wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Yoda

    PreGE2025 Lissu: Hatuhitaji tena ubunge wa viti maalumu, sio suala la ukomo tena, wanawake sasa wana uwezo

    Tundu Lissu pamoja na kupendekeza ukomo wa viongozi katika chama cha CHADEMA amependekeza suala la ukomo wa ubunge na udiwani, Viti maalum CHADEMA. Lissu anasema ubunge wa viti maalum ilikuwa kuwajengea uwezo wanawake wa kushiriki katika siasa lakini kwa ubovu wa katiba yetu haikuweka ukomo...
  2. Tuagize

    Tabia za wanawake wa kinyamwezi

    Eejamaa eh wazima wote, hebu tufahamishane tabia za wanawake wa kinyamwezi ni zipi kwa sisi tusiojua tabia zao ili tusije kuingia mkenge kwa kumuoa mwanamke wa kinyamwezi. • Wavumilivu sana kwenye maisha
  3. fimboyaukwaju

    Wanaume tunawashambulia wanawake kupita kiasi

    Kila mtandao ukipita,utakuta wanaume wakiwashutumu wanawake sana,tena kwa maneno makali mno,kila uovu,kila ubaya tunawapakaza Wanawake,wezi,malaya,matapeli,majambazi,wakorofi,wazinzi,wavivu,wachafu,wananuka,,hawaaminiki,yaani kila ubaya,you just name it. Hapana hii si sawa
  4. emmarki

    Uchumi mzuri unawapa jeuri mbaya wanawake wa kichaga

    Siwasemi vibaya dada zangu wa kichaga, mnasifika kote kwa uwezo wenu wa kusaka mahela. changamoto ninayoiona kwa manka walio wengi, uchumi ukichangamka mnakuwa jeuri na kiburi sana. Haijalishi hata kama mwanaume kamzidi kwa uchumi. Manka akishajihakikishia kuwa ana uwezo wa kusustain maisha...
  5. Waufukweni

    Kilimanjaro: Wanawake wenye kipato kizuri chanzo cha Migogoro ya Ndoa, wanakosa heshima kwa wenza wao na kuwanyima tendo

    Wakuu Mmesikia kuwa Wanawake wenye kipato kizuri wamekuwa chanzo cha migogoro ya ndoa, kwani wanakosa heshima kwa wenza wao na hata kushindwa kushiriki tendo la ndoa. === Jukwaa la wanaharakati wa kupambana na ukatili wa kijinsia mkoani Kilimanjaro, limefichua siri kuwa migogoro mingi ya ndoa...
  6. Lady Whistledown

    Maadhimisho ya 16 Days Of Activism: tuungane kuwalinda Wanawake na Wasichana dhidi ya Ukatili

    Leo tunahitimisha Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia, kipindi muhimu kilichotumika kupaza sauti dhidi ya ukatili unaowaathiri mamilioni ya watu duniani, hususan wanawake na wasichana. Ukatili wa kijinsia sio tu changamoto ya mtu binafsi bali ni tatizo la kijamii linaloathiri...
  7. Royal Son

    Vijana kuwaogopa Wanawake

    Habari Wakubwa, Naona kuna. Tukio sio la kawaida naanza kuona vijana tunaanza kuwaogopa Wanawake sijui kaka zetu walifanikiwa vipi. Tena hawa kataa ndoa. Ndio wanatuharibu kabisa kisaikolojia kabisa. TUNAKWAMA WAPI 🙏
  8. Carlos The Jackal

    Vijana acheni kuoa wanawake wa mitandaoni

    Kuna ka upepo ka Ulimbukeni ambako kanaendelea kuwapitia hawa watoto wa kike. Kwasababu tu yupo TikTok, IG ana followers wengi n.k, tayari hujiona kichwani kwake anahitajika kuliko chochote, na hili ndio kosa kubwa. Waschana wa aina hii, suala la Ndoa halipo kichwan kwake, na ukimuona kubali...
  9. M

    DOKEZO Unyanyasaji na Rushwa ya ngono vinawaathiri Wanawake Wafanyabiashara Stendi ya Kuu ya Magufuli (Dar), Serikali ifuatilie haya madai

    Nilifika katika Kituo cha Mabasi cha Magufuli, Mbezi, Dar es Salaam, nikapata nafasi ya kuzungumza na Wanawake wajasiriamali wanaofanya kazi katika eneo hilo. Wanawake hawa, wanaojishughulisha kama mamalishe, Wabeba mizigo, makarani na wauzaji wa vinywaji, walinishirikisha changamoto nyingi...
  10. B

    Sababu zilizofanya nikawapenda wanawake wembamba

    1.usafi/hawatoi harufu 2.hawali chakula kingi 3.versatile 4.sio wavivu. Ongeza na sifa nyingine
  11. Yoda

    Wanawake huwa hawachoki kuvaa nguo zisizowakaa vizuri na kuhangaika nazo muda wote ?!

