wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kwaanini baadhi ya Wanaume wanapenda makalio makubwa?

    Nalo ni swali hata wewe unaweza kujibu, Angalia avator nyingine za watumiaji wa jamiiforums wameweka picha za makalio ya wanawake. Nimejiuliza ghafla, kwanini baadhi ya wanaume wanapenda makalio ya wanawake. Pia wengine wamehesabu urembo wa dada ni makalio. Kwanini? Unaweza kunijibu.
  2. JamiiForums Tanzania Wanawake, kama huwezi mtunza mtoto pelekeni kwa Baba zao. Msisumbue watu kwa upuuzi wenu

    WANAWAKE KAMA HUWEZI KUMTUNZA MTOTO PELEKENI KWA BABA ZAO. MSISUMBUE WATU KWA UPUUZI WENU! Anaandika, Robert Heriel Unang'ang'ania kuishi na mtoto alafu huna uwezo wa kumtunza huo si upuuzi. Kama huwezi kumtunza Mtoto na unapenda kuishi naye basi kuwa na adabu, kuwa humble Kwa Baba WA mtoto...
  3. JamiiForums Tanzania Je, wanawake hamuwezi kuishi kabisa bila kutegemea wanaume?

    Hivi watoto wa kike hamuwezi kabisa kuishi kwa vipato vyenu mpaka muombe ombe hela kwa wanaume? Yaani hamuamini mnaweza mkawa self dependent bila wanaume? Ni kwanini mnageuza miili yenu kuwa sehemu za kujipatia kipato? Ni lazima mvae nusu uchi? Ukitongozwa ni lazima uombe hela? Hio elimu...
  4. JamiiForums Tanzania Dada zetu wanatamani kuzaa. Wanaume wenzangu mnasubiri nini?

    Kijana wa kiume mwenye zaidi ya miaka 25 na una geto lako mwenyewe acha kuishi mwenyewe kama Jini, tafuta binti anzeni maisha na mpate watoto dunia ipate vijana wapya. Ukiangalia sababu kubwa ya vijana kutokuoa ni kudai kuwa wasichana wanataka kuhongwa na hamna pesa. Ngoja ni wambie kitu...
  5. K

    JamiiForums Tanzania SoC02 Wanaume: Viumbe walio hatarini kutoweka

    Nimesoma shule ya sekondari kata katika kijiji kimoja huko mkoani Dodoma. Wakati huo, tulipokuwa tukijadili hatima zetu kimasomo na kimaisha kwa ujumla tulikuwa tukiwaweka kando wasichana kwa kuwa hawakuonekana kama wanaelewa chochote kuhusu hatima zao na hata mazingira hayawakuwaunga mkono...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kuna wanawake mlipswa kuwa wanaume tu, maana mna gundu hatari. Angalieni huyu mwanamke mwenye nyota yake

    Hivi ninyi wanawake ambao mnaishia kupewa nauli ya bajaji tu mlizaliwa kwa ulozi ama?
  7. JamiiForums Tanzania Zipi sababu za wanaume kubambikiziwa watoto wa wanaume wenzao?

    Ndugu zangu kila mmoja wetu achangie mada hii ili tupate kiini cha swala hili. Kuna baadhi ya wanaume wametunza watoto ambao si wao, kuanzia mimba mpaka ukubwani kwa kuwasomesha kwa gharama kubwa pasipokujua kuwa sio watoto wao. Baadhi ya familia zinaishi na watoto wasiokuwa wa baba mwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Wanawake wanaouza maduka ie...k/koo wanazidisha bei(over pricing) kwa wateja wanaume

    Habari zenu my virtual family(JF) Mara kadhaa huwa nikienda kununua vifaa vya electronics huwa nawakuta wauzaji wanawake...(probably nawafuataga sijui ila iko hivyo) ila sasa wana katabia ka kunitajia bei za ajabu ambazo ziko juu ya kawaida, Lakini... Nikienda duka lingine labda nkamkuta...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume wa karne ya 21 tunaendelea kupoteza uanaume wetu (masculinity)

    Wanaume haswa vijana wa kiume tuwe na mjadala mkubwa ni wapi jamii inapokosea kuandaa mtoto wa kiume kuchukua ile nafasi yetu tuliyopewa na God ya "mwanaume utakuwa kichwa". Kuna mambo personal nimeyaona na yanendelea kufanyika na yamekuwa kama kawaida kwenye jamii ambayo yanampa uanume...
  10. JamiiForums Tanzania Imani kwa wanaume imekwisha

    Ni masista duu nimewanyaka sehemu fulani wakijadili na kupondea, eti hawaolewi kwa sababu wanaume wanawanyang'anya wanaume zao, hiyvo kumekuwa na uhaba wa wanaume😳. Jambo lingine, eti hata picha zinazotupiwa sana mitandaoni, ukiona wanaume wawili picha ya pamoja afu wanajiita marafiki ujue ni...
  11. JamiiForums Tanzania Wanaume tuna siri sana ila siri hii, hapana

    Tukiendelea kungoja makarani wafike Wakuu kuna suala nalitafakari nakosa jibu nisaidieni! Iko hivi wengi wetu tunachangamoto za ndoa hasa kutokumwamini mwenza kwa matokeo ya mbeleni kwa ndoa kuvunjika kwa dalili unazoziona. Wanaume nafikiri tunaweka usiri ambao mwishowe ni hasara za mali...
  12. JamiiForums Tanzania Wanaume tuliangalie na hili pia!

