wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwenye kauli hizi chache za Rais akiwaapisha Mawaziri watatu wateule, kosa la Balozi Mulamula ni insubordination?

    Mara baada ya mawaziri watatu (Bashungwa, Tax na Kairuki) kula kiapo ikulu jijini Dar es Salaam, Mh Rais amezungumza maneno machache sana. Amewaasa mawaziri wake wapya mambo yafuatayo: 1. Wazingatie kiapo chao cha kuilinda, kuitetea na kuihifadhi katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

    Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo. Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake. Wanaume wenye uzoefu na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao?

    Nauliza hivi wanawake wa hivi wamekosaga nini kwenye ndoa zao? Kakuaacha na nyumba watoto wawili kaenda kutafuta, hufanyi kazi zaidi ya kulea watoto pesa anatuma ila unawapa utamu wapita njia. Update
  4. JamiiForums Tanzania Wanawake mnataka nini?

    Naomba niende moja kwa moja kwenye point bila hata salamu. Linapokuja suala la mahusiano ya kimapenzi je, wanawake mnataka nini? Mmetusisitiza sana tutafute hela lakini wenye pesa zao hao wakina Masanja bado wanachapiwa. Pesa tunawapa, mashine tunapiga mpaka inafika hatua vijana kutumia vumbi...
  5. JamiiForums Tanzania Aina ya wanawake wasiotongozeka hata uwe na kila kitu (perfect man)

    Katika uchunguzi wangu kuna kundi la wanawake nimeligundua ni kundi ambalo halitongozeki hata uwe handsome vipi, umjue mungu vipi au uwe gentle kiasi gani. Wanawake hawa ukikutana nao barabarani usijisumbue kuwapata, ni sahau. 1. Mwanamke Anaeenda kukutana kimapenzi na mwenzi wake Ukikutana na...
  6. JamiiForums Tanzania Wanawake wenye hadhi ya mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho?

    Wanawake wenye jina la mama mdogo nawapata kirahisi, hii inaweza kuhusiana na mambo ya koroho? Ni jina la yule mama mdogo ambaye wamezoena zaidi na mama ukiachana na wadogo zake wengine wawili wa kike. Nakumbuka sekondari form 3 hadi 4 kuna binti alikuwa na hilo jina aliniganda na tulipendana...
  7. JamiiForums Tanzania Wadada wa Iran wametuzidi akili Watanzania?

    Inakuwaje wadada wameongoza maandamano kwenye nchi yenye sheria, msimamo mkali? Imekuwaje hadi sasa wameendelea na hayo maandamano bila kujali nani atakufa au madhara gani yatatokea? Je, kupitia maandamano wataweza fanikisha lengo lao? Watanzania twashindwa nini? Sent from my M2006C3LG using...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wajihadhari na kuumia na kuuawa

    Habarini wakuu, Naandika uzi huu nikiwa nina experience ya kutosha kuhusiana na mahusiano na hadi kufikia kutoa onyo kwa wanawake zaidi ili kuwaepusha na vifo na madonda(ngeu) yasiyo na msingi. Japokuwa wanaume hu-cheat kwenye mahusiano ila isikufanye na wewe mwanamke uka-cheat, kaa utulie na...
  9. JamiiForums Tanzania Napenda sana wanawake rangi ya chocolate au weusi kidoogo

    Asiwe mweusi si yaani kama balaa. Nataka mtoto ambaye sio crazy coloryaani inapendezansana
  10. JamiiForums Tanzania Tamko la TAPO la Wanawake na Wasichana: Haturidhishwi na kasi ya mchakato wa kubadilisha Sheria ya Ndoa

    TAMKO LA TAPO LA WANAWAKE NA WASICHANA KUHUSU MCHAKATO WA MABADILIKO YA SHERIA YA NDOA YA MWAKA 1971 Ndoa za utotoni ni tatizo kubwa nchini Tanzania linalo sababisha wasichana kutotimiza ndoto zao hasa za kielimu. Ndoa hizi mara nyingi husababishwa na hali duni za kimaisha, mila na desturi...
  11. JamiiForums Tanzania Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

