wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wanaume tunaumia zaidi kwenye mapenzi kushinda wanawake

    Hata takwimu zinajionyesha wengi wao wanaojiua kisa mapenzi ni sisi wanaume!.. kujitia vitanzi, kujipiga risasi kisa wivu wa mapenzi kwetu sisi imekuwa ni jambo linalotakiwa kuangaliwa katika namna ya kipekee maana tutaisha sasa na hivi tupo wachache!!. Wanawake tupunguzieni mizigo na mtulie...
  2. Wanawake wakiamua kushirikiana kwa dhati wanaume mpo hatarini

    Kama uliwahisikia yale maandiko yanayosema "Halafu ile tamaa ikiisha kuchukua mimba huzaa dhambi, na ile dhambi ikiisha kukomaa huzaa mauti." Hii nayo ni maana yake sasa👇 Yaani mwanaume unaacha mkeo nyumbani unaamua kuchepuka.. Kule unakochepukia unashindwa kuulipa mchepuko malipo yake...
  3. B

    Ushauri: Wanaume tuache kutongoza, tuanze kununua wadada wanaojiuza barabarani

    Kwa hali ilivyo sasa kwenye ulimwengu wa mapenzi na mahusiano, wanaume wote tunajua ukweli ni kuwa sahivi mahusiano yamekuwa biashara, unamtongoza mdada leo, kesho anakuomba hela, usipompa mahusiano yanakufa, ukimpa hela mahusiano yanakua kama ofisi ya mikopo kila Wiki shida za hela haziishii...
  4. Ni kitu gani wanaume hufuata kwa wanawake?

    Wanaume huwafuata Wanawake kwa mambo mawili, ambayo ni MAPENZI na SEX. Lakini inapofika hatua ya Kuoa, Wanaume hawaoi kwa sababu ya SEX au MAPENZI, wanaoa kwa sababu ya kutafuta AMANI NA UTULIVU WA NAFSI (STABILITY). Mwanaume anaweza kukupenda na asikuoe. Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi...
  5. Mambo 7 yanayowaumiza wanaume kwenye mahusiano

    Kupitia safu yetu ya mahusiano, leo nimekuletea makala maalum hasa kwa wanawake kutokana na malalamiko ya wanawake wengi kuwapoteza waume zao. Kilio chao kikubwa ni kukimbiwa na wanaume au kuachwa. Leo anakuwa na mwanaume huyu, baada ya muda mfupi kunatokea chokochoko, mwanaume anatimka zake...
  6. SMS zinatupunguzia wanaume pointi tatu muhimu

    Usiku kwenye daladala, saa ya simu yangu inaonyesha ni saa 4:47. Najilazamisha kuacha kusinzia, mara nasikia sauti za wanawake wawili wakizungumza viti vya nyuma yangu… stori zao zinanisaidia kukimbiza usingizi wangu. Nasikia mmoja anamwambia mwenzake; “basi wakati namalizia kuosha vyombo...
  7. Amakweli wanaume wa huu mkoa, mmevunja rekodi kwa kupandisha bendera hadi kileleni..😂🤣

    Yaani huyu jamaa kachukua salama, akaweka nzi wale wakubwa watatu na kisha akajivisha kwenye mahala pake (akaivaa ..ndom na nzi wakiwemo ndani ya sox kwa mbele. Sasa...... Wale nzi walipo anza kurukaruka ndani ya ile nailoni na wakiwa wanamuuma na kumkanyaga mwamba kwenye kichwa kidogo, kumbe...
  8. Wanawake muwe mnatuonea huruma basi...

    Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya kumpanga tukaanzisha mahusiano, kama mnavojua kwenye mahusiano kusaidiana financially ni lazima...
  9. Wanaume watabakia kuwa wanaume tu!

