyelamumo” = kanyea humohumo”
Washroom ya nini wakati hizo zilikuwa designed kwa ajili ya kujisaidia humohumo na ndiyo maana ikaitwa "Kanyela Mumo"View attachment 3098298
Uzi tayari
Wanakuwaga walaini na watamu sana hawa
kumbe wewe ni mwanamke😳Tunavaa diapers.