wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume Wapole na wastaarabu huwapenda wanawake ambao hawajatulia?

    Habari wadau..! Naomba leo tujadili hoja hapo juu kuhusu hawa wajamaa wapole halafu Mungu anawakutanisha na magubegube, kwanini?
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume msiokunywa pombe acheni majungu. Tunaokunywa tunawazidi kila kitu kuanzia pesa hadi maisha; njaa zenu zisiwape viburi, hamna chochote

    Habari za mda huu, Hivi kwanini hawa washikaji wasiokunywa wanatuchukulia makolo? yaani hawa washikaji wasiokunywa pombe sijui huwa wanatuchukuliaje asee, kwanza hamna wanachotuzidia ni njaa tu zinawasumbua ila cha ajabu wanadharau sana hawa washikaji, yaani hawana nyumba, hawana gari wala pesa...
  3. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali na ngos zianzishe program kwenye media zote kuwatia aibu wanawake wote waomba hela kwa wanaume hususani mizinga ya kutongozwa.

    Nimeshindwa kuvumilia hili ni janga la taifa wanawake wanaomba hela mnooooo mpaka inatia kinyaa kiukweli naanza kuwachukia mno wanawake hususan mabinti ambao Yani unamtongoza saa 12:00pm ukiambiwa ni saa 12:07 anakuwa hajala 12:15 anatakiwa asuke nywele saa 12:20 mtoto anatakiwa dawa nk . Hii...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Wanaume tubadilike, Tujenge mazoea ya kuambatana na wenza wetu kliniki na wanavyoenda kujifungua

    Je ulishawahi kujiuliza familia inayoibiwa mtoto inaishi katika mateso ya namna gani? Usiombe yakukute! Ukiweza yaepuke kwa kuchukua tahadhari zote. Sisi tulinusurika kubadilishiwa mtoto akiwa labour. Nitajaribu kueleza kwa ufupi kwa lengo la kufikisha ujumbe. Hivyo nitapunguza utambulisho wa...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wanakuwa wazito kujishusha?

    Jamani hivi ni kwa nini wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha? Hii inawaumiza sana wanawake kwani huwapenda wapenzi wao. Mdada ikimtokea hali hii, je, ajiahushe, akaushe au afanye nini? Ushauri wenu wana JF.
  6. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuko desperate sana kupata ngono, ifike mahali wanaume tuwe na akili

    Nimefanya uchunguzi binafsi, ukitaka kujua ukweli ingia kwenye dm za wadada kwenye mitandao ya kijamii kama facebook, insta, humu jf, uone wanaume tunavojichoresha na kujidhalilisha na kujipendekeza Kwa kuwatumia wadada sms 20 za kimapenzi kwa mpigo, yoote hiyo ili upate attention ya mdada...
  7. JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima - Huo ndio uanaume!

    Madam Gwajima hoyoooooo Kazi na dawaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
  8. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Wanaume Uganda wawatamani warembo wa Afghanistan

    Waziri wa Jinsia, nchini Uganda Betty Amongi, amesema wanaume nchini humo wamekuwa wakiombea wakimbizi kutoka nchini Afghanistan wawasili salama na kwamba wamekuwa wakisambaza picha za wanawake hao warembo na kusema anatumaini hawatotoka chama cha wanaume bahili. Waziri Amongi ameandika hayo...
  9. JamiiForums Tanzania Wanawake wenzangu mnawezaje kumudu wanaume wabinafsi waongo wanaojifikiria wao tu?

    Jamani hivi wamama mnawezaje kumudu hawa wanaume wabinafsi? Yaan mwanaume asiyesikia uchungu au maumivu ambaye wewe kama mwanamke wake unayapitia Mwanaume opportunitist tu,selfish tu, anajali tu maisha yake tu Mwanaume ambaye ni muongo kwa asilimia 99 Kudanganya kupo ila sio huyu wangu aisee...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake mnapenda wanaume wenye ushawishi, pesa na magari?

    Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja Mwanza na gari lake aina ya crown nyeusi akapata dharula ya kwnda nchi jirani ikabidi gari aliache na...
  11. JamiiForums Tanzania Picha: Hivi vikaptula vya wanaume wa Dar vipigwe marufuku

    Oneni huyu kaka[emoji1313]Hivi mwanaume unavaaje vikaptula vya aina hii?Hii ni aibu kwa taifa wanaume wa dar hapa mlipofika sasa mnataka kufanana na sisi dada zenu au[emoji1313]ndo uvaaji gani huu jameni?
  12. JamiiForums Tanzania Utafiti: Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi

    Mwanaume anao uwezo wa kukaa mwaka mzima bila kufanya mapenzi, jambo ambalo ni ngumu kwa mwanamke. Mwanamke akiishi zaidi ya miezi mwili, ataanza kuongea mambo yasiyo eleweka (Pumba) na kucheka cheka mara kwa mara. Aidha, upo uwezekano mkubwa wa kupata madhara ya kiakili.
  13. JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Wanaume wenye mvuto World wide. Tupia picha Only Handsome men

  14. D

    JamiiForums Tanzania Ukiweka ushabiki pembeni; Wanaume tumeumbwa ili kupiga bao moja tu kama kuku wafanyavyo na kusepa

    Ukiachilia mbali mwanamke kutakiwa kuingiliwa kingono siku za mimba! Wanaume tumeumbwa kwa mfumo uleule wa wanyama na ndege! Kikawaida mwanaume unatakiwa ukisimamisha ndipo utafte wa kumla, na ili uone radha unatakiwa ufanye bao moja tu usepe zako, uzungukee wee halafu ufike tena ukamate upige...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi Tanzania hakuna uzazi wa mpango wa wanaume?

    Habari zenu wakuu, Kuna visa nimekutana na wakaka ambao wamezaa Watoto Wengi na hawahitaji Watoto zaidi mpaka ikabidi nijiulize hili. [emoji23][emoji23] Huyu wa kwanza hajaoa anamiaka 30, anawatoto wanne kila mmoja na Mama yake, Ukipiga nae story atakwambia jinsi gani anajuta kuwa na Watoto...
  16. JamiiForums Tanzania Nilishasema acheni kuishi na waume wa watu ila hamsikii

    Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani. Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi kajengewa nyumba na huyo baba. Ila baada ya miaka kumi na moja huyo baba akaanza kumpiga na kumtafuta...
  17. JamiiForums Tanzania Mchawi wa mwanamke ni mwanamke mwenyewe, tuache kulaumu wanaume

    Mwanamke anataka jamii imtambue kama mtu dhaifu anaehitaji kulishwa, kutunzwa na kutunduliwa na mwanaume, anaona ni sawa lazima atolewe mahari na kuhurumiwa sana na kupewa upendeleo na wanaume. Mwenyezimungu amewaumba viumbe wake wote sawa bila upendeleo wowote ila tofauti unazoziona baina ya...
  18. JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kutibu tatizo la upungufu wa nguvu kwa wanaume kwa kutumia nguvu za kiroho

    Utangulizi Upungufu wa nguvu za kiume kwa wanaume/vijana ni tatizo ambalo limekua likizidi kukua hasa kwa watu walizaliwa miaka ya 80, 90 na 2000. Wahenga wanasema kwamba vita vingi tunavyovipigana ndani ya vichwa vyetu hua sio halisi, Kwamba mambo tunayoyafikiria na kuyahofu kwenye maisha...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya wanaume kulialia kisa mapenzi nini shida?

    Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu? Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho kuliko kusubiri kuja kulialia humu, hata kama unampenda jikaze kiume muonyeshe msimamo na muache...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Hivi kuvalishana pete za uchumba ni lazima kuwe na wageni waalikwa pamoja na sherehe?

    Hello wakuu. Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…