wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Matatizo ya wanawake chanzo ni wanaume na matatizo ya wanaume chanzo ni wanawake

    Waungwana habari za muda, naamini tu salama na wazima wa afya, kama una changamoto pole na Mwenyezi Mungu akufanyie wepesi na itapita. Nimeandaa post hii kama sehemu ya kusaidia vijana wa kiume na hata wakike pia ili waweze kuishi na wenza wao kwa amani. Nadhani kila mtu anajua kama bila...
  2. Hivi hakuna tena wanaume?

    Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine...
  3. B

    Wanawake mnachukuliaje kutoka na wanaume waliowazidi umri kwa miaka 15, ila siyo wababu?

    Mm nina miaka 35 namtaka binti wa miaka 20, najiuliza nkimtongoza huyu binti si ataniona wa ajabu sana? Maana nimemzidi miaka 15 nikikutana naye njiani ananipa Shikamoo. Hata nkimtongoza akanikubalia, Hatonipendea pesa kweli, maana kiuhalisia mimi ni mkubwa sana kwake. Wanaume wenye uzoefu na...
  4. Wanaume achane kuimba " nipo nyonyo nipo titi "

    Salaam kwa wana Yanga na wale ambao hamjabahatika kuwa wanayanga. Wanaume huu wimbo si mbaya kucheza na mpenzi wako kwani unamaudhui mazuri ya yeye kujidaia wewe. Ila sasa Jana nkazama boardroom pub sinza nakuta vijana wa kiume tena wakiwa na wapenzi wao wanaimba nanukuu"" ... Nimelipata...
  5. Wanaume ichukueni hiii, kama hufanyi anza sasa

    Kama ulikuwa ni mtu usieenda kabisa club, si mbaya ila nikwambie kitu bro jitahidi walau once kwa miezi miwili tembelea hayo maeneo, fululiza weekend mbili mfululizo club zenye majina, Utanishukuru Siku Moja. Kama hujawahi tembelea sehemu wanawake wanajiuza, unawasikia tu watu wakitamka tu...
  6. Kuvaa Hijab ni dini au udhaifu wa wanaume?

    Binadamu wote wake kwa waume wanazaliwa wakiwa uchi kabisa, kuvaa nguo ipi na ivaliwe wapi na nani kwa sababu gani ni utashi tu wa wanajamii wenyewe. Bahati mbaya au nzuri Mwenyezi kuna maeneo na viungo vya mwili ambavyo alishavifunika yeye mwenyewe kwa sababu zake kwa kutumia nywele ndefu na...
  7. Asije akakudanganya Mtu, wanawake nao wanatamani wanaume

    Kwema Wakuu! Kuna mtu alianzisha mada hapa akiuliza swali, je wanawake wanatamani Kama wanaume? Kabla hujajibu swali hilo unatakiwa ujue kuwa Mwanamke ni Binadamu Kama wewe Kwa 100%. Ikiwa mwanamke ni Binadamu Kama wewe basi jibu la swali hilo ni ndio, Wanawake wanatamani tena sio kidogo...
  8. Wanaume wa Dar wanaongoza kupigwa vita ila ndiyo sukari ya warembo

    "Wanaume wa Dar" ni jina ambalo limekuwa linatumika sana mitandaoni likiwa na maana ya kudogosha uanaume wa vijana awa waliozaliwa mjini. Sifa kuu ya wanaume wa Dar ni usafi, ujanja, exposure na ndoto kubwa kubwa. Wanaume wa Dar wanajipenda sana kuanzia chakula wanachokula, mavazi wanayovaa...
  9. Hivi wanawake wanatamani tamani kama wanaume?

    Like unatembea unaona watoto wazuri wazuri and you picture them naked/ bedding them? Na wao wako hivyo? Nauliza sababu rate ya wanaume kufanya hivyo ni kubwa
  10. Kumbe na nyinyi wanaume hamjielewi

    Habari za Wakati huu! Kuna story nimeicopy sehemu imenifanya nimshangae huyu Mwamba👇👇 Habari zenu wapenzi, Mnisaidie nijue nimekosea wapi, Iko hivi, Jana tulikuwa tunaangalia mpira na Mr hapa nyumbani, wote ni washaabiki wa Yanga, sasa Kuna wakati wakamzoom Mayele kwenye screen mimi nikatabasam...
  11. Wanaume mjifunze hapa

