wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hivi kwanini wanaume wa zama hizi sio wavumilivu, na hawajiongezi?

    1: Mwanaume unashindwa kuvumilia sex mpaka ndoa... Na badala yake umetongoza Leo baada ya wiki unataka starehe ya mwili. Wewe si useme tu kuwa hitaji lako ni sex tu basi na acha kuzunguka zunguka kuwa nataka kuoa? 2: Mwanaume unatongoza, umekubaliwa tayari. Unaanza kuuliza vipi Sasa tutalala...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wana matatizo ya akili

    Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa. Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
  3. JamiiForums Tanzania Si wanaume wengi wangefanya maamuzi aliyoyafanya Matuga

    Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya Kusini. Bahati nzuri aliongea Kiingereza cha kueleweka shukran imwendee kiongozi wake wa dini kwani...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je hawa wanawake wangetembea nusu uchi?

    Hivi wangeumbwa wanawake bila wanaume je wangetembea nusu uchi??
  5. S

    JamiiForums Tanzania Niko njiapanda: Mwaka wa 3 huu nampa ahadi za uongo lakini hachoki kunihudumia

    Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza kunioa lkn mm nimekuwa nikimkatalia na kumwambia asubiri niweke mipango yangu sawa. Mwaka huu nimempa...
  6. JamiiForums Tanzania Je, maziwa ya unga yanasababisha kupungukiwa nguvu za kiume?

    Wanajamii habari Kabla ya yote kama una NIDO, COWBELL au diary products yoyote hapo maskani kwako, tafadhali nenda katupe, Acha kunywa kama unakunywa, kama umeshakunywa tayare nenda katapike jitapishe. Hizi products za maziwa ya unga unga au ngombe wa kisasa ukinywa kwa mfululizo zinasababisha...
  7. JamiiForums Tanzania Wanaume tuache umarioo unakubalije kuishi kwa mwanamke?

    Kuna rafiki yangu kipenzi sana tupo kama ndugu, ni msomi mzuri sema amekosa connection ya kupata kazi ya maana. Ni muda sasa amekuwa akiishi kwa mama mmoja ana watoto wawili kila mmoja na baba yake. Katika hawa watoto wawili kuna mmoja baba yake yupo vizuri kiuchumi hivyo anasoma shule nzuri tu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Majibu manne ya wanaume kwa wake zao yanayovunja ndoa

    Mwanaume kabla ya kuoa hakikisha umejipanga kwa kipato, ili uweze kumhudumia mkeo bila shida. Usiwe mtu wa kusubiri michongo, mshahara ama kibarua. Uwe na akaunti imenona na biashara iliyostawi. Majibu haya ya wanaume kwa wake zao huvunja ndoa haraka mno 1. Unataka kufanyia nini? Yaani...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya kimila ni ndoa nzuri sana kwa wanaume wa kikristo matajiri zama hizi

    Habari wadau. Wanaume wengi wa kikristo wanalalamika tabia za wake zao huwa wanabadilika baada tu ya kufunga ndoa kanisani ama uzeeni kwa kiburi cha ndoa haivunjiki na pia migogoro ya mali ni mingi sana. Sheria ya ndoa ya Tanzania inatambua ndoa 3. Ambazo ni ndoa za kidini, ambazo ni ndoa ya...
  10. JamiiForums Tanzania Kikao cha dharura: Kwa wanaume tulio kwenye ndoa mbinu za kukabiliana na wanaowataka wake zetu

    Habari zenu wanaume wenzangu mlio kwenye ndoa natumaini mko salama Nimeleta kikao hiki ili tupeane ushuhuda jinsi ya kukabiliana na hawa ndinjii ambao wamekuwa hatari sana kwenye ndoa zetu hawa ndinjii wakishakula wake zetu huwa wanajisifu na kujiona wameyapatia maisha. USHUHUDA Mwenzi...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume msiowatunza mama zenu hii niaibu kabisa

    Wadau wangu leo naongea nawaheshimiwa fulani wanaojidai wamezaliwa na wamama wakwe na wake zao. Iwafikie woteee ambao hawajawatumia mama zao pesa za matumizi tokea wawe nafamilia iwafikie wakaka wote ambao hawawatumii mama zao hela ya matumizi. Tumeenda leo kidogo kuwasalimu watoto na wazee...
  12. JamiiForums Tanzania Vicky Kamata: Royal Tour inaenda kubadilisha akili ya Wanawake wajitegemee, Waache kutegemea kila kitu Wanaume

