Nyenyere

JF-Expert Member
Sep 9, 2010
14,769
10,650
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine wote wanashabikia kitendo alichotendewa mchungaji Masanja.

Leo nawaambia kitu, wewe mwanamume unayeshabikia mke wa mwanamune mwenzako kulalwa na mwanamume mwingine ni mpumbavu uliyepitiliza, huna sifa za mwanamume. Vijimaneno vya kijinga kama hivi ndivyo huwatofautisha wanawake na wanaume. Kiasili wanawake hushabikia sana maneno ya hovyo hivi, kwao ni ubuyu, lakini kwa wanaume wa kweli this is disgusting, bad news!!

Unawezaje kusimama mbele ya wanaume wenzako kusema "bora walivyomgongea mke wake? " Unasahau kuwa na wewe una mke? Haya maneno yanafit kwenye saluni za wanawake, ndio hulka yao tena kwao si kosa hata kidogo. Wanawake wameumbwa kuoneana wivu kwenye mapenzi, sio wanaume!! Kosa la Masanja hasa ni lipi? Yaani unamhukumu mwa "KOSA LA KUMPENDA VILIVYO" mkewe?

Kwa mwanamke akiona mwenzake amependwa kuliko anavyopendwa yeye ni dhahiri hili litakuwa baya kwake, ataona chuki na wivu na kumtakia mwenzake mabaya. Hiyo ndio sifa ya mwanamke. Sasa leo hii tuna wanaume wanaowaombea wenzao mabaya kwa sababu tu wanawapenda sana wake zao!!? Halafu ndio hawa mabaradhuli tuwaite wanaume?

Kuna ex mbunge mmoja huko Twitter anaonekana kuchekelea sana ujinga huu, basi yeye ndio amekuwa mjinga zaidi ya marehemu. Niwaambie kitu, Masanja ana mapungufu mengi sana, kuanzia uchungaji wake, komedi zake, mtazamo wake kisiasa nk, lakini katika yote habari za mapenzi kwa mkewe anafanya kwa kadri awezavyo, sio kwa ajili ya jumuiya bali kwa ajili yake na familia yake. Sio sawa kumhukumu kwa sababu ya WIVU WA KIKE, eti alikuwa anajidai anampenda sana mkewe, ulitaka akupende wewe? Kwa nini tunataka kila mtu aishi kama panyaroad na familia yake kama tulivyo sisi? Yaani kweli wanaume tumefikia steji ya umbea kuliko hata wanawake?

JIWE GIZANI: Wewe unayemtukana Masanja halafu umeoa mke ambaye hukumkuta na bikra yake, unafahamu kwamba ULIGONGEWA na wahuni!!?

Kumbe unafurahia ushenzi huu kwa kujua kabisa kwamba mkeo naye anachapwa vilivyo huko kitaa, hivyo unajifariji kwamba NGOMA DROO!!!

Hebu ache ujinga bana. Kuweni wanaume. Onyesheni hasira zeny juu ya marehemu.
 
Huyo mke wale watu wasingemjua kabisa ishu ni Yale masifa yake huko mitandaoni kama yeye ndo wa kwanza kuoa.Nasemaja bado mc peppers nae mkewe atapigwa tu.
 
Hujui kama majority middle class people wanapenda drama ili mradi maisha yanaenda?
Referred from Entrepreneur Revolution book
 
kwahyo sisi tuliooa wanawake bikra ni ruksa kumcheka masanja. we acha watu wafurahshe nafsi zao ndo maana ya kuwa huru fanya chochote usivunje sheria Tu
 
Ni aibu kubwa mno kuona jinsi gani mijitu na ndevu zao yanavyoanzisha mada kuonyesha kufurahishwa na tukio la zinaa la mke wa Masanja Mkandamizaji. Nasema tukio la zinaa kwa sababu hakuna mwanamume yeyote anayetazama upande wa pili wa marehemu mzinzi isipokuwa GENTAMYCIME pekee, bali wengine wote wanashabikia kitendo alichotendewa mchungaji Masanja.

Leo nawaambia kitu, wewe mwanamume unayeshabikia mke wa mwanamune mwenzako kulalwa na mwanamume mwingine ni mpumbavu uliyepitiliza, huna sifa za mwanamume. Vijimaneno vya kijinga kama hivi ndivyo huwatofautisha wanawake na wanaume. Kiasili wanawake hushabikia sana maneno ya hovyo hivi, kwao ni ubuyu, lakini kwa wanaume wa kweli this is disgusting, bad news!!

Unawezaje kusimama mbele ya wanaume wenzako kusema "bora walivyomgongea mke wake? " Unasahau kuwa na wewe una mke? Haya maneno yanafit kwenye saluni za wanawake, ndio hulka yao tena kwao si kosa hata kidogo. Wanawake wameumbwa kuoneana wivu kwenye mapenzi, sio wanaume!! Kosa la Masanja hasa ni lipi? Yaani unamhukumu mwa "KOSA LA KUMPENDA VILIVYO" mkewe?

Kwa mwanamke akiona mwenzake amependwa kuliko anavyopendwa yeye ni dhahiri hili litakuwa baya kwake, ataona chuki na wivu na kumtakia mwenzake mabaya. Hiyo ndio sifa ya mwanamke. Sasa leo hii tuna wanaume wanaowaombea wenzao mabaya kwa sababu tu wanawapenda sana wake zao!!? Halafu ndio hawa mabaradhuli tuwaite wanaume?