    Peace be with you all, Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee kimwana haswaa. Demu ni mkali hatari sikua na mzuka na wanawake kutokana na deal fulani kwenda ovyo...
  12. JamiiForums Tanzania Polisi wakamata wanawake wawili wakiwa na misokoto 1,220 ya bangi

    Wanawake wawili wakazi wa Mkoa wa Arusha wanashikiliwa na polisi wa Mkoa wa Manyara, kwa tuhuma za kukutwa na misokoto 1,220 ya dawa za kilevya aina ya bangi. Kamanda wa polisi wa mkoa wa Manyara, George Katabazi akizungumza na Mwananchi Digital leo jumanne Septemba 27 amesema wanawake hao...
  13. JamiiForums Tanzania Wanawake mlio single muda huu naomba kampani

    Wanawake wote mliosingo nawaomba mje mnipe kampani. Nawakaribisha sana, njooni na maneno matamu yaliyoshiba mahaba.
  14. JamiiForums Tanzania Ahukumiwa kuchapwa viboko 6 kwa kosa la ubakaji

    Mahakama ya mkoa Manyara imemhukumu John Emmanuel (18) mkazi wa kijiji cha Malangi wilayani Babati kuchapwa viboko sita (6) baada ya kukutwa na kosa la ubakaji. Hukumu hiyo ya kesi namba 73 ya mwaka 2021 imetolewa leo Septemba 26,2022 na Hakimu mkazi mkoa wa Manyara Mariam Rusewa.Hakimu Rusewa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi hawataki kuitwa mama, kwanini?

    By Kelvin Kagambo Siku moja niliona mwanamke mmoja mashuhuri anagombana na watu mtandaoni kwa sababu ya kwanini watu wanamuita Rais Samia Suluhu Hassan ‘mama’. Hoja zake zikiwa, kumuita Samia Suluhu mama ni kama vile kumpunguzia majukumu makubwa ya urais aliyonayo, pia ni sawa na kumletea...
  16. JamiiForums Tanzania Nini kimewakumba wanawake na hii trend ya kutafuta ndoa uzeeni

    Salam wanajamvi. Katika Siku za karibuni kumeibua wimbi kubwa la wanawake kutafuta ndoa ukianzia Misikitini, Kanisani, mtandaoni na kila sehemu utakuta wanaweka matangozo ya kutafuta waume mbaya zaidi tayari in jua la jioni umri umekwenda. Kuna kipindi walisema hawaitaji ndoa wakasema tafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

    Kwema Wakuu! Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume? Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%. Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo...
  18. JamiiForums Tanzania Lubengela village, Kigoma. Kijiji pekee chenye wanawake weupe na wazuri kwa muonekano

    Asilimia kubwa ya wanawake katika kijiji hichi ni weupe na wazuri kimaumbile, japokuwa eneo hili lina mchanganyiko wa makabila ya kimanyema na kiha. Pia kuna wanawake wafanyabiashara kutoka nchini Congo na Burundi kwasababu ni eneo linalo tegemewa kwa uvuvi wa samaki na dagaa. Nyumba ni za...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini kila Mwanaume ana Nyota ( Upepo ) wa Kuwapata tu Wanawake wa Mikoa fulani, ila mingine hata afanyeje huwakosa?

    Mikoa ya Wanawake wenye bahati ( upepo) nao ni wa Mikoa hii tu ifuatayo...... 1. Iringa 2. Ruvuma 3. Tanga Mikoa ambayo Kudadadeki hata nifanyeje iwe kwa Kudanganya ( Sound ) au hata nimaanishe ( niwe Serious ) hata kwa Kutoa / Kutanguliza Pesa siwapati na hata ikitokea nimewapata siusikii...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Kwenu wanawake mliowahi kubeba mimba, hivi ni kweli mimba zina kisirani au mnajiendekeza tu?

    Mambo vp wadau Kiukweli kila nikitafakari mambo anayoyafanya wife nashindwa kuamini kama ni kisirani cha mimba ama ni kama kawaida yenu wanawake mnapenda kujiendekeza. Wife amekuwa mtu wa kulalamika kwa mambo madogo madogo na kulia lia tu kwa vitu vya kawaida. Kwa kweli kama mwanaume sio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…