    Huyu bwana anasherekea miaka 20 ya ndoa yake. Hajawahi mpandishia sauti kumfokea mkewe,hajawahi mpiga na hawajawahi kugombana. Nimemaliza.
  12. S

    Wadada mnaotaka kuolewa. Chondechonde msiolewe na wanaume wanaoshabikia mpira. 98% hufa masikini kabisa

    Dada unayetafuta mchumba wa kukuoa waepuke kama ukoma wanaume ambao ni mashabiki wa mpira. Hawana ndoto kubwa maishani, hawana mipango, na kwa hulka yao muda wao wote huwaza orodha ya vikosi vya timu za mpira. Kama mtu anaweza kukariri wachezaji 11 wa timu 10 tofauti tofauti na walikotoka...
  13. Wanaume wengi wanatendwa na michepuko kuwaharibia ndoa zao, tuwasaidie

    Nguvu za kiume ni janga. Tena wengi unakuta ni waliooa ambao pia walikuwa viwembe sana. Nina mashoga zangu watatu wamekuwa wakilalamika sasa juu ya waume zao kukosa nguvu kabisa Mpaka naanza waza au michepuko kuna dawa wamegundua wanawawekea waume wa watu wakirudi kwao jogoo asiwike? Kwanini...
  14. Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

    Jamani za leo? Mimi kwangu nipo sawa tunashukuru Mungu. Sasa wanaume mnanishangaza sana walahi tuanze hawa wanaume namba 1 . 1. Wanaume msiojielewa. Hivi inakuwaje unampa mtu mimba anakuzalia mtoto halafu matunzo unasua sua halafu unaenda kuoa halafu unazaa na mkeo unaenda kuzaa na mchepuko...
  15. Wanaume Mungu anatuona

    Nimekaa hospital moja hapa mjini naona wakinamama na mimba zao. Hakuna hata aliyeambatana na mume au aliyesababisha mimba. Mbaya zaidi wamama Afya hazijakaa vzr kabisa, wako kinyonge nyonge kabisa. Tujaribu kuwana kaupendo kidogo. Na tujue Wanaume wote na tabia zetu hizi za kutekeleza wenzetu...
  16. Je, unataka kuolewa na mume Mwafrika asiye Mtanzania? Wajue wanaume wa Kiafrika na sifa zao

    WANAUME WA AFRIKA.! 1. Wanaume wakatili zaidi Afrika - Waangola, Warundi na Wanubi (Sudan). Ukiwakosea ni kipigo au kifo. Kwao hakuna msamiati uitwao "Msamaha". 2. Wanaume wanaojali zaidi familia zao Afrika - WaSenegal. 3. Wanaume wanaopigwa zaidi na wake zao - Wakenya (Kati ya wanaume 10...
  17. D

    Elewa msingi na ubora wa wanaume wanaoitwa MARIO ili uanze kuwaheshimu kuanzia leo, Utajiri ni mipango ya Mungu pasipo kujali jinsia

    Habari wadau! Kumekuwepo na lugha chafu sana kwa wanaume wanaozidiwa kifedha na wake zao! Hata imefikia kubatizwa majina mengi mazuri kama Vile Mario, kitonga au ganda la ndizi! Ni majina mazuri kwasababu kisaikolojia majina hayo yameundwa kwa misingi ya Wivu, yaani mtu yoyote anayesikia raha...
  18. Jamani hivi kuna rapper wa kike kama huyu hapa barani Afrika, amewashinda hadi wanaume?!

    Huyu mwanamke ni Mzambia, lakini moto wake ni wa kuotea mbali. Anaimba kama katokea Marekani aisee, ni mtoto wa miaka 29 tu, lakini uwezo wake siyo wa dunia hii, hadi wanaume amewashinda. Hii ngoma yake inanifanya niwaze sana..... Huu hapa yuko na Mama Angelique Kidjo.....
  19. SoC02 Kwanini Wanaume wanaongoza kwa kujiua?

    UTANGULIZI "Kila mwaka watu 703,000 wanajiua idadi ya wanaume ikiwa mara tatu ukilinganisha na wanawake" (Shirika la afya Duniani) Pamoja na kuwa baadhi ya jamii zinaamini mwanaume kujiua ni hatua ya ujasiri; Mkazo/Msongo wa mawazo,Kukosa kazi,Kutengwa/Unyanyapaa,mizozo ( hasa katika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…