Helo wana JF, Hello wana NRNE
Tuchangamshe genge kidgo wakati tukiendelea na nyundo za ugoko ya #NOREFORMSNOELECTION
***
Kuna tukio nilishawahi kulishuhudia ktk nyumba nilokuwa nimepanga miaka ya nyuma kidogo, kiukweli jambo lile sikulichukulia ktk hali ya kumchukia Stering, ila nilijifunza...