wanaume

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi hukosa wapenzi kwa kufanya makosa haya wanapokutana mara ya kwanza (first date)

    Umekutana na mwanamke ukapata namba yake na mkapanga mkutane mara ya kwanza mahali ili muongee/ mle/ mpate kinywaji. Kuna muda hili jambo linatia mawazo sana. Unajiuliza utafanyaje ili umpate kabisa umuweke ndani Kukutana na mwanamke mara ya kwanza huwa ni kwa ajili ya kujuana zaidi. Sio kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wameharibu mahusiano yao bila kujua kwa kufanya makosa haya

    Ni muhimu kujua makosa ili usiyarudie/usiyafanye. Ukishaondoa makosa, kinachobaki ni vitu vizuri. Pia kuna makosa yatakayomfanya mwanamke wako kupoteza mvuto kwako. Ataanza kujitenga nawe. Nawe utaanza kulazimisha penzi mwisho wa siku anakublock, anakunyima penzi au anakuchunia kabisa. Hivyo...
  3. JamiiForums Tanzania Wanaume tuliumbwa kupambania ubora katika maisha na sio kulialia kuhusu mapenzi

    Hello mamboz JF! Mara zote ninapohimiza kutafuta pesa namaanisha sana tu kuhusu kutafuta pesa, uwe na pesa, uwe na amani ukiwa na pesa uwe na utulivu ukiwa na pesa uwe na furaha ukiwa na pesa, uwe mwenye afya bora ukiwa na pesa uwe na utulivu wa mwili, roho na nafsi ukiwa na pesa. Ukiwa na...
  4. JamiiForums Tanzania Natafuta namna nzuri ya kuachana na mpenzi wangu aliyenifungulia kesi ya ubakaji

    Nina mpenzi wangu ambae tunaishi nae toka mda tuko chuo, Huyu mpenzi tayari ana mtoto ambae alimpata akiwa Olevel. Nilianza kukaa nae rasmi toka Niko chuo akiwa yeye na huyo mtoto wake, nikiwa na mishe zangu za kupambana mtaani. Baada ya kumaliza chuo nikawa na bajaji zangu mbili, Moja nikampa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sababu gani watumishi wengi hutaka mabosi wanaume maeneo ya kazi?

    Naomba tujadili hii mada. Ni kwasababu gani watumishi wengi hupenda kuongozwa na mabosi wanaume kuliko mabosi wanawake katika maeneo ya kazi?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Wanaume acheni kufanya uzembe kama huu. Hivi mnajielewa kweli??

    Leo nimepokea kesi toka kwa kidume uchwara mmoja analalamika kuwa anamhudumia msichana kwa kila kitu (kodi ya pango, mavazi, chakula, na mahitaji mengine) lkn huyu kijana hajawahi kupewa papuchi kaambiwa mpk watakapofunga ndoa. Kilichomtisha huyu kidume mpka kuja kwangu leo ni kwamba ni mwaka...
  7. JamiiForums Tanzania Itambue historia ya TMK wanaume Family

    KIUMENI, MAANDISHI MATATU TMK WANAUME FAMILY Pengine ni sahihi kama tukianza kuizungumzia Temeke kwa kuutaja uwakilishi wa mwanzo kabisa wa kundi lililofahamika kama Gangstaz With Matatizo ama kwa kifupi GWM. Humo aliyesikika zaidi alikuwa Kaka Rashid Ziada (KR MULLAH CD 700 MUZIKI MKUBWA...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Wanaume wachepukaji kuna swali lenu huku

    Wanaume wachepukaji nina swali Hv hamuwez kuchepuka tu bila kuwasema wake zenu au kutaja sir na madhaifu ya wake zenu? Si mkutane tu mfanyane na mpange mipango yenu? Wake zenu wanaingiaje hapo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kilio cha wanaume huko nje: Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu!

    Inaumiza, yaani inaumiza sana. Wanawake tutulie tu jamani. Dunian hakuna jipya. Mbona kila baya lina majuto, kwanini tusijifunze kupitia hilo? Yaani mumeo anapambana na kuvuja jasho la meno lakini kumbe anaowapambania wamebakiza kumuua tu. Hatuwezi kushauriana eti tucheat kwa akili...
  10. JamiiForums Tanzania Wanaume mnaoongoza wake zenu vyema kwenye misingi ya dini na imani Mungu awabariki sana

    Kichwa cha mke☺☺ WAEFESO 5:23-25 Kwa maana mume ni kichwa cha mkewe, kama Kristo naye ni kichwa cha Kanisa; naye ni mwokozi wa mwili. Lakini kama vile Kanisa limtiivyo Kristo vivyo hivyo wake nao wawatii waume zao katika kila jambo. Enyi waume, wapendeni wake zenu, kama Kristo naye...
  11. JamiiForums Tanzania Utafiti waonesha Wanaume Wengi Wasio na Kisomo Wanamiliki Nyumba Kuliko Waliohitimu

