wanawake

Maendeleo Ya Wanawake Organisation (MYWO) is a women's NGO that deals with issues to do with women's rights and gender equity in Kenya. It was founded by Jemimah Gecaga in 1952 and has approximately 600,000 groups contributing to a total membership of about two million women. It is currently chaired by Rukia Subow and has various agendas in its mission statement, including maternal, child health and family planning and training women in leadership and development.Historically it was promoted by the British during their colonial rule over Kenya and helped provide services only for those against the Mau Mau anti-colonial uprising.Ruth Habwe served as secretary general of the organization from 1968 until 1971.

View More On Wikipedia.org
  1. Teuzi za Rais Samia zinavyoinua wanawake

    Kufuatia mabadiliko ya wakuu wa mikoa yaliyofanywa na Rais Samia Suluhu, Tanzania sasa ina wakuu wa mikoa 8 wanawake sawa na 30.7%. Hii inawezekana ndiyo idadi kubwa zaidi ya wakuu wa mikoa wanawake tangu uhuru wa Tanzania zaidi ya miaka 60 iliyopita. Rais Samia Suluhu anaamini katika usawa na...
  2. Baadhi ya Wanawake ni Binadamu wa pekee sana, nawapa Pongezi muishi miaka mingi ya Kobe

    Kabla sijaenda kwenye mada, niseme tu ukweli, mimi ni kati ya wale wanaume wahongaji. Nikiombwa pesa na mtoto wa kike, kama ninayo, nampa bila kusita.kwanini?, fatilia andiko langu. Wiki kadhaa zilizopita nilisafiri kikazi ktk wilaya X inayopatikana mkoa flani hapa tz. nilifikia ktk lodge moja...
  3. M

    Tusioe wanawake vilaza; Hakuna kitu kinauma kwa mzazi kama mtoto wako kuwa wa mwisho darasani

    Pata picha umesafiri umeacha familia yako Junior anaumwa, umefika ulipokwenda unampigia simu mkeo kujua vipiimo vinasemaje Mimi: Habari mke wangu doctor kasemaje Yeye; Kasema mtoto ana YUTIYAI na AMWIBA Mimi; nisomee dose yake Yeye; mwayego hapa maandishi siyaoni vizuri kuna herufi kama sio nne...
  4. Hawa ndio Wanawake -Toleo la 01

    TOLEO LA 01: HAWA NDIO WANAWAKE Anaandika, Robert Heriel. Kuwaelewa wanawake ni moja ya kazi ngumu Kama wengi wasemavyo, Hii ni kutokana na wao kutofautiana wao Kwa wao Kwa kiasi kikubwa licha ya kuwa ni jinsia moja yaani wote ni wanawake, pia tabia Yao ya kubadilika badilika Kama kinyonga...
  5. Alikuwa akinicheka naogopa wanawake lakini alikuja kunikasirikika baada ya kujua nimetoka na mwanamke wake

    Niaje wakuu Hiki kisa Cha muda kidogo pia lengo la kuleta mkasa huu ni kuonyesha tu jinsi tukio hili la bila kupangwa lilivyo niletea heshima niliyokuwa navunjiwa Kwanza mimi kiasili nina aibu kiasi kitu ambacho kilisababisha nisiwe mchangamfu sana kwa wanawake lakini sio kwamba nilikuwa...
  6. Mimi ni Genius wa Kugegeda Wanawake

    Wakuu, nimegundua kuwa nina kipaji cha hali ya juu cha kufanya mapenzi na wanawake na kuwaridhisha. Hivi hii haiwezi ingia katika vitabu vya rekodi za dunia kuwa Kuna mwanaume anaitwa Bei Elekezi aliishi karne ya 20 mpaka ya 21 ambaye alikuwa genius wa kuwapa raha warembo? Najua kuna watu...
  7. Matumizi ya Intaneti: Nini kifanyike kuziba pengo kati ya Wanawake na Wanaume?

    Pengo kati ya Wanaume na Wanawake katika upatikanaji na matumizi ya Intaneti ni changamoto duniani kote. Asilimia kubwa ya watu Bilioni 2.9 ambao hawafikiwi na Huduma hiyo ni Wanawake na Wasichana. Tatizo hili lipo zaidi kwa Nchi Masikini, ikiwemo zilizopo Barani Afrika ikielezwa baadhi ya...
  8. Hisia za Wanawake za kupenda ziko karibu sana, watu wengine hatuhitaji kupendwa

    Binafsi niseme, kitu nisichohitaji ni mwanamke anipende, sitaki kupendwa na mwanamke kabisa (labda mke wangu nitakapokuja kuamua kuoa). Lakini ajabu ni kwamba nimekua napendwa tu hovyo hovyo na wanawake. Wanawake ni watu wanao-catch up feelings mapema sana. Mwanamke unaweza kumfanyia kakitu ka...
  9. Swali la Uchokozi: Jeshi la Polisi Halina Wanawake Wenye Uwezo?

    Labda hili swali tungeliuliza hata kuhusiana na Jeshi la Wananchi. Hasa baada ya hizi teuzi. Najiuliza inawezekana kwenye majeshi yetu hakuna wanawake wenye uwezo na ufahamu wa mambo ya kazi, operesheni na mikakati ya kijeshi kuweza kushika nafasi za juu kwenye majeshi hayo? Labda Rais yeye...
  10. Wanawake wanavutiwa na kucha za wanaume?