    Mwanaume mmoja aliwatongoza wanawake watatu tofauti na nia yake ni kufanya upembuzi yakinifu ili mmoja wao awe mkewe. Hivyo jamaa aliamua kuwapa jaribio kwa kuwapa Tsh.500,000/= kila mmoja huku akitaka kujua ni namna gani watazitumia. Mwanamke wa kwanza alitumia pesa yote kununua vipodozi...
  10. B

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja

    Haya ni mataifa matano ambayo mwanamke anaweza kuolewa na wanaume zaidi na mmoja By bbc CHANZO CHA PICHA,THE WHISTLER Umewahi kufikiria kuwa na mume mwenza katika ndoa? Swali hili ni kwa wanaume, lakini kwa wanawake umewahi kufikiria kuolewana wanaume wawili? Au Unakumbuka tukio la mkazi...
  11. Vitu 10 ambavyo Wanaume waliokomaa hawavifanyi

    Je mwanaume aliyekomaa ni yupi? Je ni mwenye miaka zaidi ya 18? Kwa kawaida kuna makundi makuu mawili ya wanaume, wanaume wachanga na wanaume waliokomaa. Kama kulivyo na tofauti kubwa kati ya mtoto mchanga na mtu mzima au aliyekomaa ndivyo ilivyo pia kwa makundi haya mawili ya wanaume...
  12. Nasumbuliwa na tabia ya kukasirika haraka, nifanye nini?

    Imekua almost a few month now tangu niwe katika Hali hii back to my point I have been through hell in relationship so sijui ndo hii Hali nayojiskia ndo imetokana na hivyo I don't know....[emoji1751][emoji1751] Nimekuwa ni mtu ambae sina hisia kabisa nmekuwa mkali Sana niliepitiliza nmekuwa a...
  13. Wanaume tungeishi vipi endapo kusingekuwa na Wanawake?

    Nimejaribu kutafakari. 99% ya furaha ya mwanaume ni uwepo wa mwanamke Je maisha bila mwanamke yangewezekana? Ni wazo tuu.
  14. Wanaume tuache kutembea na mabinti wadogo, hasara ni nyingi kuliko faida

    Wakuu Ni sawa kwamba wewe ni rijali, kwamba nyoka hachagui shimo. Kwamba ukiona chaka, mavi yanabana. Kwamba una pesa hakuna mbususu itakayokushinda. Lakini watu wazima kutembea na mabinti wadogo ni risk nyingi na laana, Plus kujivunjia heshima Hasara ni nyingi tuone.. 1: Utageuzwa kitega...
  15. Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  16. Hii ni kwa wanaume wenzangu...

    Ukiona umekorofishana na mpenzi wako na ukajaribu kujiexplain halafu akakujibu NIPO SAWA TUU... My brother hapo jua unatakiwa ufanye kazi ya ziada kumfanya aelewe maelezo yako, usije sema hukuambiwa.
  17. R

    Wanaume halisi hatuchagui aina ya wanawake wa kuwa nao

    Habari za leo waungwana. Leo naomba tujadili hii kitu. Duniani kote mwanaume halisi mwenye genes za kiume ndani mwake na tabia za kuwa mwanaume huwa hachagui aina ya mwanamke wa kuwa naye. Akichagua ni kwa sababu anataka kuwa na mmoja tu lakini kimsingi anaweza kuwa na mwanamke wa aina yeyote...
  18. Tuelezane ukweli kuhusu Dawa za kuongeza uume

    Jamani haya matangazo yamekuwa mengi sana kwenye mitandao. Dawa za kuongeza urefu na unene mpini. Kama huelewi kwa kiswahili tashdidu tunaita uume. 1. Je ni kweli zinafanya kazi? 2. Mabadiliko yanabaki permanent? 3. Nini side effects zake/madhara yake? 4. Hiyo nyama inayoongezea inatokea wapi...
  19. S

    Wanaume, nendeni kijijini mkaoe wadada ambao ni natural na fertile

    Kijijini kuna wadada wazuri kwa sura, rangi na shape za kuzaliwa. Halafu hata yale Mambo yetu huchelewa Sana kuyaanza. Na hata ukikutana na mdada 25 yrs anakuwa bado amecheza rounds chache Sana. Huko ndiko wake sahihi wanaweza kupatikana. Hapa mjini mtoto anaanza kula ndude tangu darasa la 5...
  20. Wanaume huwa mnafikiria hatari zinazoweza kuletwa na mchepuko?

    Mchepuko si mrithi wa mali zako, hata uk RIP ni nadra kwa mchepuko kupata chochote labda uwe umezaa nae nae napo pia hutegemea umuhimu wa huyo mtoto kwa familia ya mume. Mnapo kula chakula kwa mchepuko kuna uwezekano maadaui wako kuulipa mchepuko hela ukuondoe duniani. Mfano wewe unampa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…