wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mliooa wanawake wenye changamoto hii mnafanyaje?

    Wakuu hivi karibun Nimeanza maisha ya ndoa. Mwanamke wangu ni aina ya wale wanawake ambao akifika kileleni basi kitanda chote kinakuwa tepetepe(kinalowa). Tumekuwa tukitumia mashuka mengi kutandika kitandani kwa ajili ya kulinda godoro lakini naona kunakuwa na usumbufu mwingi wa kufua mashuka...
  2. Mwachiluwi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kulazimisha ndoa

    Wanawake sikuizi mmekuwa na msongo wa mawazo kisa umri umeenda na ulipanga kuolewa ukiwa 25yrs ila hakuna dalili wengine mmekuwa mnabeba mimba ovyo kutegemea watawaoa mbaya sana iyo Jikite kutafuta pesa kama ndoa ipo utaolewa ila jikite kupata maokoto kama umri unaenda na unataka mtoto ukibeba...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ukata wa fedha unavyochangia Wanawake kuyaogopa Majimbo

    Nimewahi kugombea mara moja tu ila kila nikifiria kurudi tena jimboni narudinyuma, kwani sina uwezo kifedha. Simulizi ya Fatma Shaaban Mohamed (51), mkaazi wa Kiuyu Minungwini Wilaya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba, inatuonesha ukata wa fedha unavyomkatisha tamaa kuingia tena jimboni katika...
  4. MBOKA NA NGAI

    JamiiForums Tanzania Wanawake huko GOMA, washindwa kurejea makwao wakihofia kubakwa

    Baada ya mji wa Goma,mashariki mwa Jamhuri ya kidemokalasia ya Congo, wakimbizi waliokuwa katika maeneo ya jirani na Goma, walihamasishwa kurudi majumbani kwao, na kuhakikishiwa usalama wao. Waliotoa taarifa, wamesema mpaka sasa wana usalama wa kutosha,japo hawana imani kama hali hiyo...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Singida: Wanawake wanachota maji kwenda nayo Zahanati wakati wa kujifungua katika Kijiji cha Dominiki

    Wanawake katika Kijiji cha Dominiki, Kata ya Mwangeza, Wilaya ya Mkalama Mkoani Singida wamedai wanalazimika kuchota maji dumu 6 hadi 12 ambayo watauatumia wakati wa kupata huduma ikiwemo Huduma ya matibabu katika Zahanati ya Domoniki inayopatikana kwenye kata hiyo. Wakizungumza kwa nyakati...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Statement kama hizi zinawaaminisha wanawake Kila mwanaume anapenda mizigo..

    Mnawapa stress dada zetu kwa statement za aina hii mnafanya waanze kufakamia chakula kutafuta unene wengine wanafika mbali mpaka kutumia dawa za kuongeza mwili wakati kina Babamorgan ni wadau wakubwa wa Skinny girls.
  7. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chanzo cha shida na matatizo mengi ya sasa yamesababishwa na huruma zetu wanaume kutaka sifa kwa wanawake walioshindikana

    Zamani mwanamke aliyeachika au kutalikiana na mmewe alikuwa hatakiwi kabisa kupewa nafasi yoyote ya uongozi katika jamii. Jamii ilifanya hivyo ili kupeleka meseji kwa wengine kuepuka kuishi maisha ya kisingle maza pasipo sababu ya msingi. Wanaume ambao hawakutimiza majukumu yao ya kulisha...
  8. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mliofika 30+ acheni kutusumbua sisi washamba tunaovaa mashati ya vitenge na suruali za vitambaa

    Wakati mpo wabichi wa miaka 19 mpaka 24, Sisi mlituona washamba. Sisi mlituona hatuna swagger za watoto wa mjini. Sisi mlituona tupo kama wazee wa kale. Sisi mlituona tupo kama walimu wa vijijini. Sasa kwanini mnatusumbua jua likiwa tayari limezama?? Shida ni nini?? Kwani wale wajanja wavaa...
  9. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi wanawake wasomi hawatumii tena ubini (surnames) za waume zao pekee. Kuachana ni muda wowote

    Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana. Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa. Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu pamoja na uhandsome wa mkaka aliyejulikana kama Boniface MKWASA, mchezaji wa timu ya Young Africans...
  10. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  11. Zemanda

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo wanawake wanayohisi ni kweli kuhusu wanaume na kumbe ni kinyume chake

    Katika jamii ya sasa kumekuwa na mkaranganyiko wa kifikra kutokana na kukosekana kwa elimu na mifumo sahihi inayoweza kutanabaisha mahitaji sahihi ya jinsia moja kwenda nyingine. Mwanaume ameumbwa kwa namna ambayo inamtaka mwanamke awe na mwenendo wa aina fulani ili waweze kuelewana ama kwenda...
  12. N