Kuna ex mbunge mmoja huko Twitter anaonekana kuchekelea sana ujinga huu, basi yeye ndio amekuwa mjinga zaidi ya marehemu. Niwaambie kitu, Masanja ana mapungufu mengi sana, kuanzia uchungaji wake, komedi zake, mtazamo wake kisiasa nk, lakini katika yote habari za mapenzi kwa mkewe anafanya kwa kadri awezavyo, sio kwa ajili ya jumuiya bali kwa ajili yake na familia yake. Sio sawa kumhukumu kwa sababu ya WIVU WA KIKE, eti alikuwa anajidai anampenda sana mkewe, ulitaka akupende wewe? Kwa nini tunataka kila mtu aishi kama panyaroad na familia yake kama tulivyo sisi? Yaani kweli wanaume tumefikia steji ya umbea kuliko hata wanawake?

JIWE GIZANI: Wewe unayemtukana Masanja halafu umeoa mke ambaye hukumkuta na bikra yake, unafahamu kwamba ULIGONGEWA na wahuni!!?

Kumbe unafurahia ushenzi huu kwa kujua kabisa kwamba mkeo naye anachapwa vilivyo huko kitaa, hivyo unajifariji kwamba NGOMA DROO!!!

Hebu ache ujinga bana. Kuweni wanaume. Onyesheni hasira zeny juu ya marehemu.
Samahani Mkuu uliyemtaja hapa ni GENTAMICIME aliyeanzisha hii ID ili Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na Mimi ni ( naitwa ) GENTAMYCINE niliyejiunga rasmi hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na mwenye Utajiri wa Kutukuka wa 'Followers' 117+ hivi.
 
Mleta mada umeandika kwa jaziba sana bila kuangalia uzito wa jambo hilo.

☆Masanja aliechapiwa mke wake siyo yule masanja muigizaji bali ni masanja mchungaji ambae nyuma yake ana kundi kubwa la wana kondoo wanao muangalia kama kioo chao na kiongozi wao.

☆Mke wa masanja alie chapwa siyo mke wa masanja mkandamizaji bali ni mama mchungaji alie na kundi kubwa la kondoo wa kike wanao mtazama kama kioo chao na kiongozi wao.

☆Katibu alie mchapa mama mchungaji siyo katibu wa BASATA bali ni katibu wa kanisa aliekuwa anaongoza kundi kubwa la wana kondoo.

Hivi hata hujiulizi side effects ambayo inaweza tokea juu ya hili swala?
Moja: Mchungaji kuchapiwa
Pili; mama mchungaji kuzini
Tatu: katibu wa kanisa kuzin na mama mchungaji kisha kujiua na kuacha kovu la mapenzi kwa mchungaji na mke wake.

Ukitaka kuelewa hili jambo la kuchapiwa masanja siyo la kawaida kama unavyotaka kulazimisha wewe lionekane la kawaida, Vaa uhusika wa Mchungaji Masanja halafu panda mazabahuni uanze kuhubiri Amri za Mungu ikiwemo naya "UZINZI" huku na mkeo akiwemo na wote unao wahubiri wanajua mkeo alizin na katibu wa kanisa lako.
HAPO NDO UTAJUA TOFAUTI YA KUCHAPIWA UKIWA KAMA BODABODA WA NAMTUMBO NA UKIWA KAMA MCHUNGAJI AU KIONGOZI WA DINI.
 
Samahani Mkuu uliyemtaja hapa ni GENTAMICIME aliyeanzisha hii ID ili Kusafiria Nyota yangu Kali ya Kimvuto na Kiuwasilishaji hapa JamiiForums na Mimi ni ( naitwa ) GENTAMYCINE niliyejiunga rasmi hapa JamiiForums Mwezi July mwaka 2013 na mwenye Utajiri wa Kutukuka wa 'Followers' 117+ hivi.
Noted with thanks mkuu
 
Wote mnaongea speculations TU,

Hakuna mwenye uhakika kua
1.katibu kajiua au kauwawa?
2. Masanja kachapiwa kweli au Ni mchongo TU kuficha mauwaji ya katibu?

Tuache vyombo vyetu vifanye kazi tupate ripoti ya uchunguzi Ndo tuanze kuhukumiana
 
Tatizo sio kitendo cha kuchapiwa ila tatizo ni nani aliechapiwa, na hapo ndio furaha ya watu ilipo.
Unafurahia nini kwa mfano? Kwani aliwahi kukuchapia mkeo kiasi kwamba unaona umelipiwa kisasi? Hizi ni tabia za kimaskini, yaani tajiri akipatwa majanga maskini wajinga hufurahi kwamba tuwe ngoma droo.
 
Huyo mke wale watu wasingemjua kabisa ishu ni Yale masifa yake huko mitandaoni kama yeye ndo wa kwanza kuoa.Nasemaja bado mc peppers nae mkewe atapigwa tu.
Sio sawa kwa mwanamume kuwa na mtazamo huu. Tuna mengi ya kufikiri kuliko kushinda kwenye social media kutafuta udaku
 
Back
Top Bottom