    Mwenyekiti wa taasisi ya Wanawake laki moja Vicky Kamata amesema Royal tour inaenda kubadilisha akili ya Wanakwake wajitegemee waache kuwa Ombamba. ameyasema hayo Wakati alipokutana na Wanahabari jijini Dar tarehe 20 Mei 2022 kuelezea Madhumuni ya Taasisi ya Wanawake laki moja ambayo ni kupinga...
  13. JamiiForums Tanzania Tabia 3 za wanaume ambazo ni machukizo mbele ya mwanamke

    1.Uvivu Mwanaume mvivu, omba omba ambaye hukaa juu ya kochi na kunyoosha mikono kuomba hela kwa mwanamke, hafanyi kazi yoyote yupo yupo tu anasubiri mwanamke wake amletee hela. Biblia inasema mtu adiyefanya kazi asile (2 Wathesalonike 3:11) Pia mtu wa hivyo ni mbaya kuliko kafiri (1 Timotheo...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumekwisha hatuna chetu, wanawake ndio controllers wa kila kitu kwa sasa. Tukimbilie wapi?

    Za muda huu wanajamvi... Asubuhi hii nilipanda dala dala na kwa bahati mbaya nikasimama sana kwa kukosa seat. Route ilikuwa ndefu, kutoka K/Koo mpaka Mabibo. Kwa bahati nzuri nikapata seat baada ya mmoja wa abiria kushukia kigogo. Kisha muda huo huo akaingia msichana mmoja mrembo mno aliyekuwa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tusipige wake zetu, wasuluhishaji wanaupiga mwingi

    Kwa wale wafuatiliaji, niliwahi kuwapa story ya mwanadada aliyekuwa haelewani na mmewe kiasi cha kupigwa na manyanyaso kadha wa kadha! Akafikia hatua ya kulipeleka jambo hili kwa mjumbe na ngazi nyingine kadhaa! Kwa sasa wanandoa hawa wana report mahakamani kila siku! Pia kwa mjumbe! Hivi sasa...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wa Dar huogopwa zaidi na wanaume wa Mikoani

    WANAUME WA DAR HUOGOPWA ZAIDI NA WANAUME WA MIKOANI! Anaandika Robert Heriel Ili uwe mwanaume wa Dar itakupasa uwe umeishi Dar kwa zaidi ya miaka 10 mfululizo, wanaume wa Dar wanaogopwa Sana na wanaume wa mikoani tangu nchi hii ipate Uhuru. Zipo sababu nyingi za Jambo hili kuwa kama lilivyo...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume Mungu anawaona! Nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto, nimegundua mume ana-cheat

    Habari za mida wana MMU, Jamani hapa nimechanganyikiwa sielewi, nipo kwenye ndoa miaka 2 na nina mtoto mmoja wa mwaka na ndani ya huo muda wote sijawahi kuhisi mume wangu kunicheat japo kuna wakati huwa anachelewa kurudi ananiambia ni mambo ya kazi tunasort yanaisha. Sasa majuzi nimekuta...
  18. JamiiForums Tanzania Iringa: Mkuu wa Mkoa azungumzia Wanaume Wanaonyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha ili kukata pombe

    Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Queen Sendiga ametangaza kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya ukatili ndani ya mkoa huo. Pamoja na msako huo amedai ukatili wa baadhi ya wanaume hasa wanaolewa kupindukia kunyonya maziwa ya wake zao wanaonyonyesha kwa imani ya kukata pombe unaendelea kupungua...
  19. JamiiForums Tanzania Kigoma: Wanaume walia kunyanyaswa na wake zao, wataka Madawati ya Kuwatetea

    Viongozi na wananchi wa Kijiji cha Murufiti, Nyansha na Kigondo wakiwa kwenye makundi wakijadili mkakati wa kukabili ukatili na unyanyasaji wa kijinsia kwenye jamii za vijiji vyao katika kongamano lililoandaliwa na Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP). Baadhi ya wanaume walioshiriki mjadala wa...
  20. JamiiForums Tanzania Waziri: Wanaume tunzeni vizuri wenza wenu wenye ujauzito ili watoto wawe na IQ kubwa

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amewataka Wanaume kutunza ujauzito wa wenza wao ili watoto wanaozaliwa wawe salama kiafya na wenye akili ya uwezo wa juu na ufanisi (IQ). “Kila baba anapenda kujisifia mtoto wake ambaye anafaulu vizuri shuleni, lakini kufaulu vizuri kwa mtoto shuleni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…