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wanawake na Uongozi 2025

    Katika kuhakikisha mwanamke hapati vikwazo Kuna sheria ya uchaguzi inavyomlinda mwanamke sheria ya uchaguzi ya Zanzibar no. 4 ya mwaka 2018 na sera ya jinsia na ushirikishwaji wa jamii ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar iliyoanzishwa mwaka 2015. Je, uwepo wa Sera na Sheria hii utatoa mwanya...
  13. Peter Mwaihola

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hatari wa kuwakwepa 2025

    Wewe ni mwanaume umehangaika sana kutafuta mwanamke wa ndoto zako na haujampata au pengine umewahi kumpata lakini mkashindwana? Kama unapitia kwenye hatua hii basi tambua kuwa hakuna mwanamke mzuri na mkamilifu kwa asilimia zote ila unaweza kumpata ambaye unaweza kumjenga kulingana na mahitaji...
  14. kyagata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wanawake wanapenda kusema "nina Msukuma wangu" na sio kusema nina Mkurya au Mchaga wangu?

    Kuna huu msemo unaelekea kuwa maarufu hasa kwa wanawake. Unakuta mwanamke kaishiwa labda pesa utasikia anasema "nina Msukuma wangu nitamuomba pesa atanipa" au nina Msukuma wangu ananipenda huyo. Kwa nini huwa wanapenda kuwataja hao wanaume wao wa kisukuma in reference to their tribe? Mbona...
  15. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake mnaona mengi sana hivi huwa hamtucheki kweli kwa vituko vya aina hii tuwapo faragha?

    Hii huwa naona kwenye vyumba vya kubadirishia nguo (changing room) hasa kabla na baada ya kazi mnapojiweka sawa ili mrudi ma kwenu. Hata chuo ma bwenini nilikuwa naona sana wanaume wa aina hii. Tulivyo wanaume huwa hatuwazi vitu vidogo vidogo kama hivi. Sasa unakuta mwanaume ana zile bukta za...
  16. Muimba SINGELI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tusilaumiwe kwa kutongoza watu wetu wa karibu ( wanawake )

    Hongereni na poleni kwa pilika wakuu. Kwanza ukaribu ninaouzungumzia hapa ni kama vile, Shemeji, jirani, mpangaji mwenza, bosi, mfanya kazi, mangi unae muungisha, mteja anaekuungisha, boda boda nk. Kuna hii tabia ya wanawake kututangaza kwa watu, kukusema vibaya eti kwa sababu tu umemtongoza...
  17. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Mimi nafikiri hakuna muda ambao wanawake wamewahi kuenjoy zaidi ya hizi nyakati

    Kuna namna fulani ambayo wanawake wa kileo wame evolve kuwa allergic na maisha magumu au ya kuunga kuunga. Kuna namna fulani hivi ambayo wanawake wa kileo wameweza ku-set standards zao katika hii dunia inayoongozwa na mwanaume. Women are kind of special, maan........ yani System ya zamani...
  18. Strong and Fearless

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi Wanawake wanavyoweza kutambua Mwanaume ambaye ana malengo ya ndoa na Mwanaume ambaye hana mpango wa kukuoa

    Wanawake wanapaswa kuwa na ufahamu wa kutambua ni mwanaume gani yuko tayari kwa ndoa na ni nani ambaye hana malengo ya ndoa .Hii itawawezesha kuwa na uamuzi bora kuhusu uhusiano wao na kuepuka kuumizwa. Mwanaume Aliye Tayari kwa Ndoa: 1. Anaonyesha nia ya dhati: Mwanaume ambaye yuko tayari...
  19. Loading failed

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kufanya matendo ya uhayawani na ukatili kwa wanaume

    Ni kweli wanawake wana huruma ila kuna wakati wanakua katili sana . Je, nisahihi wanawake kutumia huruma zao ili kutimiza vitendo vyao vya kikatili dhidi ya kiumbe cha kiume ( mwanaume) Nb: ili uelewe huu uzi angalia video clip kwa makini sana
  20. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Mpanda walia na waume zao kukimbia majuku ya familia

    Wababa wa Mpanda mbona hivyo lakini? Ila wanaume wengi wa mikoani wamekuwa wategevu kwa namna fulani katika kujishughulisha na majukumu ya kuelea familia, hii sasa ni balaa na tabu tupu! ================== Kampeni ya msaada wa kisheria ya "Mama Samia Legal Aid Campaign" inaendelea mkoani...
Back
Top Bottom