    Utafiti wa KNBS umeonesha kua asilimia 46.7 ya wanaume ambao wana nyumba hawana ELIMU rasmi, ikilinganishwa na asilimia 32.2 ambao wamepita shule ya upili..... Kulingana na utafiti huo Hilo linatokana na kwamba wasomi wengi huishia mijini kusaka ajira na kuishi nyumba za kupanga huku wenzao...
  12. JamiiForums Tanzania Je, sheria za ndoa nchini zilitungwa na Bunge la ngapi? Je, Bunge hilo lilikuwa na wanaume?

    Leo kuna mtu ameniuliza, kwamba sheria za ndoa nchini Tanzania zilitungwa na bunge la ngapi na mwaka gani, na katika bunge hilo kulikuwa na wanaume? Au lilikuwa ni shinikizo la kupata misaada toka nje ya nchi hivyo watu wakafumba macho tu na kupitisha hizo sheria? Huwezi ukawa na sheria...
  13. JamiiForums Tanzania Mnaotaka wanaume wa maana, je na nyie ni wanawake wa maana?

    Kumekua na kasumba ya wakina dada wa leo kuwa na vigezo vingi sana pale wanapoangalia mwanaume wa kuingia nae kwenye mahusiano ya kimapenzi. Moja ya kigezo pendwa cha wakina dada ni hitaji la kuwa na mwanaume wa maana, hatujawahi kuambiwa mwanaume wa maana ni mwenye sifa gani ila possibly hapa...
  14. JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wanapenda taarabu

    Hellow Kataa kubali wanaume wengi wanapenda taarabu sema kwasababu tu ya jamii ilivyo mjengea mwanaume kuishi ndiyo ina mpa shida kushow love kwenye mziki huu. Na hili nimeliona kwenye sauti za busara wanaume tulikuwa wengi sana kuliko kawaida. Na hata Dogo Janja juzi kapost kwenye wasp...
  15. JamiiForums Tanzania Je, kama wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wapya Mbinguni, sisi wanawake wa Duniani tutapelekwa wapi?

    As-salamu alaykum ndugu zangu. Naomba kuuliza, Quran tukufu 2:25, 4:57 imeandika kwamba wanaume watapewa wanawake wapya na mabikra wazuri huko Akhera. Pia ukisoma Quran tukufu 38:52 inaongelea kwamba kuna mabikra tayari wa kutosha huko Ahera wakiwasubiri wanaume. Zaidi ukisoma Quran tukufu...
  16. JamiiForums Tanzania Wanaume tujadiliane, hivi ni muda gani sahihi wa kuanza kumpa mwanamke hela baada ya kumtongoza?

    Nimesikitishwa saba na tabia za mademu wengi, unamtongoza, hata kabla hajakukubali anaanza kukufungulia pochi yake ya matatizo. Mara naomba nauli ya mama aende kumuuguza mama mkubwa, hivi nisingekutongoza ingekuwaje? Mwingine ana kigari chake utasikia yaani nimezidisha kilometa 5OO naomba hela...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume kuigiza nafasi za wanawake, sio promotion ya mambo yale yasiyofaa?

    Ukiangalia 'origial comedy', Joti, Triple Funny, Steve Mweusi, kitimtim, na wengine wanaume kucheza character za wanawake kama Kiboga, sio promotion ya mapenzi ya 'kisasa' ya Ulaya na Marekani ambayo ni kinyume na mila, desturi, na tamaduni zetu? Kama wizara ya elimu ilivyopiga marufuku vile...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume mnawaharibu watoto

    Hivi inakuaje unaweka kabisa dhamira na kuitekeleza ili tu utimize haja zako huku ukimuachia mtoto kovu lisilofutika kabisa katika maisha yake hapa duniani? Cha ajabu mmekuwa mkijinasibu kuwa na utaalamu mkubwa wa kuchakata wanawake. Hili mnalikiri hadharani. Ila kwa vitendo vinavyojitokeza...
  19. JamiiForums Tanzania Wanaume: Hivi hizi nywele za makalio hunyolewa?

    Hazinyolewiiiii
  20. JamiiForums Tanzania Wasikilize, lakini usipokee ushauri wa wanawake kuhusu wanawake

    Wanawake ni wazoefu wa kuwa wanawake lakini hawana uzoefu juu ya jinsi ya kumvutia na kumtunza mwanamke mwingine kimapenzi. Asilimia kubwa ya wanawake hawajui kitu haswa kinachomvutia kwa mwanaume aliyenaye, ni wachache wanaoweza kuweka hisia zao kwenye maneno yanayoeleweka. Japo unaweza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…