Nimeona Instagram influencer mmoja anaitwa niffer, anauza cosmetics ameshare historia ya maisha yake, kwamba alikua anauza chakula 2019 hapo mijini daresalam kariakoo, 2023 akaanza kuuza vipodozi, ana mall kama 4 ivi, anasafiri kila sehemu duniani, naona watu wakimpongeza kweli kweli.
Broo...