    Maana Nyie Ndio kichwa Cha familia. Samahani naomba niwaulize. Hivi suala la mavazi ya heshima Kwa wake zenu kabla kuolewa na mlivyowaoa Nyie mnalionaje? Maana ni kama na Nyie mmekaliwa vichwa humo ndani, au Ndio uzungu? Au ushamba wangu wa Mbeya. Sisemi kujitenga kwamba mimi ni mtakatifu no...
  13. JamiiForums Tanzania Wanaume mmemsikia mwenyekiti wa wanawake? Haya kazi kwenu

    Wanawake mmesikia makubaliano ya kikao chetu cha mwisho? Hakuna kumuachia Mungu.... Mungu muachie hesabu malipo tulipane hapa hapa. 🤣🤣🤣🤣💃💃💃💃💃
  14. JamiiForums Tanzania Wanawake wengi wanapoteza wanaume wa kuwaoa kwa sababu hii

    Habari wakuu! Kwanza nakiri kuwa mapenzi hayana mtaalamu ila lazima tubadilishane udhoefu ilitujiimarishe zaidi na haya mambo kwa sababu mapenzi ndio maisha yenyewe,kipindi natafuta mke wa kuoa nilipata tabu sana kwa sababu nilikuwa sijui kuwa wanawake wengi wana ugonjwa huu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume njooni hapa, Unapotafuta mke, Ni sahihi kumueleza binti unataka kumuoa unapomtongoza kwa Mara ya kwanza?

    Habari wanajamii forum. Nimekuwa na maswali mengi kuhusu Unapotafuta mke. Na inapofika hatua ya kumpenda binti flani na kumueleza hisia zako za kutaka kuwa nae, hivi Ni sahihi kumueleza Moja kwa moja kuwa unataka kumuoa? Maana kuna vitu najiuliza, kwamba wakati mwingine inaweza kuwa njia...
  16. JamiiForums Tanzania India: Taharuki baada ya wanaume 11 waliombaka mjamzito kuachiwa huru

    Kuachiliwa kwa wafungwa 11 waliokuwa wamehukumiwa kifungo cha maisha kwa ubakaji na mauaji nchini humo kumezusha maandamano, huku mwathiriwa wa ubakaji akitoa wito kwa Serikali kubatilisha uamuzi wake, akisema umetikisa imani yake katika haki Bilkis Bano alikuwa na ujauzito wa miezi mitano...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini mnakubali kuoa/kuolewa na wasiowapenda?

    Hivi siku ile unamwoa huyo mwanamke ulijua kabisa kuwa hakupendi ila ukamwoa hivyohiyvo? Kwa sababu zako zipi sijui? Mfano kwa mwanamke, wengi huingia hawajampenda mwanaume ila sababu zake ni Kuogopa kuchachia home, kuolewa kama mashost zake walio ndoani, kufuata Mali za mwanaume na wengine Ili...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume nijibuni swali hili kwa dhati ya mioyo yenu. Unapata nini katika ndoa ambacho mwanaume aliye single hapati?

    Pengine majibu ya swali hili yanaweza kuwavutia wanaume waliyo single kuamua kuoa na hivyo kupunguza tatizo la wadada wanaotaka kuolewa kukosa waume. Wanaume walio single ukiwauliza wanasema: 1- Utelezi unapatikana kwa wingi mtaani. 2-Wanaweza wazalisha wadada kisha wakatunza mtoto/watoto...
  19. JamiiForums Tanzania Tanga: Wanawake walalamika kunyonywa maziwa na wanaume, watoto hawashibi

    Wanaume wametajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wanawake wanaonyonyesha kwa kutokutoa muda wa kupumzika vizuri pamoja na kusababisha stress zinazofanya washindwe kuzalisha maziwa ya kutosha kunyonyesha watoto. Wanawake wilayani Handeni mkoani Tanga wametoa malalamiko hayo mbele ya mkuu wao wa wilaya...
  20. JamiiForums Tanzania Ajabu: Wanawake wanapenda wanaume weusi lakini hawataki kuzaa watoto weusi

    Kwema Wakuu?! Moja ya mambo yanayowafanya wanawake wawe viumbe wa ajabu, labda tuite kuwa vivutio katika ulimwengu huu ni pamoja na hii tabia. Wanawake wengi duniani sio tuu Afrika bali hata uzunguni kila walipoulizwa wanapendelea wanaume wa dizaini ipi katika mahusiano ya mapenzi, majibu yao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…