wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanabakwa ila hawasemi /hawajui maana wanachukulia kama "Zali la mentali"

    Kama ulifanya mapenzi bila ya ridhaa yako /kulazimishwa, maana yake ulibakwa, hili linawakuta wanaume wengi sana ila wao wanaona kama ni zali la mentali. Mimi kuna dada alinibaka na hadi leo nikikumbuka nabaki kumshukuru Mungu. Kipindi nilienda likizo kwa bibi, kule kuna nyumba mbili, moja...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tukubaliane wanaume siyo mbwa na wanawake si chuma ulete kwenye mahusiano

    Wakuu habari, Kuna jambo nimeliwaza, kama binadamu tuna mema na madhaifu, kila mmoja wetu ana uwezo katika jambo fulani na ni dhaifu upande mwingine na hii ndiyo sababu ya kuumbwa kwa kutegemeana. Mara nyingi kinachotushinda kwenye mahusiano na kupelekea kuitana majina mabouvu ya fedhea ni...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Wanaume Sasa ni ‘Stay-at-Home Sons’ Girlfriends Wanalipa Bills

    Are roles reversing or are men just adapting? Siku hizi unapata mwanaume ako nyumba, anasema “I’m planning,” while mwanamke ndio anachapa kazi, analipa rent, na bado anapika. Swali ni — hii ni empowerment ya wanawake ama wanaume wameamua kulegea? Wengine wanasema economy imebadilika...
  4. O

    JamiiForums Kenya “Mapenzi siku hizi ni biashara? Nani anatumia nani kati ya wanaume na wanawake?

    Haya uwanja ni wetu Leo tuseme kinaga ubaga nani anatumiwa sana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Wanawake mnatuboa sana wanaume na stori za 'ma -X' wenu waliowatoa bikra, kama mlipendana kwanini mliachana?

    Habari zenu wanajamvi. Moja kwa moja kwenya mada kiukweli wanawake huwa hawajielewi kabisa yaani upo kwa kitanda na mwenzi wako unaanza stori za mwanaume aliekutoa bikra mlivyo wajinga huwa mnawasifia sana. Mwanamke miaka thelathini na tano kwenda juu hivi hujui stori sahihi za kuongea na...
  6. JamiiForums Tanzania Aah! nimepenyezewa hapa, wanaume wenye sura personal wanatumia gharama kubwa kuwapata wapenzi kuliko sisi ma-Handsome

    Kama Handsome boy atatumia $1, bas mwenye sura ngumu/personal atatumia $600 hadi -800 katika huduma ili kumshawishi msupa, pia wanaume hao hutumia hadi Tani moja ya perfume na lotion ili wanukie vizuri na kuwavutia wanawake. Kwa wale ma handsome, napenda niseme, tuko vizuri sana na mambo kwtu...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake na wanaume hawachanganyikani msikitini?

    Ni kwa nini katika Uislamu wanawake na wanaume hawachanganyikani katika chumba kimoja msikitini?
  8. JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume hufa mapema kuliko wanawake?

    Nyumba nyingi wamebaki wabibi na wamama zaidi endapo mmoja ameondoka. Najiuliza labda huenda wanaume wanafight sana kuliko wanawake. Nyumba jirani wabibi ndio wameishi miaka mingi zaidi na unakuta kina baba walikufa miaka zaidi ya 40 iliyopita. Labda huenda wameumbwa hivyo waishi zaidi kuliko...
  9. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaokasirika kasirika humu, mnaishije na wake zenu?

    Wanaume, mpo? Nawauliza kwa upole kabisa, lakini kwa uzito wa moyo: Hivi nyie mnaokasirika kasirika hapa JF, mnaishije na wake zenu majumbani? Naongea na wewe mwanaume, ambaye kila unapoandika mada, unapojibu maswali, unapochangia hoja, maneno yako hayakosi ukali, kejeli, hasira na wakati...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume kujikutaga mna akili na hamuendeshwi kwa hisia, imekuaje mmekamatika kirahisi kwenye uzushi wa kuibiwa nyeti?