    Katika mambo sijawahi kuyaelewa kwa wanawake ni hili la wanawake wanaovaa nguo zisizowakaa vizuri. Inakuaje mtu anasikia raha kuvaa nguo isiyomfiti, inayomshughulisha muda wote akiwa ameivaa?! Nini huwa kinawafanya wanawake wavae sketi fupi halafu waanze kuivuta vuta chini kila mara au wengine...
  12. Fateema

    Ni kweli wanawake wenye jinsia mbili wapo?

    Hizo story huwaga ni kweli au ni uzushi tu? Kuna story zimezagaa huku Sinza kuna mdada anaitwa Mina wanasema ana jinsia mbili na zote zinafanya kazi. Je jambo hili linawezekana kisayansi?
  13. Meneja Wa Makampuni

    Jinsi ya Kuwezesha Vijana na Wanawake Kupata Mkopo wa Asilimia 10 wa Halmashauri

    Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10. Utaeleza mambo yafuatayo: (1) Utaeleza vitu vinavyo hitajika unapofanya maombi ya mkopo wa asilimia 10 wa halmashauri. (2) Utaeleza jinsi ya...
  14. Waufukweni

    Wanawake Rombo waogopa kutembea peke yao bila waume zao wakihofia Nyani, ambao 'huwakonyeza'

    Baadhi ya wanawake katika vijiji vitatu vya Samanga, Kirongo juu na Sangasa, wilaya ya Rombo, mkoani Kilimanjaro wameeleza tishio la nyani wilayani humo linavyowaogopesha kutembea peke yao bila waume zao wakihofia kudhuriwa na nyani hao. Wamesema nyani hao ambao hutembea makundi kwa makundi...
  15. Lady Whistledown

    Ripoti ya UN Women yabainisha Nyumbani ni Mahali Hatari Zaidi kwa Wanawake

    Ripoti mpya ya UN Women inaonyesha kuwa wanawake na wasichana 85,000 waliuawa kimakusudi na wanaume mwaka 2023, ambapo asilimia 60 (51,100) ya vifo hivyo vilitokea mikononi mwa wenza au wanafamilia wa karibu. Hii inathibitisha kuwa nyumbani, mahali ambapo wanawake wanapaswa kuwa salama zaidi...
  16. ngara23

    Tabia ya Wanawake kutukana matusi machafu tuwapo faragha

    Hili jambo Huwa linanishangaza Sijui Huwa ni pepo au vipi Nina mchepuko wangu anafanya kazi Moja ya benk kubwa hapo Dar na mtu wa heshima haswa Kitu nikiwa nae faragha ananipa matusi ya hatari hadi nashangaa, sijui huwa anapandwa na pepo Gani Mfano mnaweza kuwa faragha akatamka matusi ya...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    99% ya wanawake waliokusumbua hawamfikii kwa uzuri mwanamke uliyenaye sasa hivi. Wakati mwingine unawashukuru kwa walivyokukatalia

    Kwema Wakuu! Kijana ambaye upo 17-25 hawa wanawake wanaokusumbua Muda huu na kukatalia kuwa hawakutaki. Baada ya Miaka kumi ijayo utakapopata Mkeo utagundua kuwa wanawake waliokukatalia hawakuwa wazuri kiasi hicho isipokuwa ni balehe na nyege ndio zilizokuwa zinakuendesha. Kwa Sisi kaka zenu...
  18. Mtu Asiyejulikana

    Wanaume wengi wanaumwa, hawaendi Hospitali. Wanawake wengi wapo Hospitali kuliko wanaume

    Wanaoongoza kwa kufa ni wanaume but yet wanaonekana sana Hospital ni Wanawake. Nenda Hosp yoyote au hizi za Serikal kama MuHimbili n.k kaangalie walioko kwenye foleni. Asilimia 80 ni wanawake. Most of them.je wanaume hawaumwi? Wanaumwa ila 1. Wagumu sana kwenda Hosp 2. Wanaumwa wanaendelea...
  19. PureView zeiss

    Afghanistan yapiga marufuku wanawake kusomea ukunga

    Serikali ya Taliban nchini Afghanistan imepiga marufuku wanawake kusoma kozi za ukunga, na wanafunzi walioko vyuoni wameamriwa wasirudi masomoni, hali inayotamatisha ndoto yao ya kupata elimu hiyo. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Habari la BBC imesema takriban taasisi tano tofauti nchini humo...
  20. Waufukweni

    Harmonize: Wanawake fanyeni Surgery mpendeze kama Ex wangu, sina mahusiano na Malaika

    Staa wa Bongo Fleva, Harmonize, amekanusha uvumi wa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Malaika Cute, akisema kuwa ni rafiki yake wa kawaida tu. Mbali na kukanusha hilo, Harmonize amewashauri wanawake kufikiria kufanya upasuaji wa urembo (Surgery) ili kupendeza zaidi, akidai kuwa dunia ya sasa...
Back
Top Bottom