    Nikipita social media unakuta kama mwanaume amepost kitu then kuna sehemu ya mkono, unaona baadhi ya wadada wanasema " unakucha nzuri, post mkono niuone" sasa nauliza inamaa mwanamke anaweza mpenda mwanaume sababu ya kucha za mikono? Na hizo kucha nzuri zinakuaje? Update Mmoja kanitumia hivi
  11. Jamani, ifike hatua wanawake muanze kutuhudumia sisi wanaume!

    Unakuta mdada mnatoka naye out kwenye date labda mmeenda johari rotana, mnakula na kunywa ila mwisho ikija bills anakukazia jicho kweli ili ulipe wewe bill. Bado unakuta asubuhi ukiwa unaondoka nyumbani anataka kodi ya meza wakati kiuhalisia alitakiwa akupe pocket money ya kutumia. Nadhani ni...
  12. Wanawake mnaoleta wenzenu tukiwa out mjitathmini! ukaribu mnaotujengea nao hutupa majaribu makubwa ya kuanzisha nao mahusiano ya kimapenzi

    Wanawake mjiangalie sana, mjitathmini tafadhali, Unaambiwa jumamosi ujiandae mtoke out, wewe unaleta rafiki zako tena wengine ni pisi kali kuzidi wewe.. Wanamuona mwanaume wako anavyowalipia vinywaji, vyakula, wanaona ana ndinga kali, jinsi anavyoweza kutunza mwanake afurahi, n.k Hivi...
  13. Mbona wanawake hawakemei Usagaji kama sisi tunavyokemea ushoga?

    Mada ni kwa mtindo wa swali. Nguvu inayotumiwa na jamii ya Kiafrica kukemea ushoga inaridhisha. Ni kikundi kidogo sana kinaunga mkono ushoga. Kwa sasa ukienda gest hamruhusiwi kulala wanaume tupu labda mlazimishe kwa kumpanga mhudumu. Lakini suala ya wanawake kulala chumba kimoja ni ruksa...
  14. A

    Mungu aliwaumba wanawake wawili tofauti

    Kutokana na Biblia, "Mwz: 1:27 ....... Mungu alimwumba mwanamume na mwanamke aliwaumba". Kwa maana aliwafinyanga. Vilevile "Mwz: 2:21, Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito nae akalala, kisha akatwaa ubavu wake mmoja akafunika nyama mahali pake. 22 na ule ubavu alioutoa kwa Adamu Bwana...
  15. Wanawake shida yenu nini mpaka mkiona mtu ana gari mnababaika?

    Mwe Mughonileeeeee(Mtaelewa tu, mbona amapiano mnasikikiza). Jana bwana nimetulia pale maeneo ninayoishi ghafla nikapokea simu toka kwa mshaji wangu ambaye tunaiva ile kinazi akiniambia muda si mrefu atapiga hapa kwangu na gari yake ataiacha hapa maana watu anaotakiwa kuonana nao hawatakiwi...
  16. Wanasayansi: Chanjo ya Covid 19 huharibu mzunguko wa Hedhi kwa wanawake

    Wanasayansi huko nchini Marekani wamesema chanjo ya Covid 19 inaharibu mzunguko wa hedhi kwa wanawake kwa zaidi ya 55% ya wanawake wote waliochanjwa. Utafiti huo umefanywa na University of Illinois na Washington University School of Medicine umebaini kua 56% ya wanawake waliochanjwa covid 19...
  17. Wanawake tuache kushika simu za waume zetu

    Ndio maana inaitwa simu ya mkononi kile ni kifaa cha matumizi yake binafsi sio matumizi ya familia. Na unapekua simu ya mmeo ili ugundue nini? Ili iweje? Wanawake wengine bana! Umbea tu na wivu ndio vinawasumbua.
  18. M

    Karibuni tupeane 'Maujanja' ya kujua jinsi Wanawake (Wapenzi Wetu ) Wanavyoturoga sana Wanaume

    1. Ukiona Siku yoyote unasifia mno Chakula na Mpenzi au Mkeo jua ameshakuroga. 2. Ukiona mkiwa Mapenzini halafu umemaliza Kupiga Mshindo Milionea ( yaani Umemkojolea ) na haraka sana anawahi kutaka Kukufuta tena kwa Kitambaa chake jua unaenda Kurogwa vibaya sana. 3. Ukiona Mpenzi/ Mkeo...
  19. Kwanini wanawake mnawapenda wanaume wacheshi?

    Wakuu mambo vipi aiaisee nawapeni siri mademu Siku hizi wamekuwa wajanja hawapendi hela mwanzoni mwa mahusiano wanajifanya hawataki hela ila mbeleni sasa akishakuzoea vizinga vinaanza. Anyway mademu kwann wanawapenda watu wacheshi? Maana kuna mwanangu mmoja sura onyango ila anawagonga sana...
  20. M

    Limbwata lipo na limeharibu maisha ya wanaume wengi. Wanawake wanaharibu akili za wanaume

    Mtu anawekewa limbwata na mwanamke mpaka anasahau familia yake. Anashindwa kufanya kazi. Anawaza kuhusu mwanamke na wivu usiofaa. Anahonga mwanamke mpaka anaharibu maisha yake. Wengine wanakunywa sumu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…