    Eti wazee wa logic na akili nyingi safari hii imekuaje?😂🤣🤣 Akili zote na logic zimehamia kwenye mikuyenge? Kutwa kucha kuwakamia wanawake kooni, safari hii mwalimu wetu kipofu kahamia huko kwenu? Kabisa unaambiwa mtu kashikwa bega mali zikaondoka na wewe mzima mzima huyooooo unaamini, kwa kitu...
  11. JamiiForums Tanzania Polisi: Ni kweli nyeti za wanaume zinaibiwa. Wezi msiwaue

    Polisi amedai ni kweli nyeti za Wanaume zinaibiwa. Ila ameshauri zikiibiwa mwizi msimuue kwani zitakuwa hazirudi. Polisi kadai walipokea ripoti kwamba muiba nyeti kakamatwa, walivyombana akukabali kuzirudisha. Iila akasema zinarudi taratibu taratibu.. Amewashauri Wanawake wasiwalaumuu wake zao...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe makini, Wizi wa sehemu za siri za kiume "Penis snatching" umeingia Tanzania

    Ni wizi huu wa sehemu nyeti kwa njia za kishirikina uliokuwa maarufu Congo na sasa umeingia Tanzania, Wizi huu unaripotiwa na wahanga pale mtu mnapokutana akikushika mkono au kukupiga begani huku akizuga kuomba njia apite, kukusalimia, kukusifia, n.k. Utahisi mwili unavibrate na kudhani ni...
  13. JamiiForums Tanzania Naungana na DC Magoti: Wanaume wanaolaumu Wake zao na kulalamikia wanawake sio Wanaume waliokamilika

    Hamjambo! 1. Dc Magoti japokuwa anapenda kuongea kwa misifa, majigambo, na kidogo utani Jambo ambalo wakati mwingine anatoaga Boko. Round hii ninaungana naye kwenye hoja yake hii; 2. Mamlaka hailalamiki. Mamlaka inayolalamika hiyo sio mamlaka. 3. Kauli hiyo ameitoa huku akiwahusisha Wanaume...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume tumeumbiwa starehe ya ngono kama mtego wa kuangukia kwenye majukumu mazito hadi tunazeeka?

    Sex ni kuburudisho kikubwa kwa mwanaume lakini ni tendo lenye majukumu mengi sana. Unapokuwa na girlfriend umeshajiingiza kwenye mtego wa kumhudumia, utalalamika vizinga lakini unajua fika hilo ni jukumu lako tayari. Haya yote kwa kiasi kikubwa huwa tunayaanza kwa sex. Unapompa mimba...
  15. JamiiForums Tanzania Kichoitwa kikao cha wanaume chini ya nabii feki IPM kinashusha hadhi ya mwanaume

    Tangu lini wanaume tukawa na kikao kinachotutaka tushone sare? Hili ni jambo la hovyo mno. Haina tofauti na Kitchen party galla. Mbaya zaidi kikao kilikuwa cha kuchambana na kusemana vibaya wanaume. Ikumbukwe huyu nabii feki ndo alisema ni aibu mtu kufika miaka 50 bila nyumba wala gari...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume wangepewa uwezo wa kuumba wanawake wanaowataka

  17. JamiiForums Tanzania Ni kweli Wanawake wana akili kuliko wanaume wengi. Kwa sababu zifuatazo…

    NI KWELI WANAWAKE WANAAKILI KULIKO WANAUME WENGI. KWA SABABU ZIFUATAZO; Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Robo tatu ya wanaume duniani wanazidiwa akili na wanawake. Sio ajabu ukisikia wanaume wakishindwa kuwaelewa wanawake. 2. Huwezi kukielewa kitu au mtu aliyekuzidi akili. Huo ni ukweli...
  18. JamiiForums Tanzania Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume

    Naam kwa sasa dunia inaelekea kutimiza mpango wao wa siri wa kumaliza wanaume. Wanaume tumebaki wachache sana.... Nchi zilizoendelea hasa Marekani mwanaume kawekewa mtego kupitia mwanamke..... 1.Vifo vingi vya wanaume sababu kuu ni mwanamke. 2.Ukinusurika kifo utaingia jela kuteseka miaka...
  19. JamiiForums Tanzania Bilionea Lugumi kuhudhuria ‘Kikao cha Wanaume’ April 2, 2026

    Kikao maalum kwa ajili ya wanaume kitafanyika April 2, Mlimani City na kimeandaliwa na @prophetipm kikilenga kuwakutanisha wanaume watu wazima pamoja na vijana ili kujadili masuala muhimu yanayohusu maisha, maadili na juhudi za kujiletea maendeleo binafsi. Miongoni mwa wazungumzaji ni...
  20. JamiiForums Tanzania Je, Mwanamke Hubeba DNA za Wanaume Wote Aliowahi Kulala Nao? Mtazamo wangu ni huu

    Kuna kauli imekuwa ikisambaa sana mitandaoni siku hizi, kwamba mwanamke akishalala na mwanaume, hata kama hakupata mimba, basi hubaki na DNA yake mwilini. Wengine wanaenda mbali zaidi na kusema kuwa kama amekuwa na wanaume 5 au 10, basi anatembea na DNA zao wote, na huenda hata watoto atakaokuja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…